Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimeona kuna App inaitwa "iTriage"..aisee ni nzuri sana kwa madaktari na hata kwa mtu yeyote mwenye kupenda afya yake na kutaka kujua medications na maswala ya magonjwa. .dalili na tiba zake. Iko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu. Naomba mwenye kuelewa vizuri aniambie lini nikisex nitapata baby boy. Mzunguko wangu ni siku 26 na wakat mwingine 27.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A healthy lifestyle before and during pregnancy can lead to having a healthier baby. Babies born to healthy women are more likely to be born healthy. Are you considering having a baby? Now is...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimejifungua kwa operation, naomba njia ninazoweza tumia ili tumbo lirudi.. ninamwezi sasa kidonda kimepona! Ila tumbo bado kubwa..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rafiki yangu ana tatizo la kuumwa tumbo muda mrefu na anasema akienda haja kubwa choo chake kinafanana na cha mbuzi...je tatizo ni nini? Na atumie dawa gani...?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani anayejua njia gani na dawa gani za asili anaweza tumia mwanamke kuzuia kuota ndevu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Poleni kwa mihangaiko ya kutwa. Ji mambo/sababu zipi zinazopelekea ama kusabisha mwanamke kupoteza hisia za mapenzi?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni kweli dawa ya fligyl(flagile) dawa ya tumbo inazuia mimba?
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Mimi ni mpenzi wa mambo yetu yalee,pombe.Zamani nilikuwa nakunywa bia mpaka chupa 6 bila kilewa,lakini siku hizi glasi moja tu ya bia nalewa,je kuna tatizo lolote la kiafya wataalamu???
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nataka kujua kuhusa faida na hasara ya dawa izi nina miaka 21, tatzo linalopelekea nitake kunywa ni kwamba uume wangu husinyaa mara baada ya goli 1 nalo napiga ata dakika 1 haifiki nafika kilele
0 Reactions
13 Replies
33K Views
Uvimbe kwenye Cervix unasababishwa na nini? Na nini matibabu yake? Madhara yake ni nini? Nini kifanyike ili uvimbe utoke? Kwa aliyewahi kukutwa na ugonjwa huu au kusikia unasababishwa na nini na...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wanajf naomba mnisaidie Nina mtoto wa miezi 7 hataki kula kabisa na akila huwa anatapika nimempima hospital Hana tatizo lolote,sijui nifanyeje,namnyonyesha mpaka sasa ila hataki kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumekuwa tukipokea maoni toka kwa watu wengi juu ya matatizo ya kukosa usingizi, ingawa kuna sababu nyingi zinazoweza kukufanya ukose usingizi kama magonjwa nk, ila mlo nao ni moja ya sababu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
It looks like a watch, but it's a sophisticated blood-oxygen heart-rate monitor About half of all people at risk of death from heart attacks could gain the chance to live, once Israeli...
1 Reactions
2 Replies
965 Views
Salam, kwa muda mrefu nimekuwa nasumbuliwa na matatizo ya binafsi,na nimekuwa nahitaji ushauri wa kitaalam,pia kuwe na confidentaiality katika huduma hiyo,hivyo siwezi kuwaomba ushauri watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wapendwa leo katika pilika pilika zangu za kutafuta dawa za kupunguza unene na uzito nimegundua mafuta ya kiunguu swaumu nayo yana saidia una weka kijiko kimoja cha chai katika maji ya moto...
0 Reactions
6 Replies
18K Views
Habari zenu ndugu zangu mlio jukwaani Naomba msaada mwenye ujuzi na hili: Nilivamiwa na Vibaka siku ya J/tatu mida ya saa 2(mbili) usiku maeneo ya Sinza Makaburini wakitaka kunipora simu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Obesity leading to deaths worldwide Obesity has reached epidemic proportions worldwide, with around 2.8 million people dying each year as a result of being overweight or obese, according to...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
anatarajia kujifungua muda wowote kuanzia hivi sasa............. kinachohitajika kwa sasa ni elimu ya kutosha jinsi ya kumnyonyesha mtoto huyo kwa maziwa ya mama pekee kwa kipindi cha miezi...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Wanawake wengi hupata tatizo la kuumwa kwa kichwa wakati wa ujauzito. Hili tatizo huweza kutokea wakati wowote wa ujauzito lakini mara nyingi hutokea wakati wa trimester ya kwanza (miezi mitatu ya...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Back
Top Bottom