Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

China imeonesha ndege yake mpya ya kivita yenye uwezo mkubwa wa kukwepa rada na kushambulia maeneo magumu kufikika. Ndege hiyo iliyopewa jina la Wing Loong II imetengenezwa kwa teknlojia ambayo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga “Kanisa Katoliki, ambalo linajitokeza kwenye kamba ya kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia, inakabiliwa na aibu mpya baada ya...
11 Reactions
148 Replies
26K Views
Katika jitihada za kupunguza gharama za taa za barabarani usiku, jiji la Chengdu nchini China litakuwa na kivutio kikubwa cha utalii katika mpango wake wa kutengeneza mwezi wa bandia utakaowekwa...
5 Reactions
104 Replies
15K Views
Katika kufuatilia masomo mbali mbali; nilikutana na mhelimishaji mzuri ambaye kwa maelezo yake mengi nilimuuliza swali: Nawezaje kuziamsha nguvu zangu za ndani? Alinipatia majibu / sentensi nne na...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika jitihada za kupunguza gharama za taa za barabarani usiku, jiji la Chengdu nchini China litakuwa na kivutio kikubwa cha utalii katika mpango wake wa kutengeneza mwezi wa bandia utakaowekwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Je utamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni Musk anadhanii binadamu huwenda wakaepuka kifo kutokana na ujio wa teknolojia mbalimbali duniani...
3 Reactions
74 Replies
12K Views
1. Alizaliwa Tarehe 15 Januari 1929, Atlanta Georgia nchini Marekani na kufariki Memphis April 4, 1968. (Aliishi Miaka 39) 2. Baada ya kuzaliwa alipewa jina la Michael King Jr , Baba yake aliitwa...
7 Reactions
14 Replies
4K Views
Published on 5 Apr 2014 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwanasheria maarufu nchini, Mabere Marando alipotembelea chumba cha habari cha Global Publishers na kufunguka mambo...
0 Reactions
65 Replies
19K Views
How the United States Overthrew Ghana's President Kwame Nkrumah combort sebraa October 10, 2018 10:08 am Follow The success of Ghanaian industrialisation would have further cemented the fact...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
This system uses Direct Digital Synthesis Sweep and dedicated software to maximize its effectiveness. This high powered jamming system vehicle enables the operator to swiftly program the unit...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Mapema asubuhi, mnamo 30 Oktoba 1961, ndege ya kuangusha mabomu ya Muungano wa Usovieti aina ya Tu-95 ilipaa kutoka uwanja wa kambi ya ndege za kivita ya Olenya katika rasi ya Kola kaskazini mwa...
5 Reactions
31 Replies
9K Views
Habarini wana Intelligence .... ...hili jambo linanichanganya sana juu ya uwepo wetu Duniani.... Nikiangalia vitabu vya Dini zote vinatuambia kwamba, lengo la kuumbwa kwetu Mungu alitaka kiumbe...
3 Reactions
326 Replies
24K Views
Neno Sadism ni la lugha ya kingereza, kiswahili chake ni ukatili. Au mtu kufurahi anapoona mwingine anaumia. Hii ni hulka mbaya sana, kwa maneno mengi kupenda kuona unyama ukiwatesa baadhi ya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara nyingi hua nasikia MTU akisema huu ni mwili wangu, sikio langu, pumzi yangu, moyo wangu, mawazo yangu, akili yangu, hisia zangu... Roho yangu n.k.. Sasa maswali ninayojiuliza:-...
0 Reactions
33 Replies
20K Views
Huyu nimrodi ni mjukuu wa Hamu mmoja wa watoto wa Noah Baba yake nimrodi ni Kushi mtoto wa Hamu Yaelezwa alijenga miji mingi moja kati ya miji hiyo ukiacha babulon ni Ereki, Akadi, nchini...
6 Reactions
45 Replies
13K Views
  • Closed
Taasisi hii ambayo ndio uhai wa taifa letu imefanya mengi ya kutukuka na yasiyomithirika hata kwa chembe ya haradali. Wadadisi wa masuala ya kijasusi wataungana nami kuwa TISS ndicho chombo pekee...
68 Reactions
318 Replies
66K Views
Habarini wana javin habarini za mchana bila shaka wengine weekend imeanza na wengine majukumu yanaendelea.....!!! Kama mada inavosomeka hapo juu nimekua nikijiuliza hili swali pasipokua na majibu...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Licha ya kuonyesha mtizamo wangu ktk hili,ila sijajifunga ktk box hivyo niko huru ktk kufikiri juu ya fikra za wengine,maoni na mitizamo yao ktk hili
1 Reactions
13 Replies
39K Views
Kama title inavyosema kwa wajuvi wa mambo humu JF je upi ni ukweli kuhusu historia kwamba kulikuwa na bara linaitwa atlantis lililoongelewa na mwanafalsafa wa kigiriki Plato kwamba lilikuwa na...
21 Reactions
421 Replies
60K Views
Kwanza naomba niombe Radhi kwa wale ambao watachukizwa na Andiko langu pia naomba pia vile vichwa vilivyosomea mambo ya dini vikija vije na majibu yenye fact na sio kutishana, Je yaliyomo kwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom