WanaJF intelligence habari za asbuhi.... Bila kupoteza muda ningependa kwenda mojamoja kwenye mada ...... Je upi ni ukweli kuhusu philadelphia experiment?
Inasemekana mnamo october 28, 1943...
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru Mungu kwa mema yote aliyonijaalia kwa afya njema na upeo wa kuweza kuchanganua mambo magumu.Mada ya leo hakika ni ngumu sana wakati mwingine napata hofu...
Habari wakuu!!
Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini...
Kwa kawaida wanyama hurahisisha maisha ya binadamu kwa kuwa walinzi, chakula na usafiri lakini kuna baadhi ya wanyama na ndege walioweza kujiwekea heshima duniani hasa kwenye sekta maalum za...
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama...
LIPO jambo ambalo limegubika utata nchini Malawi juu ya Dkt. Hasting Kamuzu Banda halisi anayedaiwa kupotelea nchi za Ughaibuni na baadaye kupachikwa Dkt. Kamuzu Banda wa bandia ili kuficha jambo...
Hivi karibuni jarida la The Economist wametoa utabiri wao kwa michoro wa matukio yatayojitokeza 2019 . Michoro hiyo ipo "cover" ya mbele. Kama picha inavyoonesha hapo chini,
Résultats Google...
Nitachangia kutokana na ufahamu wangu wa mambo hasa kutokana na hii dunia kuendeshwa kwa siri kubwa sana ..
Kila mchoro hapo umewekwa kurepresent jambo flani kulingana na umuhimi wa mchoro au...
MHANGA WA KUJICHOMA MOTO HADI KUFA (SELF-IMMOLATION)
Tangu kuzaliwa kwa dola za kisiasa, historia ya Ulimwengu imerekodi kumbukumbu chungutele za mbinu anuai ambazo wananchi wamezitumia...
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja...
Huu ni ulimwengu wa kanuni, taratibu
na sheria ambazo kufuatwa ni wajibu wa kila mtu ingawa zipo kanuni, taratibu na sheria nyingine zinaajabisha sana na ninazo hapa sheria 8 kwenye sehemu...
Wengi wamezoea kuiona picha yake kama alama ya ukombozi na mapinduzi ya kweli lakini ni wachache wanaomjua vizuri. Jina lake halisi anaitwa Ernesto ‘Che’ Guevara, alizaliwa Juni 14, 1928, Rosario...
Mwanzoni kabisa, dunia ilikuwa ikitumia kalenda ya mtawala wa Kiroma aliyeitwa Julius Caesar. Kalenda hiyo ilianzishwa mwaka 46 Kabla ya Kristo. Kalenda hiyo ilikuwa na siku 465 na masaa 6...
*Akili haikui kwa umri, bali kwa taarifa na maarifa sahihi unayoingiza akilini kwa wakati sahihi*
Lakini pia kuwa na maarifa mengi kichwani usiyofanyia kazi inakua haina tofauti na punda...
Nikiwa napitia topic kadhaa katika jukwaa hili nikakutana na topic moja inayohusu roho (soul) kwamba iko katika kiungo gani katika mwili wa binadamu akiuliza bwana Petro E. Mselewa . Katika kusoma...
Miradi ambayo kama nchi za Afrika zingeifanya ili kuondoa utegemezi wa nchi za Magharibi.:
1.Kama kungefanikishwa uanzishaji wa kampuni ya RASCOM 1992.Ambayo ingeendesha satelaiti ya pamoja na...
Wachawi mara nyingi hufanya kazi katika ulimwengu wa roho yaani ulimwengu ambao huwezi kuuona kwa macho ya kimwili.
Kwahiyo ili kuuona ni lazma uwe na macho ya kichawi au macho ya kiroho,Wachawi...
Ni swali pengine wengi wetu tumekuwa tukijiuliza kama ilivyo kwetu sisi waafrika na waarabu Je,wazungu(Europeans) makabila yao ni yapi? Nini kilitokea kwa makabila hayo?
Ukweli ni kwamba wazungu...
Ni kutoka katika Jitambue Sasa.
Unaweza ukaziita Ni KANUNI AU SHERIA AU LAWS.
Akili ya mwanadamu ni sehemu ambayo watafiti wengi wamekuwa wakihamasika kuielewa. Akili ni sehemu pana sana kwa...
Mnamo karne ya 18, Franz Joseph Gall, akiwa mwanafunzi alitazama vichwa vya wanafunzi wenzake na kuunza kuhusisha uhusiano uliopo baina ya baadhi ya tabia za akili pamoja na size na shape ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.