Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Binadamu kila kukicha tunazidi kupata mbinu za kuyakabili maisha.. Inafikia hatua ya kujigeuza miungu watu sasa.. Kwa kujipa uwezo wa kuwafufua binadamu waliokufa siku za nyuma, Ndugu zangu haswa...
9 Reactions
261 Replies
40K Views
Wayahudi na Wapalestina ni watoto wa baba moja lakini mama tofauti. Baba yao ni mtu wa Ukaldayo ambako ndiyo Iraki ya sasa. Mtoto wa kwanza wa Abraham, Ishmael alikiwa na mama mwafrika aliyetokea...
11 Reactions
143 Replies
28K Views
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa...
130 Reactions
517 Replies
162K Views
According to the Bible analyst, Melkizedeck aliyekua Kuhani Mkuu na Mfalme wa Salem na kupokea fungu la kumi na kumbariki baba wa Imani ndio huyo huyo Jesus Christ (Yesu Kristo) na Nabii Elia...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Katika mji wa kisasa wa Nairobi, Anna, msichana mwenye bidii na mpenzi wa teknolojia, aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa sarafu za kidijitali unaojulikana kama cryptocurrency. Alikuwa amesikia...
2 Reactions
10 Replies
505 Views
Nawasalimu wote mliopo humu ndani Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya.. Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi...
4 Reactions
16 Replies
826 Views
Yaliyomo A & B ==> wanadamu C ==> Mungu C katoa Sheria kwa A na B wapendane kama jinsi yeye anavyowapenda, ilihali wakipendana wasitendeane Ubaya. Pia, C katoa ahadi ya Maisha ya Furaha ya Milele...
2 Reactions
12 Replies
452 Views
Kwa jamii nyingi duniani, kiumbe huhesabiwa ya kwamba kipo hai pale kinapozaliwa na kuonyesha dalili za kwanza za uhai. Lakini ipo mijadala dunia nzima kuhusiana na uhai wa mimba. Kwamba mimba...
7 Reactions
84 Replies
2K Views
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani. Kwa mujibu wa Umoja wa mataifa, duaniani kuna nchi 195. Katika nchi zote hizo, jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora. Maana yake...
9 Reactions
23 Replies
847 Views
JAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING? Kusafiri mbele au nyuma ya muda? Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria...
10 Reactions
173 Replies
18K Views
Wakuu, Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha. Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha...
24 Reactions
100 Replies
24K Views
Siku hizi inashangaza sana huku kwetu uswazi... Unakuta hela zilizo nyingi zimechanwa pembeni kidogo hasa kwenye pembe za noti......ukiwauliza kwa nn wanachana kdogo wanasema eti ni kudhibiti hela...
15 Reactions
407 Replies
156K Views
wasaalam, wakuu Ninaandika haya huku , nikijua nitapingwa zaidi kuliko kuungwa mkono. Naandika huku nikitaraji pia dhihaka na kashfa kuliko majadaliano yenye mapenzi mema Naandika sio kwa vile...
12 Reactions
98 Replies
12K Views
Watanzania wamekuwa wakifuatilia sana mwenendo mzima wa kisiasa na uchumi wa Taifa lao lakini wakiwa hawana majibu ya maswali mengi ambayo yamelikumba Taifa. Matatizo mengi sana yamelisibu Taifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasalimia wana JF wote. Katika mwendelezo wangu wa kuwafundisha na kuwafungua macho watu, leo nimeonelea nilete siri iliyomo katika kufunga. Kwanza kabisa nawaomba muelewe kwamba, kuna namna...
54 Reactions
169 Replies
33K Views
Kiukweli ndugu wa Afrika naandika bandiko hili sio kuwa mimi ni mnazi hapana ila inaniuma kusikia kuwa ndugu zetu wanaenda Israel kuhiji au Mecca siku gani utakuja kusikia kuna papa mweusi...
1 Reactions
10 Replies
361 Views
JINSI YA KUFANYA MEDITATION Meditation Ya Pumzi: MEDITATION: Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena. ¡¤ Wengine wanaielezea...
123 Reactions
1K Replies
233K Views
Kuna makala niliisoma sehemu inadai hii ni conspiracy, Assad anatafutwa. Baada ya mwanzo kutaka kuingia moja kwa moja kwa Assad, maswahiba wa Assad wakiongozwa na Urusi( na china pia) walikomaa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Nawasalimu wote. Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho. Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni...
28 Reactions
60 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…