Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu nyote.naomba mnisaidie jinsi ya kuzuiaimba kwa njia ya asili.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habr ndg zangu,nisaidieni kutopata hedhi leo ni siku ya 56,nimeshapima ujauzito kwa kutumia hcg yaan urine test ziadi ya mara tatu na leo nimetest hamna kitu licha ya mwanzoni nilipata kuumwa na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
naomba kuuliza garciana Cambogia ni aina gani ya tunda na jina lake kwa kiswahili. pia naweza kulipataje
0 Reactions
0 Replies
1K Views
If you've ever been to see an acupuncturist, odds are even that you had a brush with Chinese herbal medicine. If you didn't take herbs, maybe you saw shelves lined with pretty, exotic labels. Or...
1 Reactions
4 Replies
40K Views
Habari za hapa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 2 sasa, kikazi naweza kusema ni fundi ambae muda mwingi huutumia ktk laptop (yaani kukaa kwa muda...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
habari wakuu, naomba msaada ktk hili kwa mwenye utaalam ni hivi mtoto wangu ana miezi 6 sasa shida ni kuwa usiku analala kwa masaa machache sana almost matano afu akiamka halali tena yaani...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa!!! Jamani eeh.......! mwenzenu kuna bidada anataka kunikaba koo mie kisa tu na yeye anataka kuwa kimodo mwenye big butt!!!!!!! Mwanzoni nilichukulia masihala sasa jana...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari JF Doctors, nna mchumba wangu ana tatizo kwenye mzunguko wake mara ya kwanza alikua anapata siku zake kwa mzunguko wa siku 28, lakini kwa sasa imechange sana mwezi uliopita alipata mzunguko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina vidonda kwenye ulimi,je upungufu wa vitamini au tatizo gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, mimi ni mwanamke na mama wa mtoto mmoja, tatizo langu ni kwamba miezi miwili nyuma nilijifungua kwa operation, sasa ule mkono ambao ulitumika kutundikiwa drip na kupitishia dawa umekua km...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sept. 19, 2008 -- Men, beware: Using a hands-free device with a cell phone may affect your fertility if you keep your phone close to your testicles, Cleveland Clinic researchers warn in the...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Jinsi kidole tumbo kinavyoonekana kwenye mwili wa binadamu. Picha ya Mtandao. Tatizo hili haliwapati watoto wenye umri chini ya miaka miwili na huwapata zaidi watu wenye umri kati ya 15-30...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
nimewahi kuandika humu sikupata attention. nimeona watu wanatafuta msaada wa figo kwa wagonjwa wao ambao baadaye wameripotiwa kufariki kwa kutozipata. mimi niko tayari ku donate figo moja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wadau naombeni ushauri, nikiwa nafanya tendo la ndoa nafika kileleni haraka sana,nitumie dawa gani kutibu tatizo hilo?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari wataalam. mimi huwa napatwa na tatizo lakuvimba chini kidogo ya sikio uvimbe huwa simkubwa sana nikama kijipu uchungu hivi. lakin chenyewe huwa kinakaa kwa mda mrefu mpaka kuiva nakupasuka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona nyuzi zako nying hapa ambazo daima zimejaa hekma busara na elimu aidha kuhusu magonjwa au tiba au kinga.Kwa kwel nimevutika na maarifa yako na chemchem yako. ninachotaka kujua jee una...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu, Mama watoto wangu ni mjamzito,huu ni uja uzito wa pili,ameanza kliniki kwa wakati. Mara ya mwisho kwenda kliniki ameambiwa apime Ultra Sound. Daktari wa ultra sound amemwambia ana...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
nifanyaje niache kutema mate na kutapika mjamzito
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwanangu ana utando mweupe mdomoni ukiambatana na vidonja,inadaiwa kuwa ukitokeza mkunduni haponi ng`o.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom