Wadau,
Roho ya mwanadamu hutiririka na kuenea ndani na nje ya mwili wa mwanadamu.Kila mwanadamu ana roho,na roho ya mwanadamu sio sehemu ya utambulisho wa mwanadamu bali kila roho ina utambulisho...
Kabla VIP hajazuru eneo husika, RSO, DSO na "Advance party" wanapaswa kuhakikisha kila kitu kipo OK. Kama wameshindwa kujua kama mradi ulikuwa tayari kuzinduliwa wanaweza kweli kujua tishio dhidi...
Je unajua kuwa mwaka 321BK mfalme Constantine alipitisha sheria ya kwanza ya jumapili huko Roma? Halafu miaka michache baadaye katika mwaka 325BK hasa 366BK kanisa la Roma likaifanya “jumapili”...
Hapo nyuma nilielezea kuwa Tanzania government procurement is very complicated na complication yenyewe inaletwa na mambo ya rushwa. Serikali wanawajua GE, Wartsila, CAT, Mits, nk. Hizi kampuni...
Katika habari mpya kuhusu sayansi ambayo inakuwa kwa kasi na ina uwezo wa kuathiri raia wasio na hatia-na kusababisha hatari kubwa ya afya,ukiukwaji wa haki,uhuru kupotea, na upotevu wa...
KIDON ni kitengo ndani ya Mossad chenye jukumu la kufanya mauaji dhidi ya wale wenye kuhatarisha usalama wa Israel. KIDON ndio wanaosifika na kuogopwa zaidi duniani katika kufanya assasinations...
Wakuu napata shida sana pale nikitafakari kauli ya yesu kwa wanafunzi wake, kuwa '" NENDENI MKAYABATIZE MATAIFA YOTE KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU"
Shida naipata hapa, je baba...
Habari za mchana wakuu kama kichwa cha thread kinavyosema kwenye historia ya ulaya na kiislam kulikuwa na mfalme wa Ottoman empire dola ya kiislam hii iliyovamia ulaya kutokea mashariki ya kati na...
Heko wadau wa ulingo huu usio na mashabiki wengi.
Siku tatu zilizopita nilienda Mwanza kikazi, ndipo leo muda wa saa 4 au saa 5 asubuhi, tarehe 4 mwezi wa 9, 2018 nimeshuhudia kwa macho yangu...
jamani naoma mnipe data zaidi ya huyu jamaa anayejiita mwanamboka maana mm namuona ona tu sijui anafanya shghuli gani ila nasikia kuwa ni mmoja kati ya matajiri sana tz ss kama kuna mtu anamjua...
Kuna mambo manne ambayo Yanapatikana duniani kote kwa asilimia kubwa kabla hata hatujaingiliana (globarization)
1:Watu kuabudu wafu katika desturi zao.
Desturi hii utaikuta utaikuta australia...
Habari za jioni wana JF intelligence, natumaini wote wazima humu. Na kama kawaida nitoe angalizo kuwa mada ni sensitive sababu linagusa pia imani za wengine hivyo ningeomba tusome kwa makini...
Wasalaam JF members[emoji1538]
Moja kwa moja kwenye mada, ila kabla sijagusa mhimili wa mada niweke misamiati hii sawa kwa kiwango cha upeo wangu (siyo cha BAKITA)
Tafsiri ya haya maneno:
1...
MALAIKA NDANI YA KIWILIWILI CHA BINADAMU
Desemba 1994, Rapa Tupac Shakur alihukumiwa kifungo jela kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka minne na nusu. Kosa likiwa kumnyanyasa kingono mwanamke mkazi...
Habari wanajf!
Ndugu zangu,sisi wengine elimu zetu za STD 7 lakini hazituzuii kufikiri kuliko kawaida.Wanasayansi njooni hapa 'mtupakulie' maajabu ya huu ubongo kama ifuatavyo:
1.Kitendo cha mtu...
Rédoine Faïd, picha ya mwaka 2010
Jambazi sugu aliyekuwa akisakwa nchini Ufaransa alifuatiliwa nyendo zake na polisi kwa njia ya simu na alikuwa akitumia burqa kujiificha, waendesha mashtaka...
Nina imani humu Jamii forum kuna wajuvi wengi sana ,
Leo sijaja na maelezo mengi sana bali nimekuja tu na maswali haya machache wajuvi wanaojua waje wanijibu ,
Je ni kweli kwamba mtu akiuawa basi...
Salaam wakuu,
Habari zenu. Katika pita pita zangu, nimekutana na hii kitu kwakweli nimeshindwa kuelewa kabisa. Kuna mambo ya Schrodinger's cat, kwa kifupi inasemekana huu ulimwengu tuliopo kuna...
For centenaries,inquiries concern Godhead existence have been debated by philosophers,theologians,and even scientists
In debate between atheists and theists,accusation of bias,
Contemptuousness...
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.