Habari za saizi wana JF. Natumai mko poa.
Samahani naomba kuuliza; Eti hiki kipimo cha Urine Pregnant Test (U.P.T) kinachouzwa duka la dawa huwa kinatoa majibu sahihi 100%???? Naombeni mnisaidie...
Habari wakuu, Tatizo ni kwamba, mwanamke ana mimba ya miezi 4 ila ameanza kujisikia kukandamizwa kibofu cha mkojo, na anaweza kujisikia kama amebanwa na mkojo lakini akienda...
jamani salama wapendwa,tatizo langu ni kuwa kuna mtoto wa kiume wa dada yangu kwasasa ana umri wa mwaka 1 na miezi kumi na mpaka sasa hajaweza kutembea....je tatizo litakuwa nini hapo wadau
Habari zenu ndugu zangu.
Mi nikijana wa miaka 25, kwa kawaid kila niamkapo asubuhi penis yangu huwa inasimama, lakini pia pale ninapopata hisia either nikiwa njiani ama sehemu yeyote.Kiukweli...
17 Reasons Why You Need a Mango Every Day
1. Fights cancer
2. Keeps cholesterol in check
3. Skin cleanser
4. Alkalizes the body
5. Weight loss
6. Regulates diabetes
7. Aphrodisiac
8. Eye care
9...
doctors nambeni ushauri, mkewangu ameshika mimba ni mwezi moja sasa, chaajabu ameanza kuona damu kwa mbali toka juzi hadileo naona inazidi kadri muda unavoenda, tatizo ni nini? na tiba yake ni...
doctors nambeni ushauri, mkewangu ameshika mimba ni mwezi moja sasa, chaajabu ameanza kuona damu kwa mbali toka juzi hadileo naona inazidi kadri muda unavoenda, tatizo ni nini? na tiba yake ni...
hy..am gal of 28 yrs tatizo nimegundulika nina presha ndogo miez sita ilopita B/P 90/50 cku ya kwanza nilipopima bt kila nikipima inazid kushuka mara 70/40,80/50nk juzi nimepima ikawa ndogo hadi...
Habari wadau.!
Mimi ni mnywaji wa pombe aina zote kuanzia laini sana kama castle lite,redds mpaka zile kali sana kama grants,konyagi yaani sprits,vodka,whisky lakini nakunywa sana chai,
Siku...
Apcs kwa kushirikiana na amref kwa ufadhili wa sida kwa kupitia mradi wa tuitee tunatoa huduma za counselling kwa watu wote hasa vijana miaka 10 mpaka 24
1.tunafanya counselling kwa mtu mmoja...
Habar ndugu wanabodi.
Tatizo hili sijui ni mimi tu au na wengine ni kwamba mtu yoyote akifanya kosa au kitu cha aibu ninakua ninaona aibu mimi badala ya yule aliyefanya aone mwenyewe"" Sijui ni...
COCOLLAGEN --For a Beautiful Skin-A CHOCOLATE FLAVORED BEVERAGE ENRICHED WITH HIGH GRADE QUALITY MARINE COLLAGEN
It provides elasticity and shape, giving skin its firmness as well as the ability...
wanaJF naombeni msaada wenu. Mimi nasumbuliwa na kucha ya kidole gumba cha mguu,hyo kucha inaotea kuelekea pembezoni mwa nyama ya kidole na inaleta maumivu makali sana tafadhali nisaidieni
habari zenu jaman jana nliweka thread inayohusu maumivu ya titi la kulia so wadau wamenishauri niende nkachek ocean road km itakua cancer au la. me niko mkoani kwa yeyote anayejua gharama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.