Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kwa yeyote mwenye uelewa wa rihabilitation centers (PRIVATE) zilizopo Dar es salaam ( kwa ajili ya watu wenye matatizo ya akili yatokanayo na Bangi)Anisaidie Tafahdali.
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Watu wengi huwa na hofu ya sintofahamu hasa wanapofikiria kwenda kumwona daktari wa meno. Mambo 10 yafuatayo yatakusaidia sana kufahamu nini utarajie unapokwenda kufuata uchunguzi wa afya ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Listeria: Raw Fruits and Vegetables The dangerous listeriosis outbreak of 2011 has many people rethinking the rules about food safety and food poisoning. Listeria bacteria can contaminate fresh...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cervical cancer vaccine to be availed in TZ soon By The Citizen Reporter Posted Thursday, October 10 2013 at 00:00 Dar es Salaam. A vaccine for cervical cancer will soon be available in...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
je ni kawaida kwa mtu anaetumia sindaano depo kupanga uzazi kutoona siku zake za mwezi?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari zenu wanajf! mimi ninampenzi wangu anamanii mepesi sana kama maji, nauliza ni kawaida au anaweza akawa na matatizo? ushauri jaman
0 Reactions
28 Replies
26K Views
x-girlfriend wangu amekuwa aking'ang'ania uume kubakia katika uke wake kila baada ya tendo hadi kupitiwa na usingizi nakujikuta hadi asubuhitupo vilevile, je, kunamadhara yeyote katika hili...
0 Reactions
96 Replies
89K Views
Kwenu wadau, Kama nilivyojieleza hapo juu ndivyo ilivyo,lkn mwanzoni ckuwa hivyo. Nilipokuwa form six mwaka 2005,uzito wangu ulikuwa 64kg na nilipokuwa namaliza udsm uzito ulikuwa 76 kg,lkn sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je..ulaji wa sukari nyingi inasabisha upungufu wa nguvu za kiume..? Mchango wako muhimu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
natumai mu bukher wa afya! jf dokta naomba msaada tatizo la kutapika ndani ya bus pind naposafir, kama kuna mwenye auelewa na tiba ya hili tatizo anijuze maana imekua ni kero kubwa kwang
0 Reactions
5 Replies
994 Views
Wakuu hiv ni ugonjwa gan ambao ukiupata au ukiwa nao lazma ufe mapema
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LOWGAR Bidhaa hii inatibu kisukari aina ya pili(Diabetes mellitus). KISUKARI Kisukari cha aina ya pili kinatokana na lishe mbaya ya vyakula na ulaji mbaya wa vyakula pasipo na mpangilio. Chakula...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Uhusiano wa nguvu za kiume na mzunguko wa damu Nini kinachofanya uume usimame? Kwa haraka unaweza kujibu ni msisimko. Naam, unaweza kuwa sahihi. Lakini msisimko ni matokeo. Kuna...
3 Reactions
7 Replies
16K Views
Wazima MMU,sababu inayofanya papuchi kuwa kavu kunako 6 kwa 6 ni zipi? Na je kuna vyakula ambavyo mtu akila vitasaidia kuondoa uo ukavu??
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Manufaa ya kucheka. Wanasayansi wamekadiria kwamba kucheka kwa furaha kwa nusu dakika ni sawa na kupumzika kabisa kwa dakika 45. Kuangua kicheko kunalingana na kufanya mazoezi ya viungo kwa...
8 Reactions
25 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu.. Kwa anaefaham dawa au tiba ya kichunjua anifahamishe. Ni aina ya kikovu kidogodogo au mara nyingine huwa km kipele kisichokwisha hata km utakikuna au kukikwangua kwa kucha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wapendwa Nilitoa uzi hapa kwamba mimba inanisumbua mkanipa ushauri nikawa natumia tangawiz tatizo la kutapika likaisha kabisa. Ila leo mume wangu karudi baada ya kuwa nae mbali kwa...
0 Reactions
32 Replies
12K Views
Mimi ni kijana umri miaka 21,nina tatizo ambalo nasumbuliwa nalo kwa mda mrefu sasa lilianza kama miaka 2 iliyopita ,nilianza na dalili zifuatazo 1)nikipata haja ndogo,mkojo huwa hautoki mara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nawasalimu wataalamu wetu,kwa kiasi kikubwa tunaona furaha pale mnapotusaidia kuhusiana na afya zetu, ila leo naomba msaada sana kuhusiana na tatizo la kupooza kwa upande mmoja wa uso (facial...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom