jamani mmmh
yani private hospitals siku hizi huduma zeeero kbisa bora hata mwananyamala,watu nyomi,wafanyakazi wachache halafu customer service mbovu, yani hata ukiwaza kwenda hospitali unatamani...
Nipo kwenye daladala nasikiliza kuhusu madawa ya kuongeza makalio na matiti.Wadada wanasema sababu ya kutumia hizo dawa ni wanaume wanapenda hayo maumbile makubwa,imefikia hatua sasa nguo za ndani...
wapendwa wanajukwaa mi nina tatizo ambalo nina imani wengi wetu pia linawasumbua na kuwakera. Tatizo lenyewe ni tumbo kutoa sauti inayokera . Wengi husema ni kwa sababu ya njaa lakini mimi...
mimi ni mama wa mtoto mmoja (nategemea mwingine Mungu akijalia mapema mwakani),ana umri wa miaka mitatu,tatizo lake ni kuwa jamani hataki kula,nimejitahdi kadiri niwezavyo lakini sioni...
kama una tatizo la meno ukienda muhimbili kitengo cha meno, kuwa makini sana sababu wanaleta madent( intern) kuwafanya practical kwenye vinywa vya watu. Kwahiyo kuweni makini ukiona anatumia muda...
Habari JF Doctor,naomba unipe ushauri juu ya hili tatizo langu,nimekuwa nikipata vargina discharges pamoja na kuwashwa sana sehemu hizo kwa siku tano sasa,je ninaweza kuwa na fungus?pia nikiskia...
Naomba msaada wenu wanajamii, nina mgonjwa wa ugonjwa wa kisukari hali yake ni mbaya sana. Madakitari wanameamua kumkata miguu.
Tumepata habari za kuwepo hospitali ya Abbas Medical Centre...
Am21yrz old, ila meambiwa nna uvimbe kwenye my right ovar, n nkafanya utrasaund kweli nliona hiyo sehem n ilikua tofaut na left one, ilikua mwez wa sita, ckupewa dawa ila doc aliniambia nirud...
Habari,
Kwa wale wanaohitaji unga wa ugali wa dona wawasiliane na mimi. Unga huu umetengenezwa kutokana na mahindi na ngano bila kukoboa ili kubakisha virutubisho vyake mhimu kwa afya, umeongezwa...
Hello Wanajamii! Bila shaka kila mtu anaendelea vizuri na kazi zake za kila siku na hatuna budi kushukuru kwa hilo. Tunapenda kupanga mambo yetu ya kimaisha na yanatakiwa yaende kama...
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu faida na pengine madhara anayoweza pata mtumiaji wa maziwa ya unga NIDO,kwa maana kunadaktari moja alimshauri mama mjamzito atumie kwa wingi na dokta mwingine...
1) In the first 10 minutes: 10 teaspoons of sugar hit your system. (100% of your recommended daily intake.) You dont immediately vomit from the overwhelming sweetness because phosphoric acid cuts...
MBINU ZA KUKABILIANA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUPIZI HARAKA, NA KUSHINDWA KURUDIA RAUNDI YA PILI
Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana...
Kimeta ni ugonjwa wa hatari unasababishwa na vimelea vya bacteria. Bakteria hawa hujulikana kama Bacillus anthracis, bacteria ambao wana uwezo wa kufanya mbengu. Mbegu hizi ni seli ambazo huweza...
-Citrus fruits
Food sucha as oranges and grapefruits are high in Vitamin C, which improve memory and performance.
-Eggs
Eggs are high in a memory buillding vitamin called choline.
-Fish (...
Khabari za saa hizi wanajamvi!
Kwanza shukran zangu za dhati kwa huduma na Ushauri tunazopata humu ndani kwa Kweli ni zenye faida chungu nzima kwa jamiii
Naomba Msaada plz niko na siku 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.