Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

If you want to walk 10 feet you have to walk 5 feet first. Before you can walk 5 feet you have to walk 2.5 feet first. Before you can walk 2.5 feet you have to walk 1.25 feet first. and so on...
13 Reactions
198 Replies
29K Views
Proxima Centauri: The Closest Star with Potential for Life Natumai mnaendelea vizuri! Kila mmoja wetu anahitaji kusoma na kujifunza kuhusu ulimwengu tunaoishi. Kwa hivyo, ninawaahidi kuwa...
4 Reactions
12 Replies
972 Views
Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Salam wanaJF! Mwanamama Karen Armstrong alifanya utafiti wa miaka mingi kuhusu chimbuko na mabadiliko ya dhana ya Mungu [Ieleweke ni dhana ya Mungu sio Mungu - Concept of God and Not God]. Baada...
9 Reactions
1K Replies
77K Views
Habari zenu waungwana..... Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama...
9 Reactions
16 Replies
872 Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
113 Reactions
310 Replies
50K Views
Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni...
41 Reactions
190 Replies
30K Views
Wazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile. Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Hello bosses and roses. Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani...
17 Reactions
52 Replies
2K Views
Hivi unajua kuwa dunia ina North pole mbili na South pole mbili, ambazo moja ni za magnetic na zengine na za geograpic. Magnetic North poles na South pole ndizo zinazosaidia kwenye kuzuia mionzi...
8 Reactions
22 Replies
844 Views
Wale wapenzi wa cartoon hapa mtakuwa mshajua cartoon ya the simpsons. Kipindi hiki kilianza : 17 Desemba 1989 Mtayarishi wa kipindi: Matt Groening Mtunzi huyu yupo nyuma ya nani kueleza wakati...
25 Reactions
27 Replies
5K Views
(Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
The Galactic habitable zone au Goldlocks zone ni eneo karibu na nyota (sunli-like) ambapo hakuna joto sana na sio baridi sana kwa maji kuweza kuwepo kwenye uso wa sayari zinazozunguka. Fikiria...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Palmoni, The Wonderful Numberer, ni Bwana Yesu Kristo. Pia Bwana Yesu Kristo (ndani ya Utatu Mtakatifu wa Mungu) ni The Wonderful Counsellor, The Wonderful Teacher, The Revealer of Secrets...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Wengi tumekuwa na mawazo ya kuwa dunia inalizunguka jua ambalo limetulia sehemu moja halizunguki wala kutembea ila kiuhalisia mambo yapo tofauti na unavyofikiria. wakati dunia na sayari zingine...
18 Reactions
186 Replies
4K Views
Uzi huu unakusudiwa uwe ni endelevu na uwe unapokea taarifa mpya mpya kila huo muda unavyokaribia.Kwa sababu imeelezwa kuwa matayarisho yanaendelea kukutana na wenzetu nje ya dunia. Wanasayansi...
8 Reactions
72 Replies
7K Views
Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Wote tunajua kuwa binadamu aliumbwa na MUNGU na kutuma rangi, jamii na mataifa tofauti tofauti hii ni katika dini ya kiislamu, wakristo na wayahudi, wana sayansi wakaja na theory yao kwamba...
2 Reactions
1 Replies
495 Views
ULIMWENGU WA ROHO Ni sehemu ambayo nafsi (soul's) mbili hukutana pamoja. Ni kweli kwamba kila nafsi hurudi kwenye ulimwengu wa roho Ila dini imetufanya tufikirie zaidi kuhusu mbingu na peponi na...
25 Reactions
96 Replies
15K Views
Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi, Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja...
21 Reactions
505 Replies
45K Views
Back
Top Bottom