Mimi ni kijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina...
Wakuu,
Binafsi ni mtumiaji mzuri sana wa bia , kazi yangu inanifanya niwe busy muda mwingi kuna wakati hata muda wa kupata chakula cha mchana ninakosa, na mara nyingi hushindia maji ama matunda...
Habari wanajukwaa!
Tatizo la weupe kwenye macho hasa pembeni ya jicho unatoka kwa nje kuliani au kushotoni. Huwa unasababishwa na nini na vipi unaweza kuutibu?
Nina hilo tatizo kama mwaka sasa...
Je naweza kuanza kumpa mtoto wa miezi mitatu na wiki mbili juice za matunda? Uji au mtori na anatumia maziwa ya ngombe, ya kopo aliyakataa huwa nakwenda kazini nachelewa kurudi.
Ndugu wadau, nimekuwa na mazoea ya kunywa maji baridi toka ktk jokofu, iwe asubuhi, mchana, ama usiku.. Je mazoea haya yana madhara kwa afya yangu baadae ? Naomba kuelimishwa tafadhari.
Mara nyingi inanitokea sana usiku nikiwa kwenye usingizi najitahidi kuita sauti haitoki hata kidogo nikijitahidi kujigeuza upande mwingine nashindwa nikijitahidi kuamka kwa nguvu zote nashindwa...
Naomba kujua ni kwa namna gani nitaweza kujua kama aliwahi kutoa mimba kwa kumwangalia, ama kuchunguza. Ni hivo tu, nadhani nitakuwa nimeeleweka wadau.
Baada ya matibabu kiasi cha mwezi mmoja kwa ajili ya kuvimba kwa bwelewe la kulia lililoonyesha ndani kuzunguukwa na clear fluid kiasi cha 2.7x2.7cm na kusababisha epididymis kuvimba(nashindwa...
Habari za leo wana jf,naomba kwa yoyote anayejua madhara yanayoweza kumpata mtu kutokana na unywaji wa vinywaji vya malta guiness na vita malt ambavyo ni vinywaji visivyokuwa na kilevi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 na bado sijaowa ila ninarafiki ambaye tumependa kwa dhati.Tatizo lake kwa muda huyu yuko mbali anasoma na ameniahidi nimsubirie kwa miaka miwili kwani yeye...
Habari wadau nna machache ya kushare kuhusu afya zetu hasa wamama. Kina mama wengi sikuhizi wameharibika shepu zao kwa sababu ya ulaji mbovu mimi binafsi kwakweli mazoezi siwezi kabisaaa ila kwa...
Za Muda Wakuu
Mwezi Mmoja Uliopita Nilipata Ajali, Katika Hiyo Ajali Nilivunjika Jino La Mbele Juu Limebaki Kipande Kidogo sana.
Nataka Nikakitoe Hicho Kipande Kilichobakia
Niweke Jino La...
Mara imekua ikinitokea,mimi ni mtu ninaependa kunywa maji mara kwa mara,mfano nikikaa masaa ma4,bila kunywa Maji,mara nitakapo kunywa tu,jasho linaanza kutililika mwilini....!au nikitembea umbali...
The lowest risk for heart attack was found among men who drank almost daily and who drank 4 to 9 liters (9 to 20 pints) a week!Martin Bobak, senior lecturer and Michael Marmot professor at the...
Texting on that little gadget in your palm while walking could cause you back problems.
Yes, in a study released last week, researchers warn that texting on a mobile phone while walking alters...
Nina siku ya nne leo tokea nimalize dozi ya siku tatu ya Dawa za malaria aina ya Artequine toka Swiss. Nilishairiwa ni njema na makini kwa malaria ili isijirudie. Hata hivyo nilipomaliza tu dozi...
NON-COMMUNICABLE DISEASES.
Did you know that according to WHO Global Status report on Non-communicable Diseases 2012, conditions such as heart diseases, stroke, cancer, chronic respiratory...