Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
6 Reactions
111 Replies
4K Views
🌳TUMESHINDWA KUUMILIKI ULIMWENGU WETU KWA KUUTAMANI ULIMWENGU WA HADITHI.🌳 Ulimwengu wa kweli umetengenezwa katika hadithi isiyo furahisha sana, unaonekana ni ulimwengu ulio jaa mateso ya kila...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Asilimia kubwa watu wakianguka chooni hufariki dunia au kupooza mwili. Kuna uhusiano gani kati ya kifo na chooni?
3 Reactions
583 Replies
139K Views
Uchawi si jambo geni madamu upo afrika uhitaji mtu akuelezee maana yake ni nini hasa, bali wahitaji kujua nauepuka vipi au ntautambuaje kama huu ndiyo uchawi wenyewe. Jibu lipo hapa leo ntataja...
13 Reactions
14 Replies
31K Views
Kama kawaida, mtoto akipata nafasi ya kwenda kucheza Kwa jirani anaitumia vizuri.. Ok Moja Kwa Moja kwenye mada, Kwanini binadamu si binadamu Bali ni mnyama aliyezunguka porini Kwa miaka 150k...
2 Reactions
7 Replies
525 Views
“You can’t make a wise man a sláve, you can’t make a waŕrior a sláve. When you and I came here, or rather when we were brought here, we were brought here from a society that was highly civilized...
5 Reactions
6 Replies
443 Views
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa “alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha...
19 Reactions
687 Replies
121K Views
JINSI MAKOMANDO WA ISRAEL WALIVYOWAOKOA MATEKA 102 WALIOFICHWA UGANDA KWA DAKIKA 58 Serikali ya Israel imeapa kulipa kisasi kwa shambulio la kushtukiza la kundi la wanamgambo wa Hamas ambalo ni...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Bill Gates was invited by a high school to give a lecture. He arrived by helicopter, took the paper from the pocket where he had written eleven items. He read everything in less than 5 minutes...
5 Reactions
6 Replies
872 Views
Kwa kifupi tuanze kujadili dhana ya kifo ninayoiamini "Kifo ni kuondoka taratibu kutoka Sasa Hadi zamani. Yani kutoka kuto kuwepo na kuwepo(kuzaliwa) kutoka kuwepo na kutokuwepo Tena(kufa)...
8 Reactions
94 Replies
6K Views
Hapo kabla NGUVU KUU iliyokuwa mahali pamoja ilipata kugawanyika katika sehemu kuu tatu. Japo chanzo cha kugawanyika kwa nguvu hizo hakijawahi kuwa bayana. Nazo nguvu hizo ni nguvu ya UHAI, KIFO...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Tangu nakua mpaka leo nimezeeka, nimekuwa nikisikia watu wakisema kuwa "malaika mtoa roho anaitwa Israili". Sina hakika kama huyo Israili jina lake linatokana na jina Israel au lah. Kwa watu...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Natumai humu nyote ni wazima wa afya njema kabisa ,pole kwa yote lakini leo napenda kutoa mchango wangu kidogo kulingana na nilichopata kukiona au kujidhihilisha juu ya swali gumu ambalo limekosa...
55 Reactions
1K Replies
132K Views
Iwapo ufahamu wako ndiyo kitu pekee kinacho-exists basi tambua ya kuwa wewe ni kila kitu na kila mtu. Katika nyakati fulani za wakati usiosemekana ulikuwa kila kitu unachokitambua. Ulikuwa jua...
13 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hili swali mpaka leo sijajibiwa mpaka nimewauliza baadhi ya viongozi wa dini,naishiwa kuambiwa ninakufulu. Lets say God anajua kila kitu past, present and future inamaanisha God...
7 Reactions
12 Replies
589 Views
[emoji2788]Katika utangulizi wa somo letu hili tulijaribu kuwekana sawa kidogo kuhusu Mambo haya ambayo tunawafundisha. katika masomo yetu Wala hayaangalii wewe Ni Dini gani kwa sababu masuala ya...
13 Reactions
66 Replies
5K Views
Twime TUBITE "Hakuna mfano nyuma ya mfano,nyuma ya mfano Kuna Imani" MAPACHA 3 wa Siri wanavyoifanya Dunia watakavyo, MAPACHA wenyewe kwa nje wanaonekana kama maadui na jamii kubwa inaelewa...
26 Reactions
44 Replies
3K Views
Moja kati ya kesi kubwa za kihistoria nchini Tanzania ni ile kesi ya UJASUSI (ESPIONAGE) iliyomhusu Bw. JUMA THOMAS ZANGIRA ambayo ilirindima nchini mwaka 1977. Hii ilikuwa ni kesi ya aina yake...
33 Reactions
32 Replies
11K Views
JONH F. KENNEDY, CIA NA LEE OSWALD: UJUAJI Vs DOLA, KITENDAWILI CHA DUNIA AMBACHO AKIJATEGULIWA MPAKA SASA. Na Comred Mbwana Allyamtu Thursday-28/05/2020 Marangu, Kilimanjaro- Tanzania. John...
13 Reactions
45 Replies
17K Views
Kuna hawa watu ambao wanatoa tabiri mbalimbali juu ya mambo mengi ya mbele, muda mwingine huwa wanapatia kabisa japo huwa kuna malalamiko kuwa muda mwingine huwa ni uwongo. Sasa nataka kujua hawa...
2 Reactions
34 Replies
9K Views
Back
Top Bottom