Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wana jamvi, Kuna mgonjwa kaanzishiwa dosage ya Amlodipne kwa muda wa siku 14 baada ya kuonekana pressure yake iko juu sana (178/109) wakati akisubiria vipimo vya damu ambavyo vingetoka siku 3...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mimi ni kijana wa miaka 21, tatizo langu uume wangu ni mkubwa kiasi kwamba kila nikikutana na demu wangu anashindwa kufurahia tendo hilo, huyu ni demu wa 5, ambao wanne tumeachana nao kutokana na...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Natakuliza shuklan za dhati naomba kuuliza kitaalam mwanamke bikira anaweza kupata mimba iwapo amefanya mapenzi lakini mwanaume akamwaga mbegu kwenye uke bila kumtoa ile bikira yake? Naomba...
0 Reactions
5 Replies
50K Views
Je wajua majina ya wale madaktari sita muhimu katika maisha yako? Kama huwajui basi fungua macho na akili zako :- 1. hewa (Air) 2. Maji (Water) 3.Usingizi ( Sleep) 4. Mazoezi ( Exercise)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Natumaini nyote mu wazima, mwenzenu mambo si shwari Mimi tangu utotoni nilikuwa naota napaa angani karibu kila siku. Wakat mwingine niliota nimepaa ili kuvuka mito mikubwa...
1 Reactions
26 Replies
12K Views
Waungwana salamu kwenu! Hebu niambieni wenye kuyajua haya mambo...leo nimechomwa sindano ya tetenasi ya kwanza,baada ya kuchomwa na msumari mguuni...nimeambiwa nirudi tena kwa ya pili Jan 10...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wana jf naomba ushaur wenu.ninasumbuliwa na maumivu ya jino.limetoboka hvyo natakiwa nikajaze risasi.vp inauma kujaza risasi?oa itanichukua muda gan kupona.asanten wakuu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wadau. Nna tatzo toka nmezaliwa lips zangu zinakauka na kutoa magamba hivyo inabidi niyatoe kwa kukwangua na mkono au kung'ata lips. Je kuna dawa ya kutibu hii kitu coz inanikera kwa kweli.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wana jf wenzangu kumekuwa na uhusiano mkubwa sana wa mtu anaependa sana ngono kupoteza umakini kwenye mambo ya msingi wa maisha kama vile ufanisi kazini,kushuka kimasomo n.k. Ninaombaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The vagina is designed to keep itself clean with the help of natural secretions (discharge). Find out how to help your vagina keep clean and healthy – and why you don’t need douches or vaginal...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
zaman walikuwa makutanao ya LIBYA NA ZANAK ,kwa mwenye kujua naomba anisaidie,cku hz wapo wap?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza kwenu nyie wataalamu! PROVIRON ni dawa ya nini na ina madhara gani nikiitumia (me).
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Habari wana JF... dhumuni hasa ni kupata kampan kwa ajili ya kupunguza uzito pamoja..natumaini kwa wale wenye uhitaji basi tutaweza kulitatua hili tatizo. njoo tujumuike 1-tujue ni vyakula gani...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Foods That Increase Hunger !!! 1.Salty foods- These increase your cravings by dehydrating you. Now you know why Ruffles Lays have their jingle saying “No one can eat just one”. 2.Fatty foods-...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ni mara ya 2 sasa tangu mwezi wa kumi mwaka huu kutokewa na tatizo la moyo kwenda mbio na kuishiwa nguvu mwili mzima wakati wa tendo la ndoa hasa napokua katka harakat za kufunga goli la pili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi pipooo wa JF,kwema? Mwanamke kupata discharge nyepesi ya rangi ya brown kutoka kwenye K inamaanisha nini au ni dalili ya nin,haina harufu,haiwashi,inatokea kila mwezi walau kw wiki moja unusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji maji
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Ndugu zangu wa jukwaa hili la afya...samahani kwa usumbufu.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
WHO: Uzito uliopindukia ni hatari kwa afya, dunia yatakiwa kuchukua hatua Unene uliopindukia ni chanzo cha magonjwa mengine kama ya moyo na saratani Reuters Na Emmanuel Richard Makundi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom