We ve all heard of the US Air Force's high-security, super-secret base in Nevada, known simply as "Area 51?" Late one afternoon, the Air Force folks out at Area 51 were very surprised to see a...
Toka tunapata uhuru 1961 kipaumbele chetu kama taifa ni Kilimo. Kauli mbiu kubwa ilikuwa ni kilimo ni uti wa mgongo, hadi sasa japo ni lugha tu ya mdomoni hila hatuitendei haki kauli hii.
Kwa...
Kama wewe ni mmojawapo kati ya watu wanaopenda kwenda kwa waganga kwa ajili ya kutafuta dawa za kuwawezesha kuwaona viumbe wenzetu wachawi wakiwa kwenye harakati zao za kila siku hii...
Maana nilizozitumia
Ufahamu - Consciousness
Akili - Mind
Ninaposema Akili sina maana ya uwezo wa kufikiri au Intelligence. Ninamaanisha uwezo wa kutambua, kuweka kumbukumbu, kutafakari na ufahamu...
Mkutano umeanza leo na waendelea mjini Munich.
Kuna mikutano maalum wa masuala ua usalama unaoanza kufanyika mjini Munich nchini Ujerumani ambapo viongozi wapatao 35 kutoka nchi mbalimbali...
Huu ni muendelezo wa Taratibu na Sheria za akili na ufahamu.
Akili ya mwanadamu ni sehemu ambayo watafiti wengi wamekuwa wakihamasika kuielewa. Akili ni sehemu pana sana kwa mwanadamu. Ni...
Mara nyingi nimekua nikiona watu wanaoleta mada ambazo wanadhani ni ngumu kueleweka (hasa jukwaa hili) hua wanapenda kutumia misemo kama "Kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa" au "mtu wa kawaida...
Kusoma Sheria ya Kwanza BONYEZA HAPA.
Sheria Kuu Kumi za Ulimwengu na Akili (10 Laws of the Mind and Universe/Universal Laws
Sheria ya Uhuru wa Kufikiria.
Ni kutoka katika mada ya...
Tarehe 10 February mwaka 2017 ilikuwa ni siku ya kutimiza miaka 100 tangu kifo cha Geronimo ambaye alikuwa ni shujaa kutoka Jamii ya Apache( hawa ni mashujaa wa wahindi wekundu au wakazi asilia...
Hii ni simulizi ya ulimwengu wetu kabla ya utawala wa kwanza kuanza kuutawala ulimwengu wetu 7000BC. simulizi hii inaelezea jinsi gani ulimwengu wetu ulikuwa before the 1st Egypt civilization...
Habari zenu wana jamvi?
Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa...
Around 80 percent of Vatican priests are gay, according to a new book which details alleged secret relationships, male prostitutes and stunning hypocrisy from the most anti-gay members of upper...
PROSPERITY CONSCIOUSNESS EXERCISE
Asalaam habari za siku hii njema na kubwa na ya mafanikio; Natumai mu wazima.
Leo tuangazie namna ya kufanya zoezi la mafanikio katika akili yako. Hii ni kanuni...
Wanasema binadamu alitokana na jamii ya nyani (sokwe).
Then evolution ikatake place hatua kwa hatua huku akipitia vipindi tofautitofauti kama vile HOMOSAPIENS,HOMOHABILLIS & ZINJANTHROPUS...
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa...
Robert Schuller katika kitabu chake cha Tough Time never last but tough people do; akimaanisha nyakati ngumu hazidumu lakini lakini watu hodari hudumu ameelezea mambo ambayo huwafanya watu hodari...
Huyu ndie kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote
Adolfo Nicholas ni member wa JESUIT GROUP ambalo lipo chini ya Roman catholic, vatican city
Jesuit ndio members wakubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.