Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Binadamu pamoja na utashi na maarifa yote aliyonayo lakini kamwe hawezi kujiongoza yeye kama yeye... Lazima kuna mahali aegame... Anapopaamini kwa namna yoyote ile moja kwa moja ama kinyume nyume...
17 Reactions
63 Replies
7K Views
Viongozi wa wizara wadaiwa kupora mradi. Brela yatuhumiwa kuwabeba,kuwalinda. Serikali ya rais kikwete,kupitia,wizara ya viwanda na biashara imeingia katika mvutano wa kibiashara ambao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nitazitoa picha za maandamano yaliyofanyika nyuma ili kuwapa moyo ndugu zangu wenye uchungu wa nchi hiyo[TANZANIA]Tuache uwoga.siku tulivyoandamana tulipata vibali vyote ,na said mwema wa huku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ICC The Hague confimation hearing 23/9/2011 part 3/3 Long version ( Uhuru Kenyatta Deputy Prime Minister Kenya, Muthaura the Chief Secretary Gov't of Kenya and General Ali the ex- Inspector...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je Farhad Ahmed Docrtat, Junaid Ismail Docrtat na Sniper Africa ni kina nani ? wanajishughulisha na nini Tanzania ? Na je kwa nini walikuwa mjadala la kwenye cables za ubalozi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tatizo la kwetu ni bado kuwa na dhana tengemezi na kushindwa kujisaidia wenyewe. Kwa maoni yangu ndio sababu tutaendelea kuwa maskini pamoja na rasimali nyingi tulizonazo. Nchi kama South Korea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mnapokuwa kwenye mtumbwi na mmoja wenu akawa anatoboa mtumbwi, mkimwacha aendelee, wote mtazama majini. Mliokuwa mnaangalia na aliyekuwa anatoboa. Uwajibikaji mahali pa kazi ni duni hasa ktk...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mimi naona hakuna
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tujiulize mimi na wewe mapenzi yetu yapo kwa nchi na unyoge wa watu wake au chama na serikali yake inayoneemesha viongozi wake kwa hazina iliyopo nchini? Zaidi jisomee makala niliyoambatanisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Utafiti kutathmini thamani ya michango ya fedha (value for money) katika sekta ya Elimu: Michango ya kuendeleza Elimu Mkoa wa Kagera Utangulizi: Utafiti huu unalenga kutathmini thamani ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tumejulishwa rasmi kuhusu maboresho mengine ya Jamiiforums ndani ya siku 45 zijazo... Ni taarifa rasmi toka kwa Mkuu Melo mwenyewe.... Maboresho hayo yanatokana na maoni ya wadau nje ya forum.. Na...
21 Reactions
71 Replies
7K Views
Katika biblia yako maneno ambayo yametumika ili kumaanisha Jambo Fulani.mara nyingi sio rahisi kuelewa na inahitaji kujifunza kwa bidii ili uweze kuhakikisha kile ambacho kimeandikwa kwa sababu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naaamini daima mlinzi wa mwisho wa nchi yoyote dunia ni USALAMA WA TAIFA wa TAIFA LOLOTE DUNIANI. USALAMA WA TAIFA ndio roho ya mwisho ya TAIFA kujua MAADUI WA TAIFA na NDIO washauri wa muhimu...
4 Reactions
41 Replies
18K Views
Habari wakuu! Wachungaji na makasisi wametufanya tuwe watoto wakufikia. Kama haitoshi Mashekhe na maimamu wametugeuza watoto haramu katika nyumba ya Baba yetu. Wameturubuni kwa maneno ya uongo na...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Hili ni kaburi la Mtwa Munyigumba Kilonge Mdegella Mwamuyinga lililo katika Kijiji cha Rungemba wilayani Mufindi, takribani kilometa 61 kutoka Iringa mjini. MAANDIKO kadhaa yamekuwepo...
11 Reactions
40 Replies
13K Views
Habari ya usiku wakubwa. Leo nimejikuta nipo katika mood ya kuwasilisha mada ya yenye kichwa hicho hapo juu. Je ni kweli kwamba nadharia hiyo ndio sababu au miongoni mwa sababu ya wanasayansi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanasayansi na watafiti wamepata ushahidi wa kipekee sana duniani kwa kupata nyayo Zaidi ya 400 za mwanadamu wa kale katika tabaka linalokadiriwa kuwa na miaka 5000 mpaka 19,000. Nyayo hizo ni za...
8 Reactions
63 Replies
10K Views
  • Closed
Muone mwenyewe The challenge... Follow up... Swali: Je ni kweli anachosema huyo daktari kwamba baada ya Thambo Mbeki aliyekuwa rais wa pili wa Afrika kusini kushtukia kwamba ARV ndizo...
29 Reactions
391 Replies
82K Views
Na.Dr.Omar Ali. kuna mambo nayafanyia tafiti sasa hivi kuhusu maisha yalivyokuwa zama za kale kabla ya kuzaliwa yesu, vipi teknolojia zilivyokuwa kipindi hicho, historia inaonyesha jamaa walikuwa...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Mara nyingi namna ujasusi unavyotekelezwa katika dunia halisi ni mara chache sana hufanana na zile television movies za hollywoods kama James Bond, Tom Cruise na wengineo.Ila ujasusi bado inabaki...
9 Reactions
158 Replies
21K Views
Back
Top Bottom