Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
hii ni picha ya dunia iliyotokana na CGI,na nyingine nyingi kama tunaweza kushare,unaweza kutazama kwa umakini picha halisi na isiyo halisi yaani za kuundwa na computer kupelekea kufanana kama...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Kheri nusu shari kuliko shari kamili, wanaoukuja kuchukua vitambulisho vya taifa ni kama heading inavyosema ni vizuri kuchukua hatua kabla ya ajali. Je wameukana uraia wao huko walikotoka. Vyombo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hebu tusome hadithi hizi za kushangaza kuhusiana na makundi ya mafia. Ukijisikia kuchangia, wewe changia, lakini dhumuni kuu ni kuelimishana na kupass time kwani leo ni jumatatu,wengi bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ni swali dogo fikirishi kidogo . leo hii ukiulizwa wamisri bila shaka kabisa utasema ni waarabu. ukiulizwa wazambia utasema ni waafrika. ukiulizwa wamarekani/faransa utasema ni wazungu. ukiulizwa...
3 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari wakuu, Dunia ilipofika sasa ni kwenye stage ya "high manipulation zone" ni hatua ambayo wanadamu asilimia kubwa wako easily controlled na so called "hidden system" ambayo huona output zake...
15 Reactions
325 Replies
25K Views
Jana wakati nipo katika mizunguko yangu pale Kawe - Dsm lilitokea jambo ambalo nilikuwa nasikia katika hadithi za vijiweni but for the first time nlikuwa katika scene iliyomuhusisha kijana mmoja...
12 Reactions
59 Replies
10K Views
Almost half of the global population believes in the concept of re-incarnation. This is a belief of the soul re-living the physical life after the death of an individual. The form and status of...
4 Reactions
215 Replies
29K Views
Kwanini Marekani ! Kila Kichwa Cha Mtu Duniani Anasema Yake Kwa Amerika Ivi Nchi Ya Marekani Wanategemea Nini Haswa Kwa Ubabe Wake Ambacho Ukikipata Hicho Umemuua Mwamerika Ni Nini Icho Na...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Excluding few freethinkers and philosophers, good number of human race believe in scriptures. Can somebody give me the logical reasons behind this fate..?
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu! Nimeanzisha uzi huu kujaribu kutoa utetezi kinyume na hoja inayopinga uwepo wa Mungu kwa hoja kwamba ulimwengu huu unathibitisha kwamba 'Mungu mwenye upendo wote, uwezo wote na ujuzi wote'...
2 Reactions
97 Replies
9K Views
Mnyama huyu hufahamika pia kwa jina la ndovu au kwa lugha ya kigeni huitwa Elephant, lakini pia jina lake la kisayansi hufahamika kama Loxodanta Africana. Tembo ndio mnyama pekee ambaye ni...
15 Reactions
73 Replies
30K Views
Wakuu, Nina miaka 4 sasa nafanya utafiti kuhusu kuwepo kwa uchawi sijapata kujiridhisha kihalisia kuwepo kwa ushirikina.Nimetembelea maeneo yote yanayosemekana ni maarufu kwa ushirikina kama...
10 Reactions
162 Replies
30K Views
Habari! Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema! Kuna haka ka...
9 Reactions
193 Replies
28K Views
Wasaaalam wana JI! Kama wewe ni mpenzi wa Science fiction(sayansi ya kubuni),bila shaka jina Isaac Asimov sio geni kwako. Mwaandishi huyu wa kimarekani aliwahi kuandika kitabu chenye mkusanyiko...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu habari za jioni.. Kumekuwa na makala mbalimbali zinaozo elezea umbali ambao wanasayansi wameshafikia angani. Wameweza safiri mpaka kwenye mwezi na wameweza tuma vyombo vya uchunguzi katika...
20 Reactions
108 Replies
15K Views
Wanabodi, mtakubaliana nami kuwa matatizo mengi katika hii Dunia yanasababishwa na ujuaji mwingi wa Binadamu kwa mgongo wa maendeleo ya Sayansi na Teknolojia. Hapa chini ni mifano michache...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Growth of human homo (being)huyu ndiye mnyama anaeshi middle time ya uhai wa bustanini akiwa balanced huyu ndiye mwenye one hulf second ya utashi dhidi ya wanyama wenzie akiwa na uwezo wa kuunda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Human homo ni sehemu ya umungu(god,lyrans)wasanifu wa muundo huo. ndivyo ilivyo waumbaji waliumba human homo kwa mifano yaki,maumbo,ufahamu,n.k kwa moja ya sehemu walizonazo wao,baasi human homo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
1 Reactions
133 Replies
24K Views
Back
Top Bottom