Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Najua hii topic haitokuwa popular na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya? Mimi nilikuwa...
18 Reactions
2K Replies
302K Views
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba...
60 Reactions
153 Replies
29K Views
1. Ozil na Ferrari Enzo Ferrari mwanzilishi wa ferrari ambaye Kisura anafanana na Mchezaji wa mpira Mesut Ozil alifariki Mwaka ambao Ozil alizaliwa. 2. Lincoln na Kennedy. Maraisi wawili wa...
175 Reactions
331 Replies
95K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
151 Reactions
1K Replies
303K Views
Ndugu zangu, Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums Karibuni katika uzi maalum ambao utakuwa unaelezea kwa kuna elimu ya Namba(Numerology). Michango yenu ni muhimu sana wadau wote wenye uelewa wa elimu ya namba maana humu...
8 Reactions
25 Replies
14K Views
Ilikuwa majira ya saa saba usiku na dakika 37, tarehe 31 July 2024, ndani ya jiji la Tehran nchini Iran. Mlipuko mkubwa ulisikika sehemu ambayo daima dumu usingetarajia. Mlipuko ule ukaondoka na...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo. Nauliza kwamba Forensic Investigation wanao uwezo wa kugundua maandishi kwenye soft copy kama yamebadilishwa kutokana na original document? Yaani mfano barua iliandikwa kuhusu...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
WAKALA WA KUZIMU ALIYETUMWA NA MAFIA Kuna mambo ambayo tumezoea kuyaona kwenye filamu, tukaishia kufurahia, kusimuliana na kukumbushana. Mambo haya wakati tunasimuliana huwa tunaamini yapo tu...
44 Reactions
121 Replies
18K Views
Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo...
12 Reactions
254 Replies
14K Views
SEHEMU YA KWANZA. Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians. Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe...
39 Reactions
1K Replies
143K Views
JICHO LA TATU Watu wengi huamini kwamba Jicho la tatu ndio mwisho wa maelezo katika Meditation ama ndio moja kati ya mafanikio makubwa katika Meditation lakini kuhusu hili jibu ni HAPANA. Safari...
17 Reactions
81 Replies
36K Views
Kuna baadhi yetu tunapenda sana kujua hizi rank za jeshi,pamoja na alama zake! Lakini wakati mwingine inakua ngumu kuzitambua au kuzijua kutokana na mifumo ya jeshi letu na teknolojia ndogo...
61 Reactions
811 Replies
537K Views
Habar za jion wakuu, I hope mko good. Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na...
16 Reactions
153 Replies
4K Views
Parental Advasory: 18+ MATES Hapo zamani dunia ilipitia kipindi butu/kibaya cha maisha ambapo dunia ilikua imesimama katika kila Nyanja ya maendeleo ya maisha ya mwanadamu kiliathiri zaidi bara...
60 Reactions
138 Replies
30K Views
Sasa, wakuu, hebu leo naomba tuzungumzie ksidogo kuhusu dini. Regardless ya definition yako ya Mungu au uchaguzi wako wa Mungu yupi wa ukweli, au hata kama huamini Mungu yupo. Bado haipingi uwepo...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu poleni kwa upambanaji. Binafsi mimi kuna mda huwa nikitulizaga kichwa changu huwa naanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu mimi (binadamu) na ulimwengu kiujumla (Universe). Maswali kama...
23 Reactions
1K Replies
34K Views
STORI YA KUFIKIRIKA NA CHATGPT Kabla sijaanza na mada itabidi kwanza nielezee kwanza maana na baadhi ya vitu kBL sijatoa experience yangu ndani ya mijengo ya FBI na later kwenda CIA nchini...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu! Wengi miongoni mwenu huona kila ninapotoa thread huona kama vile hufundisha uchawi lakini kwa mwenye akili timamu hupata mafundisho kwa asilimia kubwa sana. Kumekuwa na tungo...
22 Reactions
277 Replies
78K Views
Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom