Kwanini B-2 Spirit ni ndege vita nzuri sana kwa ndege za kizazi cha 4 ?
B-2 Spirit, pia inajulikana kama Stealth Bomber, ni ndege ya hali ya juu na yenye uwezo iliyoundwa kwa ajili ya misheni...
Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani.
Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na...
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa...
Fahamu kipande Kidogo cha nyama ya mwili wako chenye thamani zaidi duniani.
Kipande kidogo cha nyama hiki ndicho rasilimali yenye thamani zaidi duniani.
Ubongo, na haswa, ubongo wa binadamu, ndio...
Miongoni mwa wafalme waliokuwa na nguvu sana kipindi hicho alikuwa mfalme Daudi. Nguvu kubwa na alikuwa mzee wa totozi sana lakini pamoja na hayo mungu alimpenda sana, kwa sababu gani? Ni kwa...
Salaam, Shalom!!
Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana...
Habari,Afrika !!!
Kwanza Nianze kwa Kusema,Yupo Njiwa mpya, katika Nyumba mpya, aliyetolewa mbawa zake Ili apajue kwa mtunzaji wake,aliyebakiziwa mbili kulia na kushoto,Ategemeaye kupaa kila...
Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.
Shetani hana umri wala hana...
natumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence,
bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada
kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba...
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.
Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham...
Wapenzi wasomaji wangu leo ninaendelea na kufumbua macho watu. Mwenye macho haambiwi tanzama, na mwenye akili zake ataweza kung'amua na kuelewa ukweli wa mambo.
Leo katika bandiko langu hili...
Imenilazimu nianzishe thread kabisa kuhusu hili taifa la israeli la sasa baada ya kuona baadhi ya thread zilizotangulia nyingi tu zinazo elezea umahiri na ushupavu wa hili taifa la israeli la...
Naombeni msaada kwa wenye ufahamu zaidi juu ya eneo la maajabu liitwalo Bermuda Triangle.
=======================================
Pembe tatu ya Bemuda ni eneo lililoko bahari ya Atlantiki ikiwa...
MAUAJI YA MAHMOUD AL-MABHOUH
MMOJA WA VIONGOZI WA KUNDI LA HAMAS LA PALESTINA:
SEHEMU YA KWANZA:
Mahmoud al-Mabhouh (kwa Kiarabu: محمود المبحوح, Maḥmūd al-Mabḥūḥ); alizaliwa tarehe 14...
UTANGULIZI
Maisha tunayoishi yamegawanyika katika namna mbili. Ulimwengu wa Mwili na Ulimwengu wa Pepo.
Binadamu ni manifestation yetu katika ulimwengu wa mwili kutokea katika ulimwengu wa pepo...
Hello bosses and roses.
Nimekua napokea maswali mengi kiasi kutokana na maandiko yangu kadhaa nioandika hapa siku za nyuma. Lakini maswali mengi yanajikita kwenye haya mawili, Je Taoism ni...
Habari wanaJF..!
Kwa muda sasa kumekuwa na mijadala mingi ikiilenga Rwanda, Paul Kagame na hususani kabila la Watutsi..!
Na hili suala limekolezwa zaidi na mch.Christopher Mtikilia ambaye ni...
Huwa mara nyingi nacheka sana mtu akinitishia kuwa siku nikifa ndiyo mwisho wa kiburi changu cha uzima. Jibu langu ni moja tu, hakuna kifo kibaya kama ujinga maana umeshakufa na umebaki mwili...
Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia.
Hii imekaaje wadau
Ni rahisi sana kulinda mzigo ama mfu wakati mkifanya michakato mingine ili kuweka mambo sawa! Ni ngumu mno kulinda mtu aliye hai hasa akiwa mateka ama mfungwa....kwa muktadha wa mada hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.