Salaam shalom!!
Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee,
Tafsiri hapo ni kuwa, battle...
Hawa waRoma ni watu wenye akili sana, imagine walianzisha kanisa la Roman Catholic, kanisa lenye waumini wengi duniani tena wenye misimamo mikali.
WaRoma wamejaribu kufika kila kona ya dunia...
Hua najiuliza Sana, na hii nimejiuliza zaidi baada ya kujua asilimia kubwa ya wananchi nchini Netherlands hawana DINI na Hawaamini katika uwepo Mungu
Baada ya kuona Shomvi Haji Manara akiranda...
Kama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama...
Jerusalemu Katika Siku za Mwisho
“Zekaria 12:2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia...
Habari wakuu,
Ningependa kuelimishwa haya machache kuhusiana na hii imani/dini ya Rastafarian (nikipata kujuzwa na ya ziada ntashukuru sana).
1. Naskia rastafarian hawanywi pombe hivi Ni kweli...
Twime tubite!!
Dunia yetu imejaa taarifa ambazo siyo sahihi japo ni za kweli, kwa kuwa siyo za kweli basi zimewekwa kwenye mifumo ya Elimu na Media Ili lengo lao Liwe timilifu.
Binafsi nikiwa...
👉HUKUZALIWA 👉KUJA
👉KUOKOLEWA 👉NA MTU
Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu...
Twime tubite
Nafahamu Yale niliyochagua kuyafahamu kwa kiwango Cha ufahamu wangu, Ili hayo hayo yawe mwanga kwa wengine, hasa Katika dhana ya udadisi wa mambo.
Hakuna MTU ambaye hajawahi kusema...
NGUVU ZA ULIMWENGU.
Nguvu za full moon.
Full moon ya mwezi June itakuwa kuanzia tar 22 Hadi 24 .
Mambo ya kufanya .
👉Kuachilia.
Kuachilia ni sehemu ya kujiponya mwenyewe na kutua mizigo na...
THE REAL EYE REALIZE
(Jicho la kweli hutambua)
👉"Eye is the window to the soul"
👉"The light of the body is the Eye."
"Eye is the window to the soul" kwa tafsiri ya kiswahili ni...
Twime tubite 'Hakuna mfano nyuma mfano ,nyuma ya mfano Kuna Imani.
--------
Historia inaenda kujirudia Tena, wachache watakaosalia ni wale ambao hawajali sana watu wanawaonaje au wanawachukuliaje...
Habari Wakuu,
Mada yahusika hapo juu. Sina sababu ya kurudia kufafanua hayo maneno hapo juu ila kuna kitu ninewaza baada ya kupitia post moja ya mdau. Hizo variable anazo binadamu, ila...
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari
Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo...
Roma bado inatawala dunia: ingawa ilianguka mwaka 476 AD ila athari zake zilikula dunia yote, ndo maana primary tulisoma no. za Kirumi na hata saa na Kalenda tunatumia za Kirumi na mataifa mengi...
Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi.
Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya...
SEHEMU YA I
Wasalaam,
Miaka ile wakati ningali bado vidudu nilikatiza mitaa fulani kule Songea nlipokwenda kumtembelea mjomba (Marehemu) wangu mlevi.
Basi mida ya kila jioni tungevuka...
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran...
Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi.
1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho.
2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu...
Kwa wiki kadhaa sasa, Watanzania wamekuwa wakisikia mengi ya kushangaza, kusikitisha, na kukasirisha kuhusu wimbi la ushoga nchini na kwingineko. Mbali na kinachoonekana kuwa kukithiri kwa matendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.