Vyakula vya kusaidia kuzuia kansa ya matiti! kuleni sana hivi vyakula akina dada hamutaweza kupata hiyo Kansa ya Matiti.
It was scientifically proven that these foods help to prevent breast...
Dr. wa JF
Naomba kufahamishwa mimi kila ninapolala pindi niamkapo lazima nipige chafya mara tatu au mara nne. Hii haijalishi nimelala mchana au usiku na kuamka muda wowote.
Je hili ni tatizo kiafya?
A senior doctor has been suspended for his role in the disappearance of a newly-delivered boy-child at the National Referral Hospital Mulago in a case dating back seven years ago...
Heshima mbele wakuu na madaktari wote pande hizo.
Huyu ni msichana wa umri wa miaka 28 analalamika kuwa chini ya kitovu panavuta, Wiki moja imepita trh 03/08 alikwenda Muhimbili hosipitali...
Habari wana JF?
Kiuhalisia mi ni mzima wa afya kabisa lakini ningeomba tuzungumzie tatizo linalinikabili.
Kwa kawaida huwa siwezi kucheza games za computer zenye movements kama vile need for...
Mara nyingi nimekuwa nikiona threads humu ndani watu wakiulizia unawezaje kuhesabu siku na kujua zile siku za hatari ambazo mwanamke anaweza kushika mimba; naomba leo nitoe somo kidogo...
Wakuu,
Naomba ushauri wa kitaalam. Mimi na mke wangu tumejaliwa watoto watatu wote ni wakike. Namshukuru Mungu kwa hilo na nawapenda sana. Natamani kupata mtoto wa kiume pia bahati mbaya mie na...
Mwenye idea yoyote kuhusu huu ugonjwa maana mara nying nahisi mgongo umeshuka pingili flan hvyo mda mwingi nimekuwa mtu wa kujinyoosha ili kuweka sawa(Kuna maumivu kwa mbali).
Nina miaka 23...
Jamani nina tatizo la constipation(kufunga haja kubwa)na nilimuda sasa morethan 2 yrz nimejaribu tiba nyingi haijasaidia naona mabadiliko pale tu ninapotumia dawa ila zikiisha tatizo liko...
Tafadhali naomba ufafanuzi, ni kwa muda gani X na Y chromosome zinakaa kwenye sehemu ya uzazi wa mwanamke baada ya kujamiiana na zikiwa na uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke likitoka...
KWA UFUPI
Lakini sivyo kwa wengi majuu, kutokana na majira nyanda za kaskazi ya dunia kuwa baridi, mvua ya manyunyu na ukungu robo tatu ya mwaka. Ulimwengu ni kama umekunja ndita kwa hasira...
1. Kuna matatizo inatokea mtu anakuwa na vimawe vidogovidoko katika figo zake na mara nyingi mtu huyo hufanyiwa upasuaji kuviondoa. Mimi ninachohitaji kujua ni hivyo vimawe vinaingiaje ktk mfumo...
Hi members & Guests!
As the title would explain, Caligynephobia is the clinical term for an irrational fear of beautiful women. A person may experience Caligynephobia because of personal trauma or...
Pamoja na kuonekana kuwa ni fasheni (mtindo) inayowapendeza wanawake wengi na inayopata umaarufu zaidi kwa vijana wengi nchini wakiwemo wasanii, ukweli ni kuwa suruali za jeans na zinazobana...
kama unachukia makunyanzi jaribu hii dawa yauzwa kwa dollar tano tu na tena ipo ya majaribio ambayo ni bure..............lakini ukiaanza kuitumia ukaacha makunyanzi yanarudi.............siyo ya...