Wanasayansi wamekuza jino kutoka kwa mkojo wa binadamu
Matokeo haya yaliyochapishwa kwenye jarida la utafiti wa kisayansi la Cell Regeneration, yalionyesha kuwa mkojo unaweza kutumika kuunda celi...
Habari wana jf
nimekutana na demu wangu siku saba baada ya hapo akapata hedhi . Tukakaa akanipigia simu akaniambia siku zake hazioni na ni siku ya thelathin ktk mzunguko wake.tatizo linakuja hivi...
eti inasemekana kwa mwanamke mwenye mimba ya kwanza kuna uwezekano wa kujifungua mapema zaidi kabla ya tarehe anayoifikiria???? kabla ya wiki moja au mbili??? nijuzeni pleaseee na kama ndivyo...
Habari wakuuu!!!!
Mimi niko kwenye ndoa kwa miaka minne sasa. Kwa bahati mbaya bado hatujajaaliwa kupata mtoto. Hapo ndipo ninapoomba msaada wenu waungwana ili nami niingie kwenye ulimwengu wa...
Kwanza niwashukuru wote walionishauri kwenye thread niliyoomba ushauri kuhusu malaria...
Kuna mdau alinielekeza nije kwa Kishamba hapa Majengo Moshi. Nimepima na hakuna tena wadudu wa malaria...
Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio...
Habari za mchana wana jamvi,
Nauliza kuhusu utaratibu wa hii hospitali yetu ya Muh kuidhinisha matibabu ya wagonjwa walioshauriwa kwenda kwenye matibabu zaidi nje ya nchi kutoka katika hospitali...
Habar za pilka pilka za kusaka lishe wana jf..mimi nahisi nina tatizo.ili tatizo linakuja pindi tu napokua far from home yani labda nikiwa shule.waga nahisi uchovu sana..kuhisi kuumwa umwa...
HEy guys. i do give warning this video may not be suitable for others but its worth knowing what gors on on tummytuck operation
here is the link
Miami Plastic Surgery - Tummy Tuck...
hi..!
Mzee wangu anasumbuliwa sana na miguu,yaani akivaa viatu tu hata masaa 2 akivua basi miguu kuanzia magotini hadi unyayo unaota vitu kama vipele hivi vinawasha,then vile vipele vinakua kama...
Pregnancy and discomfort often go hand in hand. But when discomfort progresses to pain, what medications can expectant mothers use for relief? Luckily, safe painkiller options exist, but as with...
Wapendwa wana JF, leo nimeamua kutoa somo la bure kuhusu aina mbali mbali za vitambi ili iwe rahisi kuvitambua na kufahamu yale yanayohusiana na hivyo vitambi. Nianze kwa kusema kuwa vitambi viko...
top ten reasons to drink argi.
acts to release anti aging
hormones.
affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control.
reduce blood cholesterol...
Hi members, kuna jamaa yangu wa karibu anaso SAUT, Mwanza alikua na mahusiano na binti mmoja, so jana amefanya mapenzi na binti huyo na alitumia kinga. Ila baada ya masaa kadhaa akagundua kumbe...
Nina tatizo la kitu kunizurura rohoni. Nikihoa naishia kutoa kohozi tu lakin chenyewe hakitoki, nikimeza hakimezeki na hata kinanikera hata nikijitapisha hakitoki. Msaada wane jaman.. Hali ina...
1.kuugua kwa tumbo au maumivu ya tumbo mara kwa mara?
2.Kufanya mapenzi na mwanaume kwa muda mrefu mwendo wa masaa 2na kuendlea bila kuchoka?.
3.kutoona siku za hatari(danger zone).kwa mda na...
Nina taizo la makamas meupe kutokea puani. Nimetumia dawa za hospital lakin hali si shwari. Koo haliniumi wala haliwashi. Na makamas yanatoka safi bila damu. Kwakuwa nilikaa kwenye bardi kali ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.