Najua hii topic haitokuwa popular na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali
Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?
Mimi nilikuwa...
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba...
1. Ozil na Ferrari
Enzo Ferrari mwanzilishi wa ferrari ambaye Kisura anafanana na Mchezaji wa mpira Mesut Ozil alifariki Mwaka ambao Ozil alizaliwa.
2. Lincoln na Kennedy.
Maraisi wawili wa...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Ndugu zangu,
Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake...
Habari wana JamiiForums
Karibuni katika uzi maalum ambao utakuwa unaelezea kwa kuna elimu ya Namba(Numerology). Michango yenu ni muhimu sana wadau wote wenye uelewa wa elimu ya namba maana humu...
Ilikuwa majira ya saa saba usiku na dakika 37, tarehe 31 July 2024, ndani ya jiji la Tehran nchini Iran. Mlipuko mkubwa ulisikika sehemu ambayo daima dumu usingetarajia. Mlipuko ule ukaondoka na...
Wakuu habari za leo.
Nauliza kwamba Forensic Investigation wanao uwezo wa kugundua maandishi kwenye soft copy kama yamebadilishwa kutokana na original document?
Yaani mfano barua iliandikwa kuhusu...
WAKALA WA KUZIMU ALIYETUMWA NA MAFIA
Kuna mambo ambayo tumezoea kuyaona kwenye filamu, tukaishia kufurahia, kusimuliana na kukumbushana.
Mambo haya wakati tunasimuliana huwa tunaamini yapo tu...
Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo...
SEHEMU YA KWANZA.
Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians.
Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe...
JICHO LA TATU
Watu wengi huamini kwamba Jicho la tatu ndio mwisho wa maelezo katika Meditation ama ndio moja kati ya mafanikio makubwa katika Meditation lakini kuhusu hili jibu ni HAPANA.
Safari...
Kuna baadhi yetu tunapenda sana kujua hizi rank za jeshi,pamoja na alama zake!
Lakini wakati mwingine inakua ngumu kuzitambua au kuzijua kutokana na mifumo ya jeshi letu na teknolojia ndogo...
Habar za jion wakuu,
I hope mko good.
Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na...
Parental Advasory: 18+
MATES
Hapo zamani dunia ilipitia kipindi butu/kibaya cha maisha ambapo dunia ilikua imesimama katika kila Nyanja ya maendeleo ya maisha ya mwanadamu kiliathiri zaidi bara...
Sasa, wakuu, hebu leo naomba tuzungumzie ksidogo kuhusu dini.
Regardless ya definition yako ya Mungu au uchaguzi wako wa Mungu yupi wa ukweli, au hata kama huamini Mungu yupo. Bado haipingi uwepo...
Wakuu poleni kwa upambanaji.
Binafsi mimi kuna mda huwa nikitulizaga kichwa changu huwa naanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu mimi (binadamu) na ulimwengu kiujumla (Universe).
Maswali kama...
STORI YA KUFIKIRIKA NA CHATGPT
Kabla sijaanza na mada itabidi kwanza nielezee kwanza maana na baadhi ya vitu kBL sijatoa experience yangu ndani ya mijengo ya FBI na later kwenda CIA nchini...
Habari wakuu!
Wengi miongoni mwenu huona kila ninapotoa thread huona kama vile hufundisha uchawi lakini kwa mwenye akili timamu hupata mafundisho kwa asilimia kubwa sana.
Kumekuwa na tungo...
Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili
Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya...