INAENDELEA UZI NA #44 SEHEMU YA 2
INAENDELEA UZI NAMBA #166 SEHEMU YA 3
SEHEMU YA NNE INAENDELEA UZI NAMBA #217
SEHEMU YA TANO INAENDELEA UZI NAMBA ,,,,,,,,,,,,,,
,,,#243
SEHEMU YA MWISHO UZI...
Habari Wana Jamii intelligence
Mda mrefu kweli,nilitamani kuwe na Uzi ambao Watu watakua huru kutoa Ushuhudu Binafsi kuhusu uwepo wa Mungu katika Maisha Yao
Jinsi gani Mungu amewapigania mpaka...
Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri...
Mwaka 2008 pengine ulikwa moja ya miaka ya purukushani Sana duniani kuanzia uwepo wa Alqaidah yenye nguvu, mgogoro wa Georgia, pamoja na mpango wa Iran wa nyuklia.Iran walkwa katika hatua za Kati...
Wadau, this is for your information. Ripoti juu ya sakata la rada inayoonyesha jinsi Rashid na Chenge walivyohusika. Jamani, hivi ni kipi kinaendelea mbona iko wazi kabisa kuwa hawa jamaa wana...
Katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Urusi ya Kremlin na rais wa nchi hiyo Vladmir Putin ya kuwatunuku majenerali wa majeshi ya Urusi(Russia) na wakuu wa vitengo vya ushushushu vya nchi hiyo tuzo na...
Hii ni makala inayoongelea kisa kimoja cha kutisha na kusisimua sana kilichowakumba familia ya PERRON nchini MAREKANI katika himaya yake ya KISIWA CHA RHODE ambako ndani yake ndo kuna kijiji cha...
Nashanga wana JF na waTanzania tuhuma kubwa kwa jeshi la Polisi na maafisa wake waandamizi zilizotolewa na Reginald Mengi kuwa Polisi kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa Kiasia waliandaa mpango...
Nchi inaelekea pabaya waTANZANIA sasa wapigwa marufuku COCO BEACH!
Kuna taarifa kuwa baada ya kutumia pesa za walipa kodi, WATANZANIA sasa wamepigwa MARUFUKU kwenda ufukweni na serikali kupitia...
Hackers from Israel were behind the discovery that Russian spies were using the popular Kaspersky Lab antivirus software to spy on American intelligence agencies, according to reports.
The...
NGUVU ZA ASILI NA NGUVU ZA AKILI.
Nguvu za akili ni ule uwezo wa kumuunganisha mtu na nguvu asili. Hakuna kitu kishindacho nguvu za asili na nguvu za asili zikiingia ndani ya mwili wa binadamu...
Mtu wa falsafa, mwanamikakati, mpanga mipango na muandishi aliekua na uwezo, na mawazo ambayo yanatumika kwa kiasi kikubwa na mashirika ya kijasusi, kutoa elimu yakijasusi, usalama wa mataifa...
Hizi sifa nimezitoa nchi moja hivi siitaji jina.
Lazima uwe mzalendo wa kweli wa nchi yako
Usiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa
Uwe na IQ kubwa
Uwe na mafunzo ya kijeshi
Upitie mafunzo ya...
Tangu zamani za kale, mwanadamu alitegemea neema ya asili ya mazingira ya eneo husika kujipatia mahitaji yake muhimu hasa chakula na makazi. Kuna baadhi ya maeneo yalijaliwa kuwa na:
Mvua na maji...
Katika pitapita zangu nmekuja jua kuwa katika mtu kuna mambo makuu matatu, yaani nafsi, akili na mwili.
Nafsi ndio mtu mwenye kwa maana yu hai hata ukitoka mwili(kufa).
Leo nataka mwenye kujua...
Miaka ya karibuni kumekua na ukuaji wa cashless technology, na kuna nchi za Scandinavia ziko katika mpango wa kuondoa ela zote katika jamii zao japokua bado hawajafanikiwa Kwa 100%.
Na ukuaji wa...
Habarini wanajukwaa......
Nianze nakuwaomba kama kutakua nakuongezea au kupunguza naomba marekebisho yatajwe ila si kuponda nadhani utakua msingi mzuri zaidi wa hoja ntakayoitoa
Muda si mrefu...
Mara baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Sept 11, Rais wa Marekani wa wakati huo George W Bush, alitoa hotuba fupi akiwa na hasira na macho yake yakiwa mekundu, akiwa ametoka kujificha kwenye...
Nianze kwa kusema nakumbuka nikiwa bado mdogo mdogo, nilikuwa na sifa moja kubwa sana mtaani kwetu ya ubishi.
Hata kama ulete fact za kiwango gani lakini niki-stickkatika msimamo wangu ni hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.