Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mnamo siku ya tareh 27.06.2005 usiku…(makomando) wan ne vijana kutoka jeshi la marekani walishushwa katika kilele kimojawapo cha milima ya Hindu kush kijulikanacho kama (mountain tiger) na...
28 Reactions
64 Replies
17K Views
Venus ni sayari ya pili ktk mfumo wa jua. lakini kwa kiswahili hujulikana kama zuhura, ni sayari inayoongoza kwa kung'aa kuliko sayari yeyote ile .........pia hujulikana kama morning star vile...
18 Reactions
130 Replies
26K Views
FAHAMU UKWELI KUNTU KUHUSU DUNIA YETU. Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia...
10 Reactions
201 Replies
32K Views
Wasalaam wanabodi....... Tukio moja limetokea kijijini kwetu wananchi wamemtimua kwa mapanaga mtumishi wa serikali(mwalimu was kiume) kwa tuhuma za kufanya mapenzi na wake zao kiuchawi. Jamaa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
1.Kwenye Dunia hii kuna watu wanaishi maisha ya furaha maisha yenye kila kitu wanachohitaji. Je hatuwezi kusema kuwa hao watu wanaishi peponi? Sababu miili yao na roho zao zinapata wanachohitaji...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
185 Reactions
382 Replies
82K Views
Jinsi adhabu ya kusubishwa ilivyoondoshwa hapa duniani ilikuwa ni desturi ya Wayahudi hata Warumi kuhukumu watu kusulubishwa katika msalaba waliokutwa na makosa mbalimbali kama Kutaka kupindua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa za kijasusi zinadai kuwa, baadhi ya mawaziri wa Tanzania, Uganda na Kenya wapo kwenye Payroll ya siri ya Misri. Misri mara kadhaa imekuwa ikiapa kuwa itayalinda maji ya mto Nile hata kwa...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Sniper ni specialists/wataalamu wanaohusika na ulengaji shabaha mahiri sana wanaotumia silaha maalumu. Snipers hutimiza misheni zao aidha wakiwa peke yao yaani "one man army" au wakiwa katika...
8 Reactions
99 Replies
22K Views
Habari wazee wa kazi kwema kabisa?.Leo ningependa kuwashirikisha suala moja kwangu nimeona ni njia ya mafanikio kwa yeyote yule ambaye ataiweza ataiishi. Njia yenyewe ni Kuushinda mwili,mwili ndio...
6 Reactions
12 Replies
5K Views
Nafsi, Mwili na Roho: Mwili wa mwanadamu naweza kuufananisha na mfumo wa Computer. Mfumo wa Computer umegawanyika katika Hardware na Software. Hardware (vifaa vya nje vya Computer kama Keyboard...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Overpopulation is a major cause of most of the world’s problems. Whether it is a question of food shortage, lack of drinking water or energy shortages, every country in the world is affected by it...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
cocaine ni moja wapo ya mimea ya zamani sana, miaka elfu 3 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu inasemeka cocaine ilikuwepo. ebu tanzie hapa kwanza,,, 'Incas' hii ni jamii flani ya watu ambao walikuwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi vyombo vya usalama vya Tanzania huwa vinachukua na kuhifadhi DNA za wahalifu? Hivi huwa hata wanajaribu kuchukua DNA [pale inapowezekana] kwenye eneo la tukio la uhalifu?
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Editor?s note: This article was originally published in 2014. On Monday [October 13 2014], America?s government offices, businesses, and banks all grind to a halt in order to commemorate...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauliza kwa sababu ktk hii dunia ya sasa watu tumetofautiana sana kiakili. Kati ya watu Weupe na Watu Weusi. Mfano mzuri ni huu, kwamba, wakati wenzetu wamefikia kiwango cha Kutengeneza vyombo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari WanaJF, Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika uzi humu jf,nimekuwa nikicomment tu,ila kuna suala nataka kusashirikisha kidogo. Kuna kitu naweza kuita natural power which has been guiding...
5 Reactions
56 Replies
11K Views
Je, Papa Ndiye “Mrithi wa Mtakatifu Petro”? *MNAMO 2002,* Papa Yohana Paulo wa Pili alimwandikia barua askofu wa Limburg, huko Ujerumani, akifutilia mbali uamuzi uliofanywa na askofu huyo kuhusu...
7 Reactions
235 Replies
34K Views
Ottoman empire ilikuwa himaya iliyotawala muda mrefu toka mwaka 1299 mpaka 1915 kwenye vita kuu ya kwanza ya dunia ikiongozwa na ma sultan, je vitabu vya dini hasa biblia na quran vinasemaje...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua...
9 Reactions
212 Replies
40K Views
Back
Top Bottom