Kuna mtoto anamakengeza ,nimesikia mtu mmoja nasema kuwa madaktari wanaweza kurekebisha kitu hicho kwa operation ndogo tu!
Naomba mnijulishe utaalamu huu!
jamani msaada wenu, kama unataka kuni-tusi au hutoi msaada naomba upite tu. nahitaji msaada jamani wiki moja iliyopita nilirudi home nikiwa matingasi house-girl alipofungua mlango alikuwa na nguo...
habari wanajamvi,kwanza kabisa poleni na majukumu ya kila siku pili hongera kwa kuzaliwa tanzania na kuongeza idadi ya waafrika. nikirudi ktk topic nduguzanguni nahitaj msaada wa ushauri ni nini...
KWA UFUPI
Hivyo, inakupasa kufanya utafiti ili kubaini ni make up ipi sahihi na haina madhara katika ngozi yako.
Vipodozi au Makeups ni urembo unaopendwa zaidi na wanawake wengi, dhamira...
Habari wataalam, mwanangu ana miezi mi 3, alichomwa sindano begani akiwa hajafikisha mwezi.
Siku zinavyozidi kwenda ndo kinundu kinaongezeka pale alipochomwa sindano. Na kumeanza kuwa kama jipu...
This is interesting. After reading this, you'll never look at a banana in the same way again.
Bananas contain three natural sugars - sucrose, fructose and glucose
combined with fiber. A...
Gharama za huduma za kulipia matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili zimepanda maradufu.
Hatua hiyo inayotekelezwa bila kuwashirikisha wadau na watoa huduma ilianza Septemba mosi mwaka huu...
Chanjo ya ugonjwa wa malaria imegundulika huko marekani na wanasayansi na tayari wameifanyia majaribio na kugundua inaweza kutumika kama chanjo ya malaria
Kuna rafiki yangu mmoja kanielezea tatizo kwamba yeye alifanya mapenzi, then alipoenda chooni kukojoa ikatoka damu kwenye mkojo, damu kabisa. kondomu alitumia, jamaa anashangaa kwamba ilikuwa...
habari zenu wana jamvi...
mimi ni kijana wa kiume, umri wangu ni 20's, ni tatizo moja, kila ninapokutana na mdada yeyote kimapenzi, huwa analalamika kwamba anaumia sana, pamoja na kwamba huwa...
Ndugu zangu ma Doctors, nilienda kupima mkojo nikaambiwa mkojo wangu hauna tatizo, ila nakojoa mkojo wa njano sana, nakunywa maji lakini still mkojo niwanjano sana, then nakojoa kila baada ya mda...
Habari zenu wana JF!
Ninahitaji msaada wenu tafadhali!
Mzee wangu anaumwa figo zote mbili! Hospitali wamemuambia kuwa figo zote zina matatizo, zimefeli.
Je, anaweza kupata dawa?
Hii ni...
Hakuna dawa ambayo ipo pharmacetuical proven isiyokuwa na madhara(side effect).Dawa aina zote zina side effect kwa namna moja au nyingine.Kitu ambacho ni cha muhimu na tuwe makini nacho ni how...
Your body's pH level affects everything. You can buy pH testing strips from your local health foods store.
Balancing your pH level is a major step toward well-being and better health.
The pH...
Nikiwa na mpenzi wangu chumbani wakati namuandaa ili tuanze kusex ghafla linatokeaga tukio la korodani zangu kuuma kama mtu anazibinya, baadhi ya marafiki walinambia kwamba nina shetani mahaba...
ndugu wanajamvi hili ntatizo lnalopata vjana wanaume pind wafkapo miaka 15-25.tatzo hili linasababishwa na kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa mishpa ya vena inayopeleka damu ktika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.