Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana Naomba lisiwe na chembe za udini japo source yake imetoka kwenye bible bible hivi.. Nikiwa nimekulia na kulelewa katika...
2 Reactions
64 Replies
39K Views
Habarini wana ndugu..... Nimepata msukumo wa kuandaa thread hii kutokana na nyuzi mbalimbali nilizozisoma kwenywe jukwaa, pamoja na kuona umuhimu wa kushare information. Ni uzi wangu wa kwanza...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi vi nchi ni vidogo ila majina yao duniani yamekuzwa kutokana na migogoro ya ndani sasa swali langu je wakizipiga Leo wao kwa wao bila taifa jingine kuingilia upande mmoja wapo Nani atapewa...
4 Reactions
90 Replies
11K Views
Habari wakuu! Mungu wa kweli, mwenye uweza wote, na aliyeumba kila kitu hahitaji mambo yafuatayo:- 1. Hahitaji Zaka wala Sadaka Mungu wa kweli si mhitaji, uhitaji ni karba ya viumbe. Mungu hana...
17 Reactions
300 Replies
23K Views
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani. Kwa upande mmoja naweza...
18 Reactions
181 Replies
41K Views
Tunaweza kusema kwamba God did not make death nor does he rejoice in the destruction. Hii ni kutokana na ukweli kwamba binadamu amefanikiwa kwa uwezo mkubwa kugundua na kutengeneza vifaa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF… Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni wazi dunia ya sasa (karne ya 21) ni tofauti kabisa na dunia ya karne zilizopita katika Nyanja za Kiuchumi, Kisiasa, Kijamii na...
9 Reactions
57 Replies
6K Views
Kuanzia mwaka *196O* hadi Leo hii, Marais wote wa Marekani wamekuwa *wakiambatana* na mlinzi ('boardguard') maalum ambaye huwa anabeba mkoba, yaani *('briefcase')*. Briefcase hii ni *shurti* iwe...
18 Reactions
19 Replies
4K Views
Nyota Nyota kwa lugha ya kawaida ni nuru ndogo zinazoonekana angani wakati wa usiku. Nyota ni magimba makubwa Kwa kutumia darubini na vifaa vya kisasayansi imegunduliwa ya kwamba ni magimba...
4 Reactions
11 Replies
8K Views
Historia ya Kanisa Katoliki iliandikwa na kuhifadhiwa, historia iliyobeba mengi yenye kufurahisha, kusikitisha, kuchekesha, kuogofya, kufundisha na hata kuleta aibu kubwa kiasi mengine yamefichwa...
20 Reactions
118 Replies
28K Views
Habari wanajamvi! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kamwe usijepanga kuhusu maisha yako , bali badala yake yakupasa kutumia fursa unayokutana nayo katika maisha. Yawezekana ukawa unakinzana na...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Alipo malaika aliepewa jukumu LA kulinda bustani ya edeni baada Ya muanguko Mafukuzo ya Mungu.baada ya Adam Na kipenzi chake Hawwa au Evah Kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya Kitendo...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa. Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu
0 Reactions
650 Replies
137K Views
Private detective/investigator (Mpelelezi binafsi) ni mtu ambae anaweza kukodishwa na mtu binafsi ,watu au taasisi kwa ajili ya kufanya upelelezi wa kesi fulani. Private...
8 Reactions
33 Replies
10K Views
Umewahi kujaribu kumuua mbu au nzi? Utagundua kwamba huwa vigumu sana. Wadudu hawa huwa na kasi ajabu. Lakini inakuwaje wadudu hawa wadogo - wenye ubongo mdogo hivi - wanaweza kuwazidi binadamu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jenerali William J Donovan "Wild Bill" Baada ya vita ya kwanza ya dunia Marekani ilikua haijapata taasisi bora itakayo kusanya taarifa nzuri za kiuchumi na kisiasa katika kuijenga Marekani ndipo...
9 Reactions
109 Replies
18K Views
Habari wakuu! Moja kwa moja kwenye mada. Moja ya wanawake ambao taifa la Israel halitakaa limsahau. Mwanamke ambaye Israel ilichezea kichapo kitakatifu na kudhalilika vibaya mno. Mwanamke...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Najua wengi miongoni mwetu tutakuwa na ufahamu kuhusiana na huu utumishi adhimu kwa mustakabali wa usalama wa taifa lolote lile, kwa faida ya wale wasiofahamu kwa undani kidogo kuhusu huu utumishi...
4 Reactions
27 Replies
27K Views
Vladimir Putin alikuwa na umri wa miaka 33 alipopewa kitambulisho hicho. Kitambulisho cha Vladimir Putin alichopewa kama jasusi Ujerumani alipokuwa anafanya kazi kama jasusi wa Urusi kimepatikana...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Heri ya sikukuu ya noeli wadau wote na haswa wana jukwaa, Najua wengi wetu tumepumzika,napenda kuwapa machache ambayo ukiyaangalia ni kama yana ukweli. Afrika kama ambavyo mabara mengine huko...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom