Nipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini...
Hiv ni kweli siku ya ufufuo ipo au ni tricky tu ya kutufariji pindi tunapofiwa na ndugu na jamaa ili tuamini ipo siku tutaonana nao paradiso na kama kweli ipo? Maana watu wamefariki miaka zaidi ya...
Dunia yetu ni sayari ya tatu kutoka kwenye jua. Mirihi (“Mars”) ni ya nne na Mushtarii (“Jupiter”) ni ya tano na kubwa kuliko zote katika mfumo wa jua wa Sol.
Katikati ya Mirihi na Mushtarii kuna...
Kipaji au talanta kwa maana nyingine ni uwezo ambao binadamu anapewa na Mungu wa kufanya mambo mbalimbali hapa duniani.Vipaji hivi vinatofautiana baina ya mtu na mtu japokuwa kwa baadhi ya watu...
Invisible Power of Women*
Utafiti unaonyesha 98% ya watoto wote huzaliwa ni ma genius; mama zetu wana nguvu za kuona kitu kilichopo ndani yetu kuliko mtu yeyote.
-wanawake wana uwezo waliopewa na...
ALMASI ZA ANASTASIA (ANASTASIA DIAMONDS)
Binti Mrembo Anastasi.... Makatili wale hawakuwa na utu kabisa kumtendea vile mrembo kama huyu. inasikitisha sana. je hawakuona kuwa hili lilikuwa ni moja...
Huku tunakoelekea sasa kubaya na haya mambo inaonekana yalifanyika miaka ya sabini na kufanikiwa, hivyo wameplan kutumia minara ya simu au ndege, magar yenye vifaa maalumu kwa ajili ya kucontrol...
Jua ni miongoni mwa nyota kubwa kuliko zote kwenye solar system ndio chanzo cha energy na maisha ya hapa Duniani na ulimwengu mzima na ikitokea jua limezima basi maisha ya ulimwengu mzima...
Nchi za Ulaya zimekosa wafungwa kabisa magerezani kufuatia watu kutokutenda uhalifu
Sasa huenda ikawa na chaguzi mbili,moja kupitisha sheria ikiwa mtu anataka kuonja maisha ya jera Kwa matakwa...
Ni Kanisa Catholic Ambalo Lina Nguvu Kwa Kila Idara Zake Kuanzia Pande Mbalimbali Za Ulimwengu Huu.
Inajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana Duniani Yaani Eneo Lolote...
Historia ya binadamu na ustaarabu wake,inatusimulia na kutilia mkazo juu ya chanzo cha ulimwengu na vilivyomo. Achilia mbali usahihi wa nukuu hizo za kihistoria,hili ni somo kando na hapa...
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya, ni kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)
"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si...
CAMDEN, NEW JERSEY
Eneo maskini kuliko yote marekani
Camden iko mjini new jersey nchini marekani
Camden imepakana na Philadelphia ambapo imetenganishwa na daraja la frankly.
Frankly ni kieneo...
Get the doc from:
Bank M: Connecting the dots
Kwa wageni:
Read this topic first:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/13075-jeetu-agonga-mwamba-ktk-epa-na-bank-m.html
Nimepata taarifa za ndani kutoka Bank M kwamba wamiliki ni mlengo wa Freemason. Mtoa taarifu aliambiwa wanataka damu ya watu.
Mmoja kati ya Wamiliki aliisha shika nafasi ya juu serikalini na...
Mpaka hii leo kuna watu ambao ukiwaeleza habari za freemasons huona tu kama ni hadithi za kufikirika na kwamba hazina uhalisia wowote katika maisha ya kawaida.
Well, kama wewe ni mmoja wa watu...
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine...
Utamaduni ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuhifadhi hadhi na heshima ya mtu na kumfanya atambulike kila mahali. Mbali na hayo, lakini zipo tamaduni ambazo zinabaki kuwa za sehemu moja pekee na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.