Habari za mchana wakuu kama kawaida huwa nakuja na mada za kuchokoza fikra zetu hasa kwenye mambo ya kiimani hivyo mada hizi sio za kukosoa dini fulani au vitabu vya imani ila ni kuhoji tu ili...
Si lengo wala dhamira yangu kupinga wala kupindisha Imani ya mtu yeyote, bali ni wajibu wangu kama binadamu mwenye akili na upeo wa kudadisi, kuchanganua na kuyaelewa mambo mbalimbali katika namna...
Kitabu.Mossad
Mwandishi.Michael Bar Zohar & Nissim Mishal
Mchambuzi.Nanyaro EJ
Dibaji.
mwandishi anasema kuwa hiki kitabu ni mchanganyiko wa kazi za kutukuka zilizofanywa na Mossad,nafanikio na...
Hii ni nukuu maarufu inayohusishwa na Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo kihafidhina, bali ni uwezo wa kutumia maarifa, mantiki, na uelewa ambao...
Mwanafunzi wa neuroendocrinologist aitwaye Robert Sapolsky, profesa katika Chuo Kikuu cha Stanford, ni mtu anayeeleza kuwa hakuna Mungu.
Wakati wa kupokea tuzo mwaka 2002 kutoka Uhuru wa Kutoka...
Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi...
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Ninaomba msaada kueleweshwa katika kutaja jina la Suleiman Mungiya Mzee, ambaye kwasasa ndio Kamishna Jenerali wa Magereza, aliyeapishwa na Mh Rais Dr John. P. Magufuli. Kabla ya kiapo alikuwa ni...
Kila siku hapa duniani kuna habari mbaya za kuteseka kwa binadamu fulani kwa magonjwa, vita, njaa, dhuluma, umaskini n.k kwa viwango tofauti, kuanzia viwango vidogo hadi vikubwa kabisa vya kutisha...
Dunia ya sasa inaendeshwa kupitia kanuni za sayansi na teknolojia ambazo zilivumbuliwa na wanasayansi katika karne zilizopita. Kanuni hizi siamini kuwa zinazima ndoto ya uvumbuzi wa kanuni mpya...
Kuna maada mbalimbali zimeanzishwa humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wangu wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini.
Swali la Musingi ni ‘kwa...
Binadamu ni project au mpango wa viumbe wa sayari ya mbali ambao walimtengeneza binadamu kwa ajili ya kazi yao ambayo ilikuwa ni kufanya kazi katika migodi ya dhahabu.
Sayari ya Dunia Ilivyotokea...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Leo Taikon atajadili sababu zinazopelekea wayahudi wengi kutokumuamini Yesu Kristo Kama Masihi wao na waulimwengu.
Andiko hili lijadiliwe Kwa Hoja zisizo na...
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa...
Imekuwepo mijadala mingi ya aina hii hapa JF,Kwa hiyo lengo la uzi huu ni kujadili hoja zitakazoletwa bila jazba na hivyo kupanua uwezo wa kujenga hoja.kuna makundi makubwa mawili duniani yaani...
Wakuu,
Sina kiswahili sahihi cha neno ''enchweke'' ambalo kwa lugha yangu ya kihaya ni hali ya mzimu wa mtu aliyekufa kumwandama mtu aliye hai na kumfanya aongee kile anachokitaka. Mara nyingi...
Wiki mbili hizi naona kuna VITABU vya kijajusi vimezinduliwa au vitaingizwa DUKANI,binafsi napenda kusoma vitabu hivi,ila najiuliza watu hawa wanaotoa vitabu hivi wanauelewa mkubwa juu ya hayo mambo?
Nyakati,wakati au muda vyovyote unavyoweza kuita kuashiria muendelezo wa hatua au matukio yaliyopita ya sasa na yajayo, hivi ushawahi kujiuliza nini maana ya nyakti je ni kuzama na kuchomoza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.