Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Kumekuwepo na taarifa zisizokuwa rasimi watu wakithubutu hata kusema milipuko yote iliyotekea katika makmbi hayo ni hujuma je wewe na mimi waweza kuhisi ni hujuma au ni bahati mbaya? Maana kwa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Karibu kwenye jukwaa! Karibu wana JF na wanaGT. Nitambue mchango mkubwa wa Bw. Mello kama sikosei katika jukwaa hili. Leo nitaomba kwa pamoja tudiscuss suala la kuacha alama! Somo ni pana sana...
1 Reactions
8 Replies
604 Views
Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 32 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Luteni Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro. Mengi...
34 Reactions
442 Replies
148K Views
Huu ndio ukweli ambao Roman imeamua kuuachia katika kipindi hichi cha mfungo wa kwalezima And the LORD said to Moses, "Make a fiery serpent, and set it on a pole; and every one who is bitten...
25 Reactions
977 Replies
112K Views
Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani? Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20...
22 Reactions
45 Replies
5K Views
Dokta Masaru Emoto aliweka maji safi (Distilled water) katika Glass 2 za maji, glass moja alibandika neno ‘Upendo’ , Glass nyingine akaandika neno ‘Nakuchukia’, na akawa anayanenea hayo maneno...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni. Sasa kama ilivyo kwa manabii...
28 Reactions
165 Replies
10K Views
Na Jeremy Howell BBC Timu ya wanasayansi wa Italia walisema waliweza kwa usahihi kuitambua tarehe ya Sanda ya Turin, na kwamba inaonyesha kuwa ilikuwa ni ya wakati wa Kristo. Utafiti huu...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana. Nianze na haya kwanza, 1. Elimu Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule. Kujifunza kusoma...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Za leo ndugu zangu wana JF: Leo ninapenda niongelee kitu ambacho nimekuwa nakifuatilia kwa muda mrefu. Imenibidi nikusanye researches zangu zote niweze kuziweka hapa. TAMADUNI ZA MTU MWEUSI...
14 Reactions
25 Replies
2K Views
Niwasalimu ndugu zangu hapa!! Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo. DHANA YA MATESO: Kila...
4 Reactions
6 Replies
477 Views
Ukristo na Uyahudi ni vitu viwili tofauti, ingawa zina uhusiano wa kihistoria na kidini. Hizi hapa ni tofauti kuu kati ya dini hizi mbili: 1. Imani katika Yesu: Tofauti muhimu zaidi kati ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer. Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Bible verses about astral projection The occult practice of astral projection or an out of body experience is of the devil and it is clearly forbidden in Scripture. I am surprised at the number of...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama bado unajitafuta kimaisha, hakikisha unaishi kwenye haya mambo matano (5);- SHAUKU, UDADISI, UKALI, KUBADILIKA, & USIRI. 1. SHAUKU Kama unajitafuta ni vyema kuwa na shauku kubwa ya kufika...
5 Reactions
5 Replies
663 Views
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio...
50 Reactions
210 Replies
10K Views
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Greetings..... The diagram you see reveals the history of a powerful Death Cult that has ruled over Earth for all recorded human history. The timeline is trisected and proceeds from top to...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili...
22 Reactions
418 Replies
26K Views
Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless...
91 Reactions
522 Replies
77K Views
Back
Top Bottom