Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba mnisaidie wadau najihs naumwa lakin cjui ni ugonjwa gan! Ila nina dalili hizi kwanza shahaw zangu znatoka zkiwa nzito af kama znafutika flan na nakojoa mkojo yellow yellow hiv na maumivu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo. Biashara hii inazidi kukua huku...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Habari zenu wana Jf. Nina umri wa miaka 27, nina tatizo ambalo hata sielewi chanzo hasa ni nini naombeni ushauri wa kitaalam. Mara nyingi ninapopewa majukumu nje na yale niliyoyazoea(ya kila...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau naomba mnijulishe ni sabuni gani au lotion gani nitumie ili kuondoa haya mabaka usoni au pia nifanye kipi ili kuyatoa haya mabaka usoni kwangu maana uso wangu umeharibika.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
habari wana jf,naomba kujua dawa ya kusafisha mkojo nahisi mkojo wangu mchafu kwa dalili hizi,maumivu wakati wa kukojoa,mkojo unatoa harufu sana,rangi ya mkojo kama kutu nimejaribu kunywa maji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwenye Pua, kwenye jicho kwenye utosi na kichwa kuumwa upande mmoja
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari zenu wapendwa katika JF! Binamu yangu ana miaka 35. Analalamika kuwa anajisaidia kinyesi kingi na anaogopa hali hii. Na sisi tunaona akiingia chooni hadi kutoka inahitaji uvumilie kama...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Yeyote mwenye idea nn kifanyike
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Jamani anashinda amelala ila ikifika saa 12 jioni halali yaani ni usiku wote ,lakini ikifika saa 12 asubuhi anasinzia vizuri tena,yaani akizinduka nikunyonya na kusinzia ila usiku kuanzia saa 3...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari. Naombeni msaada wenu. Chini ya tumbo langu mkono wa kushoto nasikia kama kitu kinatetemeka/kucheza hivi hakiumi wala nini lakini pia sijui jinsi ya kukielezea kwa ufasaha lakini kinakuja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani niko ugenini wenyeji wangu wamepika vichoma nguo kabla havijaota miba vikiwa vidogo sana wamekatakata kama mchicha wameunga kwa karanga. Je nile ni salama kwa afya?
0 Reactions
21 Replies
8K Views
cHAKULA GANI NILE SOON AFTER KUJIFUNGUA AMBACHO NI MSAADA KWANGU
0 Reactions
19 Replies
3K Views
habar zenu wana jm forum, na matatizo ya kuachia kwa meno yana acha njia au uwazi kadri siku zinapoenda, na hili tatizo sio mimi tu hadi dada yangu wa tumbo moja pia meno yako hivyo hivyo mimi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna dada mmoja nafanya naye kazi ni mjamzito, amekuwa msahaulifu sana. Mnaweza kuongea jambo leo kesho itakubidi uanze upya kumkumbusha hali hiyo inanikwaza sana. Wakati mwingine hata simu yake...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Nimetokewa na uvimbe km mtu anayetoka usingizin macho yanakuwa kama yamevimba hivi halafu kuna kubanduka banduka kwa ngozi na kuwasha kweny hiyo miuvimbe
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam.. Miaka mitatu iliyopita mke wangu alijifungua mtoto kwa njia ya kisu. Mara baada ya kujifungua, hakulifunga tumbo lake kama ilivyo ada ya wanawake wanapojifungua. Kitu kilichosababisha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jf 1. Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto). Kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili, pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna uhusino wowote kwa makundi ya damu ya mwanamke na mwanaume kusababisha kushindwa kupata mimba kwa mwanamke endapo wataoana hasa kwa kundi (mwanaume) A negative na (mwanake)B negative...
0 Reactions
8 Replies
22K Views
Back
Top Bottom