Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu wana JF?? Napata maumivu makali sana chini ya kitovu wakati wa MP ambayo yanapelekea kuninyima usingizi.Msaada kwa anayejua tiba yake.Nawasilisha.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
JAMANIE, Tulikuwa tunabishana hapa kuna mtu kashupalia ati ukilala na mwenye ngoma, wiki mbili tu zinatosha ukipima utaona virusi, wengine wanasema hadi miezi mitatu. kwa wale wataalamu, hivi...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
habari wana jf doctor?.jumanne nliamka kichwa knauma sana kwenye paj la uso.bas nkanywa panadol kikapona lakin jion kikaanza tena sa kikawa kinauma mara kweny paji,mara utosin au pemben na sasa...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Habari zenu wanaJf Jamani tatizo langu kubwa ni tumbo kunguruma kupita kiasi, haijalishi nimekula chakula ama sijala hali ipo palepale!! Nahitaji msaada wenu wakuu,.
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Nimeikuta sehemu hii kitu, nikaona sio vibaya tukishirikishana wanajamvi! PLEASE READ THIS AND SHARE IT TO ALL WHO YOU CARE THE MOST, LETS COMBAT THIS NIGHTMARE! LATEST CANCER INFORMATION from...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Msaada........nina rafiki yangu ana kuwa ananisumbua jii ya hili ya kumwaga shahawa kidogo wakati wa ngono na hizo shahawa haziwi nyeupee....je ana matatizo gani au ni maumbileee tuu au hali...
0 Reactions
22 Replies
22K Views
Nimeshangaa pale nilipopewa majibu ya DNA niliyokwenda kumpima mtoto wangu pamoja na mimi pale Ocean Road na ikaandikwa katika karatasi ya matokeo kwamba sio asilimia 100 sahihi kwasababu vipimo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kisukari: A SIMPLE FIX: Kisukari ni moja ya magonjwa yanayosumbuwa sana watu kote duniani, ukishauguwa kisukari utapangiwa lishe na maelezo kibao ya kuishi hivi ama vile, hata hivyo watu...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
hiv nini chanzo au sababu ya manii kutoka yenyewe bila kufanya tendo?:A S-confused1::A S-confused1:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu bandugu! Tafadhali naomba kuuliza kama kuna ukweli wowote kuhusu haya matangazo yanayohusu kuongeza uume na nguvu zake kama hili la kiboko ya paulina! Kama kuna ukweli ni nini madhara...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu Wana JF... Leo nakuja kivingine tena na nimerudi tena kwenye mwendelezo wangu ule ule wa utando mweupe unaotoka wakati wa kujamiana. Nianze kwa kusema Hakika mapenzi ni matamu...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
WanaJF naomba Ushauri,Nina matatizo yanamkabili Baba yangu baada ya kufiwa na Mama yake wiki mbili zilizopita yananichanganya sana,Awali siku mbili baada ya Msiba alipata tatizo la Mkanda wa jeshi...
0 Reactions
5 Replies
33K Views
Ni kijana wa miaka 20,pia ni muumini mkubwa wa mazoezi ya viungo hususani mpira wa miguu, tatizo langu ni damu huwa inachanganyika na manii wakati wa kujamiana lakini nikikojoa mkojo huwa unatoka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
New Pill for HIV Treatment Approved by FDA SHARE: Adjust text size: Scanning electron micrograph of HIV-1 budding (in green) from cultured lymphocyte Enlarge picture The combination pill...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
hivi kovu la kuungua linaweza kufutika Kabisa na sehemu iliyoungua irudi kama ilivyokuwa mwanzoni? kwa kupitia wenzetu India?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nayakati tofauti tofauti imewahi kuwasikia kina mama wawili (ambao ni wauguzi) wakiwakaripia vikali sana watoto wao kwa tabia yao ya kula ndizi mbivu kama mbadala wa chakula wakati wa mchana...
1 Reactions
4 Replies
18K Views
Hali zenu Waheshimiwa, naomba ushauri/msaada, nina mgonjwa anapatwa na shida kifuani, mara nyingi kunakuwa na mvutano kifuani, kuna daktari alituambia moyo umepanuka, alipewa dawa na alishamaliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu salama? Naomba kujua kama nina mtoto wa miaka 6. 1)Naweza kupata wapi utaalamu wa kumfanya kama watoto wengine awe na hamu ya kijisomea,bila vitisho.eg kwenye bus akiwa na kitabu...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Wanajf ni kweli kuna mchawi? Eti ukirogwa unaugua ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Me kijana nimemaliza chuo 2010, sijicfii hila ni handsome wadada wananipenda mtaani,kazini kila dem anataka niwe mpenzi wake lakini mpaka umri huu nimegonga demu mmoja na nilijuta maana mwenyewe...
0 Reactions
49 Replies
17K Views
Back
Top Bottom