Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Siku hizi maisha yetu yametawaliwa na sheria na kanuni tunazopata kutoka kwenye maendeleo yetu ya maarifa kwa jinsi tunavyo fikiri na kutafuta ubora wa maisha tunavyo ishi. Vitu vingi...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Tunaanzia katika jamii za Wachaldeans na Wamisri ambao waliamini kuwa hapo kabla Mungu aliumba MWANGA (ikiwakilisha dunia ya malaika). Nje ya ule mwanga wakaumbwa daraja la viumbe wasioonekana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajukwaa nataka tusome uzi huu kwa umakini alafu mwishoni mtaelewa ujumbe naokusudia. UTANGULIZI Mnamo mwaka 1939 vuguvugu la vita kuu ya pili ya dunia lilishika kasi ambapo...
34 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wakuu. Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Duniani tumo binadamu wa aina tatu kiakili na wote tunaishi pamoja in harmony na tumegawanyika katika makundi makuu matatu kiutendaji na utekelezaji wa akili zetu. Kundi la kwanza ni wale...
96 Reactions
287 Replies
56K Views
ISRAEL vs IRAN -01 Nimetamanani kuleta makala hii kutoka kwenye kitabu changu cha ISTILAHI ZA UHALIFU NA USALAMA, ili watu wajifunze na kujadili wakiwa na taarifa ambazo naamini awaki hawakuwa...
3 Reactions
1 Replies
491 Views
  • Closed
Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various...
42 Reactions
1K Replies
639K Views
👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️ 👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️ SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅ Watu wengi ukiwauliza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Utulivu wa nafsi ni mafanikio. Nitoe angalizo tuu kuwa Hii mada sio kwa ajili ya kila mtu ni kwaajili ya watu wachache sana ndio wataelewa. Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa...
31 Reactions
217 Replies
31K Views
MOJAWAPO ya maswali magumu, ambayo mwanadamu amekuwa akitafuta majibu ni MIMI NI NANI, JE MUNGU NI NANI, n. k Tumesikia pia, nchini Tanzania mwanamama anayejiita "Mfalme Zumaridi " akijiita...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wabantu walisambaa kutoka maeneo ya Cameroon na kuelekea kusini yote ya Africa kama miaka 3,000 iliyopita, yaani miaka 1000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Lakini kabla ya wabantu kuja huku kusini, wakazi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu jamii ya Mbilikimo wengi wamekuwa wakipatikana katika misitu ya Jamhuri ya Congo, ingawaje hata hapa Tanzania kuna wachache mfano kuna Dada mmoja ktk kundi la VITUKO SHOW. Sasa mwenye kujua...
27 Reactions
238 Replies
65K Views
Telepathy is the ability to send and receive messages without the use of words or contact with another person. It involves the use of extra sensory perception. The receiver of your message...
6 Reactions
53 Replies
10K Views
Wakristo na waislamu hupatwa na kigugumizi kikubwa pindi waulizwapo swali hili na watu wasio amini kuhusu uwepo wa Mungu. Kuanzia leo, haupaswi tena kuwa na kigugumizi pindi uulizwapo swali hili...
1 Reactions
1K Replies
87K Views
Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu. Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko...
80 Reactions
264 Replies
22K Views
AJALI YA MV BUKOBA ILIUA WATU NA MTU. Mungu awarehemu wote waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya MV BUKOBA, tarehe kama ya leo, miaka 22 iliyopita. Umbali wa maili kama 30, sawa na kilometa...
44 Reactions
95 Replies
25K Views
Wadau, habari ya majukumu bila shaka muwazima wa afya, kama na wale wenye changamoto ya afya, niwaoe pole. Bila kupoteza muda, twende kwenye mada husika. Hili neno "kila nafsi itaonja mauti,"...
12 Reactions
152 Replies
7K Views
Wakuu poleni na mishuhuliko yenu! Hivi wakuu hua viongozi wetu wa dini hua wanatufundishaga kuwa mbinguni hukohakuna kazi bali ukifa ukaenda huko kazi iliopo ni kukesha kwa kuimba! hivi ni kweli...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku. Namna ya kukumbuka ndoto. Je unaota ndoto na unasahau?. Fanya meditation ya Namba. Watu...
3 Reactions
5 Replies
798 Views
Conspiracy theorists believe there's an elite group of powerful peoples who controls the world. Illuminati People are freethinkers, with Enlightenment, and intelligent. Do we have these Illuminati...
5 Reactions
135 Replies
44K Views
Back
Top Bottom