Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kafara ni aina ya sadaka ya damu inayotolewa ili kufunika uovu au shukrani Kwa Mungu/miungu. Na uovu ni udhaifu fulani unaotokana na jamii husika kwenda kinyume au kumsahau Mungu wao Kwa mda...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Tumekua tukishuhudia au sisi wenyewe kuvaa nguo nyeusi wakat tunapofiwa na ndugu ,jamaa na marafiki zetu wa karibu . Lakini hata hivyo watu wengi huwa hawaelewi why wafiwa na baadhi ya...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Here is the list of things which make our generation unhappy: Generation is unhappy because there is no optimism in society overall. More peace but division in politics makes it worse and...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna ulimwengu wa roho na wa mwili, ulimwengu wa roho mahali roho zipoishi na kuna miili ya huko ambayo haifii (living body) tofaut ya duniani ambayo hufa. Ulimwengu wa mwili mahali miili ya nyama...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Atheism, in general, the critique and denial of metaphysical beliefs in God or spiritual beings. As such, it is usually distinguished from theism, which affirms the reality of the divine and often...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za mchana. Ninaleta uzi kidogo kuhusu ishu ya black magic, kwani katika soma soma ya vitabu nimepata vitu kidogo vya kuwashirikisha, karibuni. Tuanze nini maana ya Black Magic: huu ni...
2 Reactions
28 Replies
10K Views
Kumekuwa na utata mwingi kuhusu siku maalum hasa kwa ibada pale unapokutana na watu wanaosema sabato ni Jumapili na wengine wakisema ni Jumamosi na wote wakiwa sababu zinazowafanya waamini katika...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kampuni kubwa ya kutengeneza ndege Duniani ya Boeing yenye makao makuu yake Illinois Chicago Marekani imekumbwa na msukosuko wa ndege zake toleo jipya kabisa aina ya 737 MAX 8 kupata ajali mara...
19 Reactions
85 Replies
13K Views
Kila inapotokea charter ya apple imebandikwa, lazima tunda hilo liwe limekatwa kidogo pembeni. Napenda kufahamishwa mwanzilishi alikuwa na maana gani kuandaa charter hiyo ikiwa imekatwa?
0 Reactions
135 Replies
48K Views
Dear Friends, Hi...It is still me, Edward Courtney Copeland-Gainer of the Israel Defense Ministry (IDM). I title this short lecture, "The Illuminati, Masonry, & the U.S.A." My purpose is to...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ungana nami katika simulizi hii ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa...
5 Reactions
16 Replies
6K Views
Mithali 3:19 19 Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi;Kwa akili zake akazifanya mbingu imara; Ukienda katika makanisa ya kileo msisitizo ni miujiza na sio matumiz ya akili, lakin ukifuatilia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Duniani kuna mabara 7, kati ya hayo sita ndo wanaishi binadamu, 1.Asia 2.Afrika 3.Amerika Kaskazini 4. Amerika ya Kusini 5. Australia 6. Ulaya Ukiangalia kwa makini uhalisia wa watu wanaoishi...
3 Reactions
59 Replies
18K Views
Msitu huu Unapatikana Katika Mji wa Cluj-Napoca Kaskazini Magharibi mwa Romania, Una Ukubwa wa Ekari 729 na Ndio Msitu Nambari Moja Hatari Duniani Watu Kupotelea Humo. Inaelezwa Miaka ya Nyuma...
4 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari wakuu, Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa watu wote hapa jukwaani kwa kuweza kutuelimisha pia kutukaribisha katika mijadala mbali mbali yenye utata hapa duniani, Pia mijadala na elimu...
10 Reactions
80 Replies
20K Views
OKTOBA 25 2001 " Why do you always want to blame someone in the Middle East? This is a very genious work requiring sophiscated equipments,It's very unlikely to be produced in some cave" (kwanini...
17 Reactions
50 Replies
12K Views
August 28,2003 saa 8:28 mchana, Mwanaume wa makamo Brian wells anaingia katika benki ya PNC iliyopo Erie, Pennsylvania akiwa ameshika fimbo fupi ya kutembelea huku akionekana na uvimbe wa ajabu...
76 Reactions
83 Replies
17K Views
Ummat Interviews Usamah Bin-Ladin 28 September 2001 Bin-Ladin Denies Involvement in the 9/11 Attacks Source: Khilafah.com, 10 Oct 2001 The Al-Qaidah group had nothing to do with the 11...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Muanzishilish wa mitambiko ni Mungu, Mungu ni roho hapo mwanzon Mungu alitafuta njia ya kuwasiliana na mwanadamu, njia mojawapo ni damu Kwa sababu uhai unakaa kwenye damu, na kwenye damu ndo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam waungwana [emoji1538] Leo uzi huu nitauweka kama swali ila nami nitaweka hoja yangu. Miaka ya nyuma 1960s huko Marekani ubaguzi ulidhamiriwa kufikia ukomo hasa nyanja za msingi na hapa...
8 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom