Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu mi ninatatizo moja,yani naweza kukaa ofisini jasho likajaa kwenye kwapa shati lote linalowa kwenye kwapa,na kuhusu nywele za kwapani najithd kuziondoa kila mara,sasa kama kuna mtu anjua hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do? Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi...
0 Reactions
34 Replies
15K Views
mama mjamzito miez 5 akijiskia maumivu chn ya kitovu mara kwa mara,tatzo nn.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Salam wakuu, Kwa siku nyingi nimekua nikisikia kwamba viroba vina madhara kwa binadamu. Nikawa najiuliza inakua vipi wakati vimepitishwa na shirika la viwango tanzania? Wengine wanasema...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tumekuwa tukisikia bidhaa feki, trafiki feki, ARV feki, madawa feki. Jamani watz nani atatuokoa na majanga haya? Ebu soma feki nyingine hii hapa chini: KCMC yamnasa daktari feki akiandaa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waheshimiwa naomba ushauri wenu/jina la dawa. Niliugua chickenpox last yr lakini baada ya kupona nimebaki na scars ambazo zimeharibu sura ya ngozi yangu na zinatisha ukiona. Niko serious na jambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu jamaa ni nouma ktk mambo ya upasuaji wa watoto walio ungana..amekua akialikwa nchi mbalimbali kusaidia upasuaji hasa Afrika kusini.Huyu jamaa ni mweusi kama sisi aliyetokea familia maskini...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
nna rafik yang wa kike ana tatzo la kutOkwa na ute mweupe ktk sehem zake za siri! na hajawah kufanya mapenz ht mara moja wala hapat muwashO wala maumv yyte ktk sehem zake! je waweza kuwa ni ugonjwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Is It Healthy to eat Instant Noodles? Instant Noodles is a popular cheap food item that keeps coming up to the market to attract the fast paced community of youngsters. Even though it is...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Anayejua location ya clinic za kichina dar naomba anielekeze
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Kuna dada mmoja anasumbuliwa sana na tatizo la kupata maumivu makali anapokuwa kwenye menstruation (dysmenorrhoea), jambo linalomnyima raha. Amejaribu sana tiba za hospitali bila mafanikio na...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Wanajf kutokana na matukio mbalimbali Tanzania nimeona niulize hili swali ili wajuzi watuelimishe tujue namna ya kufanya maana hatujii matukio haya yatakoma lini. Je nifanyeje kumpa huduma ya...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Mimi ni binti nina tatizo tumbo langu linakuwa kubwa mpaka mtu anaweza jua nina ujauzito naomba mniambie nifanye kitu gani? Hili liweze kupungua sababu linaharibu umbo langu nisaidieni?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nipo mbele yenu wana JF nilitaka/nikiomba maelezo ya kina kwani wasomi wa mtaani/vijiweni/street university kuwa eti kumaliza kufika kileleni kabla ya mwenzio ni tatizo la kisaikolojia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wataalamu, kumekua na tatizo la kuota vinyama mbali mbali sehem za mwili ambavyo huota tu vyenyewe na kuondoka, nilishawahi kuwa navyo sehem za kwenye vigimbi vilikaa mda mrefu lakini vikaondoka...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
kuna rafiki yangu mke wake ana ugonjwa wa gono ma anasema hajafanya mapenzi nje ya ndoa. Je, kuna uwezekano kwa mwanamke kupata ugonjwa huu bila kuambukizwa? Nisaidieni wana JF
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wakuu naombeni msaada wenu nashindwa kuelewa huu ni ugonjwa ganI yani ulimi wangu umekuwa kama na cracks hivi afu na kama hairy like stucture kwa katikati but maumivu hamna but kama...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hivi ni kweli chanjo wanayodai watafiti wa ukimwi marekan kua ni yenye mafanikio inafaida kwa watu au wanataka tu kukuza uchumi wa nchi hiyo na kujizolea umaarufu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajf. Napenda kuuliza hivi ni kweli hz dawa aina ya postonr 2 zinazuia mimba kwa kumezwa baada ya sex na je hazina madhara yoyote. Napenda kujua zinafanya kazi vp hadi kuzuia mimba.
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Nimesikia kwa mashost wangu kuwa kuweka asali kwenye uke husaidia kutight . Je ni kweli?
0 Reactions
16 Replies
67K Views
Back
Top Bottom