Habari zenu wana-Jf Doctor,.
Mimi ninasumbuliwa na uchovu wa kila wakati, iwe asubuhi, mchana au jioni mwili wote unakuwa na maumivu yasiyoisha!!
Nimeshafanya vipimo vya x-ray mara kadhaa...
Ni miaka zaidi ya minne sasa nasumbuliwa na fungus wa miguu, nimetumia dawa kibao ikiwemo vidonge na tubes za kupaka lakini huwa napata nafuu tu wakati nikitumia dozi baada ya hapo tatizo...
Kuna mshikaji mmoja besti yangu mmoja naonaga anabonge la tege yaani zile zakuingia ndani nilimuuliza akaniambia hizo tege zimemuanza miaka ya karibuni
madaktari nisaidieni husabbabishwa na nini...
kila lenye faida basi halikosi hasara. naomba kujua kama kuna madhara yeyote ya kula asali (honey) maana hii kitu napenda sana na nakula sana....
natanguliza shukrani
Salam,
Tafadhari naitaji kuweka Permanent artificial teeth . Nímetumia denture za kuweka na kutoa naona zina nisumbua , so nataka kuweka mano ya bandia ya kudumu .
Nipo dar, tafadhari...
Je baada ya matibabu ulirudi kumshukuru daktari/nurse?
Je ulishawaza mupenzio unaemjali, unajali mwili wake na kuuthamini...mara afikapo hospitali nurse anachezea/kutikisa/kuvinjari na kukagua...
ADOLESCENT PSYCHOSOCIAL CONSULTANCY SERVICES
NI WATAALAM WALIOBOBEA KWENYE MASWALA YA PSYCHOSOCIAL NA MATATIZO YAKE
1.KWA VIJANA NA WANAFUNZI WENYE MATATIZO LEARNING DIFFICULTIES
2.HOFU AU WOGA WA...
Wanajamii tafadhali naomba msaada wenu kwa habari hii ya wapenzi kunyonyana sehemu zao za siri kuna madhara gani hasa? Inawezekana swali hili lishawahi kuulizwa lakini mjue watu wanazaliwa kila...
wakuu naomba msaada kuna mtoto wa miaka 10 anasinzia sana bila kujali mahali na mazingira, nahitaji ushauri wa kumpa tiba huyu mtoto. ananiumiza sana ninapomuona kwani familia haina uwezo...
Naomba msaada wadau. nini maana ya nyonga? Kama nitapata hata structure demonstration nitashukuru, coz wanasema mwanamke NYONGA, makalio hata kwa mchina yapo.
Seems like something apart from...
naombeni msaada nina maumivu makali ya kiuno siwezi hata kuinama yameanza ghafla tu nimechua nimemeza anti pain ibrofen but haisaidii nashindwa hata kulala nifanyeje dr MziziMkavu nisaidie...
Habar wakuu nisaidieni maana sielewi ni tatizo au nini maana mda niki amka huwa najisikia nimeshba kabisaaa imenpelekea mpka mwili wangu kuwa mwembamba am 22 years old
Habari wana JF....naomba ushauri wa mafuta gani mazuri ambayo naweza kupaka nikawa soft na kubaki na ngozi yangu ya asili bila kubadilika??
Ngozi yangu ni ya mafuta na rangi yangu si nyeupe wala...
habari ,wakuu nimeileta maada hii tujadili maana ni gonjwa linalo ua sana watu wakuu na watoto halichagui,sasa kila mtu atoe views zake apa kwa nini mpaka sasa hakuna dawa,tuseme ndo wameshindwa...
Habari za asbh docs .. am pregnant three weeks now. i consumed metronidazoles ( flagily ) before knowng am pregnant. Currently am.experiencing lower abdominal pain too. Please advice me.. can...
Habari wana JF,poleni na majukumu ya kila cku.
Njia gani mwanaume anaweza tumia kuua mbegu asiweze kumpa mwanamke mimba? km wazuiavyo w'ke,je kwa m'me nayo inawezekana?
Madr fungukeni mnisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.