Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mie nikijana nina tatizo la mapele kichwani ukiyatumbua yanatoa usaha unfuatiwa na damu, yanapo kauka yanakuwa kama mapunye. Nimetumia dawa nyingi tofauti lakini sioni mafanikio. Nambeni msaada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu. Mimi na Mr tumekua tukiishi mbali kwa sababu ya kazi, wiki ilopita nimerudi likizo nikiwa kwny danger days. I mean siku ya 10 nimekaa siku 6 na zote tulifanya mapenzi. Nikaanza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau,nahitaji kifaa cha kuchunguza magonjwa yote cha mkononi. Nikiwa kwenye gari nimemuona mama mmoja anaangalia katalogi ya vifaa vya tiba nikakiona nikiwa nachungulia kwa pembeni. Kwa wahusika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu madaktari wa humu jamvini naomba mnisaidie nipate kuelewa kuwa ' Kwanini mtoto wa kiume anaruhusiwa kuanza kukalishwa chini akiwa na miezi 4 wakati yule wa kike ni miezi mitatu 3?' Sababu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani kuna madhara ikiwa mtu atakuwa mlaji wa kupindukia wa mayai ya kuku wa Kizungu?
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wakuu wangu,siku 3 zilizopita nilipatwa na ajali ya kuumwa na nyoka au mdudu mguuni(jirani na kisigino) nilipokuwa nikitoka darasani kuelekea bwenini majira ya saa 7 usiku.Nasema nyoka au mdudu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wana JF naombeni mnitoe kwenye Giza .... Nini kinasababisha korodani kusinyaa?
1 Reactions
7 Replies
14K Views
habari zenu,mwenzenu nasumbuliwa na maumivu kwenye ziwa langu la kulia yapata mwaka sasa, nimetibiwa kwenye hospital za kawaida bila mafanikio sasa nataka kwenda kupima kansa dar es salaam nami...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
  • Closed
Jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?
3 Reactions
180 Replies
17K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu; swali langu ni kama ujauzito umeheriika kipimo cha mkojo cha kupima ujauzito kinaweza kuonesha kwamba ujauzito haupo baada ya siku ngapi?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A survey of more than 1,000 men in India has concluded that condoms made according to international sizes are too large for a majority of Indian men. The study found that more than half of the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wana jf. Napenda kujua kama kuna ukweli wowote kuhusu mdada kutoruhusiwa kutumia vidonge ama sindano za kuzuia kushika mimba (uzazi wa mpango) mpaka awe tayari ameshajifungua at least mara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jf, poleni kwa kazi kubwa ya ujezi wa taifa, nina rafiki yangu wakaribu sana (mwanamke) anatatizo la kuota ndoto mbaya, anaweza kuota kama sauti inamwita kwa jina lake nje tena hua...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za sikukuu wanajamvi najua wote n wazima Nina tatizo sugu la mba wa kichwani nimutumia mafuta na dawa mbalimbali lakini napata nafuu ya mda tu halafu tatizo linarejea msaada tafadhali kwa...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kwanza napenda nitambue michango yenu mizuri wana JF ambaya kwa namna moja au nyingine imeokoa maisha ya watu au kuimarisha afya zetu.Leo nimekuja na tatizo moja ambalo mwanzoni nilidhani nihali...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mtoto wangu wa kiume ana umri wa mwaka 1 na miezi miwili anakojoa mkojo ambao anacha alama kwenye nguo hata ukifua na sabuni alama hizo hazitoki na muda mwingine anapenda kuchezea dudu yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu, habari? Mimi ni kijana (22), tangu nimekua na akili na uwezo wa kujitambua nimekua nikisumbuliwa sana na mafua, yaani sijawahi kustay free from mafua. Je hili ni tatizo gan? Na linaweza...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Hi people. Naomba kuuliza hiv ni kweli kwamba wanawake wafupi ningum kujifungua kwanjia yakawaida? au sio kweli nakama ni kweli nitatizo gani linalosababisha hali iyo. KWENU WADAU
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mke wangu ana mtoto wa miezi 8,ni kwamba bado ananyonya,but imetokea tatizo mke wangu ana mimba changa, je kuendelea kumnyonyesha mtoto kuna madhara yoyote?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom