Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
wakuu asalaamu? watu wengi hapa jf walishawahi kutoa michango yao kuhusu kurudi nyuma ya wakati yaani "back in time" na mimi kwa mawazo yangu nahisi kama inawezekana! mfano, nchi ya Rwanda iko...
19 Reactions
141 Replies
17K Views
Kwa baadhi ya ziara za Mhe. Raisi wa JMT nilizoshuhudia hususan nilizokuwepo eneo la tukio, nimeona wanausalama katika misafara hiyo wakikataza Raia kuchukua picha mnato au mjongeo. Aidha endapo...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Pendo Lililobarikiwa, Amani. Jamiiforums sasa imekuwa ni Jukwaa la Kijamii la watu kutoka rika na makundi mbalimbali; wenye shauku ya kupenda na kutaka kujua mambo anuai-- yenye kuipa sifa ya...
1 Reactions
34 Replies
20K Views
Mara nyingi tunapojadili habari za sayansi giza... Lawama zote kejeli hata matusi hutupiwa mtu mweusi anayeonekana kukumbatia mila zisizo na faida wala ithibati... Nimejaribu kuwaelimisha wengi...
22 Reactions
142 Replies
26K Views
By Ethan Bronner New book, ‘Rise and Kill First,’ implies Israel killed Arafat Poisoned toothpaste that takes a month to end its target’s life. Armed drones. Exploding cell phones. Spare tires...
3 Reactions
2 Replies
965 Views
Wakati tuko shule ya Tulifundishwa historia ya vitu mbali mbali hasa kuhusu sisi waafrika na mambo yetu, mojawapo ya hoja au misingi ya somo hili ni kuelezea ugunduzi wa vitu mbali mbali na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu. Katika bible kuna issues kibao ambazo zinahitaji jicho la tatu kuweza kuelewa. Leo nna hitaji maoni na mawazo yenu mnaelewaje vitu hivi kadhaa kuhusu mnara wa babeli. Tunajua wale...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nasikia majina tofauti tofauti ya nyoka na sifa zake,hatari zake...lakini je ni yupi ndio kiboko ya yote...yaani funga kazi.anapatikana wapi Wanasifika sana ni kama vile...
6 Reactions
249 Replies
76K Views
Kwanza nimpe pole kamanda wa polisi aliyemu-underrate Dr Shika kwamba hana thamani hata ya million. Hawa ndio makamanda wetu wenye dhamana kubwa ya kutulinda. Tungesema sisi wa mitandaoni...
193 Reactions
866 Replies
158K Views
Utakuta mtu anapitiwa na rafiki zake waende mahali flani halafu kuna sauti inamwambia usiende na nyingine inamwambia nenda, na kisha baada ya kuiskiliza mojawapo ama kwenda au kutokenda mtu huyo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni mtazamo Uvutaji wa bangi si jambo geni vijana wengi wanavuta au wameshawahi kuvuta ukiachia mbali madhara ambayo watu wa afya wanasema yanaletwa na bangi (mengi si kweli) kama ulishawah...
18 Reactions
227 Replies
29K Views
Wakuu, heshima kwenu. Naleta kwenu mjadala huu unaohusu mpango wa Mungu kwa ukomo wa sayari dunia ambao kuna watu wamekuwa wakisema kuwa, Mungu kaipangia Dunia miaka 6000. Wanaodai hivyo wamekuwa...
6 Reactions
57 Replies
9K Views
Wengi tunafahamu au tunasikia kwamba wanyama wanaongozwa na hisia. Kando na wanyama, utasikia watu wakisema, fulani hana akili au ana hisia kali. Utaona hata hivyo, kwamba vitu hivi viwili yaani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Markov aliwahi kuandika novel moja aliyoiita kama 'The great roof' pamoja na jina la 'a symbol of the roof of lies' akimaanisha ya kwamba utawala wa serikali ya Bulgaria umejengeka katika misingi...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Adam&Eve.. Wanadamu wa kwanza kutia nyayo zao ktk uso wa Dunia na kutengeneza vizazi na Vizazi kutoka nyakati ambazo ni ngumu Hata kujua ilikua ni mwaka gani! Bado ni ngumu hata ukiweka katika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1) There is a certain aura of natural decency in the way they carry themselves. They have an inbuilt courtesy mannerism that makes it difficult for them to ever look down on you even if they are...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wapendwa poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Naomba wataalamu wa mambo mnisadie hivi kama kuna kitu kilipotea na ghafla kikapatikana ndani kwangu lakini nisikishike kwa mikono yangu na...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
JF inatambulika kwa uhuru wake wa maoni ambao wachangiaji mbalimbali hutoa. Hilo limekuwa wezeshi kutokana na uwepo wa utambulishi pacha(ID fake). Pia mmiliki-mwenza wa JF amejitahidi sana kulinda...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
KUZALIWA MARA YA PILI NA KUKUMBUKA HISTORIA YAKO YOTE YA NYUMA Tukubali tukatae ila duniani kuna mengi sana yaliyofichwa ambayo katika ulimwengu wa macho ya kawaida huwa hayaonekani kabisa.Wengi...
31 Reactions
141 Replies
25K Views
Back
Top Bottom