Wakuu habari zenu..........
Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukisikia kuhusu bermuda triangle sehemu ambayo inapatikana bahari ya atlantic na huwa tunasikia kwamba meli yoyote ikipita eneo hilo...
Hizi ni Himizo za mwisho na salamu kwa watu wote.
Kwa watanzania, watu wote,viumbe vyote,walio hai na walio pumzika,Ipo kwenu na iwazi sasa,(waebrania12;3), [webrania13;22-25].[/B]
Mimi mlango...
Bila-shaka hakuna swali lisilo na jibu japokuwa kila jibu litolewalo si lazima liwe sahihi. Waulize swali moja wanafunzi wa chekeachea, shule ya msingi, sekondari na vyuo kwa nini unasoma shule...
Nina hoja ningependekeza kuileta mbele yenu wanajamvi..
Kama kichwa na habari kinavyojieleza "Mungu sio mwema"
Je ni kwanini ninasema haya.
Zingatia hili, katika mafundisho yote ya kiimani...
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.
Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje...
Leo nimekaa nimetafakari sana bila kupata jibu, Samahani kwa Tafakuri yangu kama nitaudhi imani za watu wengine basi naombeni mnisamehe sana.
"Waungwana mbona Wazungu wao wanahistoria nzuri sana...
Hapo mwanzo mungu alikuwa neno, kila aliyetoa neno kutoka kwenye kinywa chake alijitahidi kuliheshimu bila kujali ni jema au baya.
Mtu noble alikuwa akizungumza neno ni lazima ahakikishe...
Hii ni hadithi ambayo ilikuwa ni fumbo ambalo mpaka leo hii Plato hatasahauliwa kwa kuweza kutumia ufahamu wake kuelezea uhalisia wa maisha na ufahamu wa mwanadamu ulivyo kwa ujumla. Ni mfano...
TWIME TUBITE
Napenda kuufahamisha umaa na mhariri mkuu kwamba mjadala huu ulifaa uwe kwenye technology,Lakini mantiki yake inafaa kujadiliwa na kusomwa na watu wenye maulizo yasiyo ya kawaida...
Utangulizi
Tokea 9/11 vyombo vya usalama wa taifa vimekua vikijihusisha zaidi na masuala ya ulinzi wa mipaka na kutafuta na kuzuia ugaidi. Vyombo
vya usalama vya nchi nyingi vimefanya marekebisho...
Kwa nini Siku ya Mwezi? July 20
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa siku ya kimataifa ya mwezi huadhimisha kumbukumbu ya kutua kwa mara ya kwanza kwa wanadamu kwenye mwezi kama sehemu ya operesheni ya...
Unaweza kufikiria mtu mmoja aliwezaje kufichua siri kubwa za kijasusi za serikali yenye nguvu zaidi duniani?
Huyu ni Edward Snowden alithubutu na aliweka maisha yake rehani ili kufichua mpango...
TUJUZANE: MFAHAMU Eli Cohen JASUSI HODARI WA ISRAELI NCHINI SYRIA
Na Mgeni wa Jiji
Eli Cohen ni jina lenye heshima ndani ya shirika la kijasusi Israel 'MOSSAD'. Uzalendo, kipaji na uwezo mkubwa...
Ufalme wa giza na ufalme nuru ni falme mbili ambazo mwanadamu akitaka kuingia na kufanya kazi katika moja ya hizi falme ni lazima awe na uwezo wa kuingia Ulimwengu wa Roho.
Ulimwengu wa roho...
Wanabodi,
Huu ni muendelezo makala zangu kuhusu "works of powers", nguvu za kutenda miujiza, "psychic powers!", leo nitajikita zaidi katika nguvu za uponaji "faith healing!". Nitakuwa na maeneo...
Kwanza kabisa nianze kwa salamu
Ndugu watanzania mpaka hapa tulipofikia, tayari tunaishi na makundi matatu ndani ya nchi moja licha ya kudai kuwa sisi ni wamoja
Kundi la kwanza ni hawa jamaa...
The Richest Man in Africa: Kila utajiri una ukafiri nyuma yake
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake...
1. Je mwezi nao huwa una mizunguko miwili Kama Dunia yetu?
2. Kama mwez hauna rotation bas huwa tunauona sehem ya upande mmoja tu, au mim nko wrong??
3. Kama mwez haujizungush kweny mhimili wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.