Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa...
Acheni kuwa wapumbavu. Acheni kusingizia Mungu. Acheni kuwa wajinga!
Acheni kujificha katika kivuli cha Mungu, acheni kudanganinyika na neno Mungu. Tatueni matatizo yenu, ondoeni uovu. Hakuna...
Habari za jioni wana JF mada ya leo pia ni sensitive kidogo maana inagusa imani za watu ila kutokana na kuwepo hitaji la kuweka rekodi sawa nimeona nilete uzi huu ili tujifunze zaidi
Na sababu...
Binafsi, nimekuwa nikijiuliza, Mfano uvamizi ule wa Idd Amin Tanzania ungeisha kwa Idd Amin kuvishinda vikosi vya Tanzania, hali ingekuwaje? Leo 2024, tungekuwa na nchi ya Namna gani kisiasa...
Tanzania is slowly turning into a brutal Police state right in front of our own very eyes, yet we are doing nothing about it. Police brutality is slowly reaching unbearable limits as witnessed by...
Wakuu,
Kutokana na maandiko(Quran na Biblia)
Turejee kilichotokea pale Eden Kwa binadamu WA kwanza ADAM na HAWA.
Baada ya ushawishi wa SHETANI, Adam na HAWA wanaamua kula tunda la mti wa kati...
Habari za jioni wakubwa zangu?
Mimi nimiongoni mwa watu wanao amini kwamba dunia haikutokea yenyewe" Nina kataa.
.Isipo kuwa Nina amini Kuna Kiumbe/viumbe/mungu/miungu wenye hakili kuliko sisi...
Habari wana JF.
Leo nimeona nikusogezee huu uzi utakusaidia kwa namna moja ama nyingine.
Watu wengi hivi leo wamekuwa wakidharaulika sana, kuumizwa sana, wengine kupotezwa kabisa kwenye gemu...
Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika...
Chagua tarehe yako ya kuzaliwa kutoka 1 hadi 31
Nambari ambayo ni ya kwanza katika tarehe yako ya kuzaliwa inaashiria msingi, msingi wa kiakili wa utu na inaweza kutuambia kuhusu kile mtu hutoka...
ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING)
Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut muasisi...
Habari wakuu wana jamii forums[emoji112]..
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu napenda kuzungumzia suala la mabishano ya kidini baina ya waumini wa dini mbalimbali hasa dini kuu mbili zenye...
Nimeona kushea na watu hii story ni jambo la muhimu. Kama wewe ni muumini wa dini yoyote tafadhali usisome hapa acha, usije ukabadili fikra za misimamo yako na utafunguka macho kisha utaanza...
Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza...
Eti wakuu.
Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.
Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki...
Habari za kuona siku hii Tena mpya, niwasalimu kwa pendo la dhati kabisa.
Nini hasa HATIMA ya Kila kitu Ukiwa hapa ulimwenguni,ukianza kupata majawabu ya haya Maswali yako utaanza kufunguka...
Niliandika mwanzoni mwa mwaka huu kusema "Changamoto za kijamii kwenye jamii yetu zinahitaji wanamageuzi kuliko mageuzi yenyewe", ambapo nilitafakari nanyi pamoja na mambo mengine, mchango wa...
Nikusalimu ndugu yangu Katika utu na uzima wetu, "hakuna mfano nyuma ya mfano nyuma ya mfano Kuna Imani"
---------
Nimekuja kugundua jambo moja kubwa tu ambalo kama kundi kubwa tukilielewa basi...
Ndugu zangu wana JF Leo nimeamua kuanza kutoa masomo ya mythology. Iwe kweli au siyo kweli lakini tupate kutambua namna wengine wanavyo iendesha dunia hii.
Leo nitaongelea malaika mtoa roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.