Tunatoa huduma kwa wote wanaosumbuliwa na magonjwa sugu au ya tabia.. Magonjwa haya yanatibiwa kwa njia ya kutumia virutubisho mwili vitakavyomwezesha mgonjwa kurudi katika hali ya kawaida ya...
ninatatizo la kucheua kila ninapokula chakula chochote. nmekua nalo kwa muda mrefu si chini ya miaka 25. ukwel nasumbuka mana kila ninapokula mwili umejiweka kubehua si chini ya mara kumi. kero...
Chanjo ya Ukimwi, siyo iliyogunduliwa na marekani
KWA UFUPI
Katika majaribio ya chanjo hiyo, wanasayansi hao wameelezea kuwa imeonyesha mafanikio kwa kuangamiza kabisa virusi wanaofanana na...
Wana JF nilikua nauliza ni hospital gan hapa dar ni nzuri kutahiri mtoto wa kiume na cost zake zikoje, na je kutahiri mtoto akiwa mdogo huleta madhara yoyote kiafya?
Sent from my BlackBerry...
Mimi na mke wangu tumekuwa tukitafuta mtoto kwa muda wa miezi 6 sasa. Muda mwingi mimi huwa safarini kwa shughuli za kikazi kwa hiyo kukutana huwa si mara kwa mara. Mara ya mwisho yeye kuona hedhi...
Waungwana nisaidieni
Nasumbuliwa sana na kiungulia hasa ninapotumia chakula chenye maharage (beans) na nyanya....
*Na ni jinsi gani ya kupambana na kiungulia?
habari wana jf......mm ni kobonge kdg nina tatizo la kuwa na rangi nyeuc sana katikati ya mapaja nliwahi kuambiwa cream ya gentrison nimeitumia sana ila cjpata ufumbuzi tatizo hili lipo na...
Mke wangu amekata tamaa ya maisha kisa hatna mtoto tunalea WA wengine,tumejaribu njia zote za kisasa na kienyeji kwa miaka6 bila mafanikio,kila anapopata siku zake ni kilio kiukweli hana tatizo...
Operesheni ondosha vitambi kwa kina mama.
Wamama wengi siku izi ukikutana nao wanaonekana kama ni wajawazito, lakini si wajawazito, wana vitambi ama viriba tumbo kama wanaume, hii si hali ya...
Habari zenu wadada wenzangu,
Inasemekana kwamba tatizo la viginal candidiasis kwa wanawake ni jambo la kawaida ingawa halina maambukizi,na mara nyingi husababishwa na kutumia sabuni na water gel...
KWA UFUPI
Ugonjwa huu unatajwa kuwapata wanawake wakati wa ujauzito, pasipo wao wenyewe kujua na matokeo yake hujifungua watoto wenye uzito mkubwa, walio na matatizo ya kimaumbile na wengine...
40 Tips for Happy and Healthly Life
Health:
1. Drink plenty of water.
2. Eat breakfast like a king, lunch like a prince and
dinner like a beggar.
3. Eat more foods that grow on trees and...
Hi all, mada yangu ni kuhusu kovu lililosababishwa na moto or maji ya moto au kitu kingine!
Je, wadau/doctors kuna cream or natural herb that can get rid of it.
Lengo ni kwamba vinyweleo viote...
Nina umri wa miaka 28 mzunguko wangu ni siku 30,cha kushangaza nilipata hedh tarh 24 mwez wa 8 na jana tareh 13 nimeanza tena kubleed. Je ni tatizo gan? Maana sijabadil mazingira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.