POWER OF MIND 1
-
Ni Jambo Lisilo pingika kila Binadamu ana zaliwa na power of Mind (Nguvu Ya fikra /Akili /ubongo) Ukitaka kuthibitisha hilo mtazame mtoto mdogo katika maisha yetu ya kila siku...
The term hacker literally means a person who uses computers in order to get unauthorized access to data. Hacking is not crime unless and until you do it to get unauthorized access. In this...
Malaika wakimpandisha Enoch mbinguni.
Kulingana na Kitabu cha Enoch, ambacho kiliondolewa kwenye Vitabu vya Biblia, kinaeleza kuwa, Enoch alichukuliwa na Mungu kwenda mbinguni na alipokuwa...
Just like in the animal kingdom, there are some circumstances where the matriarch is the one in charge. Women are often known for their ability to demand respect and loyalty, and in the criminal...
Nimeingia mtandaoni na ku search Magufuli (Nilitaka nipate picha yake) ila search results zilipokuja ilikuwa ni kuhusu jaribio la kumuua Tundu Lissu na jina lake
Kusema kweli hii imemchafua sana...
Habari wana MMU,
Oooh sorry nilipitiwa kidogo, hamjambo Vichwa??
Hebu naomba tuelimishane leo kuhusiana na jinsi Whatsapp inavyoingiza pesa.
Tuanzie hapa!!
WhatsApp ilivumbuliwa rasmi na Bwana...
Wanabodi:
Baadhi ya Wanazuoni wa Kiislamu hawataki kukubali kwamba Kurani ina maelezo au masimulizi ya visa ambavyo ama havikuwahi kutokea katika historia ya maisha ya mwanadamu au kwamba visa...
Siku za hivi karibuni binti yake Rais Donald J Trump wa Marekani ajulikanaye kwa jina la Tiffany Trump amekuwa akionekana sana akiwa karibu na kijana wa Kilebanon ajulikanaye kwa jina la Michael...
Habari wakuu. Kwa mujibu wa Rais wakati anawaapisha wakuu wa mikoa wapya leo Ikulu alitamka kuwa aliyemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Intelijensia ya jeshi ( MI).
Je ni sawa...
Ogonga has come with Common Market Protocals. Watanzania tusihofu ila tuchukue tahadhari kama ifuatavyo.
Tuutumie uwezo tulio nao kielimu kwa nguvu zote tuhakikishe kuwa tunapata mafanikio...
Salaam wana JF.
Katika uandaaji wa nembo ambazo hutumika katika mashirika,taasisi na makampuni mbali mbali, kunakuwa na uhusiano fulani kati ya hiyo nembo na shughuli husika za kampuni,shirika au...
Licha ya hali ya sasa katika elimu ya kutibu wanafunzi kama kikundi kikubwa, kuna kweli njia mbalimbali ambazo ubongo wa binadamu huchukua habari. Mifano ya kuongoza na nadharia kuhusu kufikiri...
KESHO NI NZURI KULIKO JANA.!
By Malisa GJ,
Mwaka 1960 serikali ya kikaburu ya Afrika Kusini ilifanya mauaji ya halaiki kwa raia wasio na hatia waliokua wanaandamana kupinga udhalimu wa serikali...
Ndugu wanabodi. Wakati wote maisha yote tunatenda. Katika matendo ama tunatekeleza Mambo ya Mungu au ya shetani. Mara kadhaa nimekiwa nikipiga puli.
Sijapata kuona sehemu ya kupigia zaidi ya...
SALUTE COMRADE..
Ulishawahi kumsikia mbwa aliyeitwa Hachiko kama utaenda Tokyo Japan basi utasikia habari za huyo mbwa anayeitwa Hachikpo
Hachiko ni shujaa wa kitaifa wa wajapani, ni maarufu sana...
ATTITUDE IS EVERYTHING
-Mawazo chanya ndio msingi wa mafanikio katika maisha yako.
-Inahitajika mikakati na smart hardworking kufikia malengo yako.
-Uwezo ulionao ndani huenda ni mkubwa zaidi...
Habarini wana bodi.
Kuna vitu ambavyo huwa vina 'outcome' positive na negative iwe umefanya au hujafanya. One of it ni neno moja tu,' Maamuzi'
Kuna baadhi ya mambo ambayo kama mtu hutayafayia...
Habarini wa GT.
Kumekuwa na mgongano wa mawazo kuhusu uwepo na ithibati ya Mungu.Naomba niseme ya kuwa mgongano huu haujaanza leo wala jana bali ni karne kwa karne zimeshapita. Nitaanza kwa...
Habari za jumapili,
Naomba leo tupeane changamoto za kihistoria na kitamaduni ambazo zimejengeka kwetu. Iko hivi, ramani za zamani hata kabla ya kuzaliwa Kristo zinaonyesha (BC) zinaonyesha...
Salam Ndugu,
Awali ya yote napenda niweke wazi kwamba mimi si mtumiaji wa madawa ya kulewa ya aina yoyote ile ya kilevi. Vile vile sijawahi kuvuta sigara wala kuwa mrahibu wa chochote. Pia siyo...