Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mara nyingi kila binadamu tu akizaliwa uzaliwa na kipawa kutoka kwa muumba wetu. Kipindi cha udogo utafanya mambo ya kushangaza mpaka wanaojua watasema huyu atakuja kuwa na fani flan. Baada ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
1:Kama Ukitanganza Malengo yako na Mipango kwa watu, Kuna uwezekano mkubwa yasitekelezeke, kwa sababu utapoteza motisha, Utafiti umeonyesha. 2:Wimbo unaoupenda kuliko wowote ule, Utafiti...
14 Reactions
20 Replies
10K Views
Sijajua kama nimeweka huu uzi katika jukwaa sahihi ila ninaamini kabisa kwamba kuna Maofisa ambao wanapita humu ambao wanao uwezo wa kuliweka hili mezani na kulijadili kwa kina kwa kuzingatia...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Taifa Bw. Ben Mkapa kwamba yeye hakubaliani na uamuzi wa Mahakama ulioruhusu uwepo wa wagombea huru. Binafsi sijafurahishwa kuwa hakuna...
1 Reactions
4K Replies
491K Views
Machi Mosi 1896, Kibanga alimshushia mkoloni kipigo cha mbwa koko katika ardhi ya Ethiopia. Majeshi ya Dola ya Italia yaliyojaa uroho wa kujimilikisha rasilimali za Ethiopia yalipata tabu sana...
34 Reactions
53 Replies
13K Views
Nguvu ya mwanamke ndio inatawala dunia ... Unaweza kubisha na kukataa katakata lakini huu ndio ukweli... Hebu turudi kwenye uumbaji wa ulimwengu kiimani Uumbaji wa mwanzo wa binadamu ulifanyika...
41 Reactions
205 Replies
39K Views
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze...
4 Reactions
170 Replies
40K Views
Nawatakia wakati mwema wakuu naleta kwenu hoja hii ya kutaka kujua ile nyota walioiona wanajimu wa mashariki wakati wa kuzaliwa Yesu kipindi hicho je kwa sasa iko wapi? tunajua azi ka sasa...
1 Reactions
102 Replies
16K Views
Habarini Wote. Nimepata kufanya Utungaji wenye kufungamana na mawaidha yajayo na mada mbalimbali katika Jukwaa hili Jamii -- kwa faragha. Mapenzi yangu yamekuwa ni kwamba kama hali bado...
1 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari Wanajamvi! ! Nina imani tunaendelea vyema katika shughuli za uzalishaji Mali, natamani tutumie nafasi mujaraab tuzipatazo kuzidi kuweka udadisi kuhusu suala zima la "Ukomunist"ama "...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Hiki ni kitabu ambacho nimefatilia baadhi ya maandiko yake kupitia mada mbalimbali za Dr Taylor Marshall, nimeona kinafaa kusoma kwa wapenzi wa kufatilia mambo mazito kidogo. Ukienda...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa? Kama ni mfuatiliaji wa habari za kimataifa na hasa maswala ya anga utagundua kuwa ndani ya mwezi huu UAE, China na baadae mwezi huu USA chini ya NASA wanategemea kurusha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Sina maana ya kupinga biblia ata kidogo ila katika harakati zangu za kutaka kujua asili yangu na mahusiano yangu na Mungu wangu muumba kuna maswali yanaibuka kichwani mwangu na nimetafuta majibu...
5 Reactions
81 Replies
21K Views
Polisi wapo, Mahakama zipo, na magereza zipo, kwa ajili ya kukamata wahalifu, kuwahukumu na kuwaadhibu. Lakini pamoja na yote hayo Bado watu hawaachi kufanya makosa kwa kuogopa adhabu. Mfano watu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais bora wa TZ next to Mwl. J. Nyerere Aliingia madarakani kwa haki bila rushwa wala kununua vyombo vya habari. Alikuwa na hoja na alieleza WAZI nia yake ya kugombea urais. Alianza kazi kwa...
5 Reactions
213 Replies
29K Views
Leo siko hapa kujadili maana ya tamko "Falsafa", bali nipo hapa kujadili matokeo ya Wanafalsafa yaani mafundisho yao. Rejea anuani ya uzi hapo juu. Ifuatayo ni mifano ya mafundisho ya baadhi ya...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna story nyingi kwanini madaraja hujengwa usiku,moja kati ya hizo ni kwamba kuna nguvu kubwa ya kichawi ambayo hutumika kutawanya maji na nguvu hiyo hufanya kazi usiku tu,pia wengine husema kuwa...
1 Reactions
40 Replies
12K Views
Habari wanajamvi? niende moja kwa moja kwenye mada, inafahamika kuwa dunia inajizungusha kwenye muhimiri wake kwa speed kubwa sana [earth's rotation] pia dunia inalizunguka jua (earth's...
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Mahusiano yetu na Mungu yanaimarika kwa sala na mahusiano yetu na Mungu yanakatika kwa uvivu wa sala Hakuna kitu muhimu kwa binadamu kama sala au maombi kwa Mungu mkuu Shetani ana majina mengi...
10 Reactions
68 Replies
11K Views
Je Karma ni kitu halisi kinachotenda kazi? Kama karma ipo kwa nini watu wadhulumaji na watesaji wanaosababisha tabu, mateso na adha kwa wengine iwe katika siasa, dini,kazi,biashara n.k huwa...
7 Reactions
60 Replies
9K Views
Back
Top Bottom