Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time...
15 Reactions
159 Replies
16K Views
Ngono Maana: Tabia ya viumbe wa duniani ambayo ni njia ya kuzaana kutokana na wazazi wawili. Tofauti kati ya jinsia ya kiume na kike huleta mabadiliko mengi katika maisha ya wanadamu. Kwa kuwa...
11 Reactions
63 Replies
20K Views
Kanuni za Akili na Ulimwengu Kanuni ya nne - Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha Wewe ni Kama Sumaku Inayoishi. Maisha unayoishi hivi sasa hayajaachana na ulimwengu...
8 Reactions
22 Replies
9K Views
Katika kutolewa tongotongo juu ya meditation nikawa very eager and interested to practice, lakini nikakutana na vitu viwili ,AP na Lucid dreamer. katika fuatilia threads nikagundua AP ni advanced...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises. Africa Tanneries Ltd- Mwanza Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGORO...
4 Reactions
209 Replies
48K Views
Nikiwa katika kijiji cha kabila wilayani Magu enzi za ujana wangu mwishoni mwa miaka ya tisini, kwa mara ya kwanza nilikwenda nilikwenda kwa mganga nikiwa nimefuatana na shangazi yangu baada ya...
16 Reactions
71 Replies
17K Views
Ndugu wanajukwaa la siasa,habari za jioni. Naomba mnijuze kuhusu tofauti ya maamuzi ya kisiasa na kisheria. Mfano,wiki iliyopita,mh m bunge wa Kigoma,Zito R. Kabwe,aliita waandishi wa habari na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
“Know yourself is beginning of all wisdom” <Aristotle> 1. MWANZO Kwanza ningeliweka wazi hili suala kabla ya kuendela na makala hii fupi Ijapokuwa magonjwa ya akili ni magonjwa tu kama...
38 Reactions
73 Replies
19K Views
Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia, uliyofundishwa darasani Ni historia changa mno, Tena ya karibu mno, mtu...
37 Reactions
754 Replies
52K Views
English Audience. Hero Syndrome is the condition where a person will intentionally create a dangerous situation just so they can "be a hero" and resolve it.The phenomenon has been noted to affect...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Unajimu na Kubashiri—Je, ni Njia Sahihi za Kujua Kuhusu Wakati Ujao? UNAJIMU Unajimu ni aina ya uaguzi inayotegemea imani ya kwamba nyota, mwezi, na sayari huathiri maisha ya wanadamu duniani kwa...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
KIDON, KITENGO CHA SIRI CHA MAUAJI NDANI YA SHIRIKA LA KIJASUSI LA MOSSAD, ISRAEL KIDON ni kitengo ndani ya Mossad chenye jukumu la kufanya mauaji dhidi ya wale wenye kuhatarisha usalama wa...
19 Reactions
34 Replies
7K Views
Enoki alimzaa Methusela aliyemzaa Lameki ambaye alikujaa mzaa Noah. Huyu Noah ndio wa kipindi cha gharika! (Kutoka 5:29). Kipindi hicho malaika waasi wameshuka duniani kula 'good times' na watoto...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Mi nilichokiona kwenye mjadala wa Weusi ndio walistaarabika kwanza...!' Ni watu kutokujitambua, kukosa taarifa sahihi kuwahusu, mfumo wa elimu usiowafikisha watu kuyafikia hayo awali semwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mchana wana JF natumaini kila mmoja wetu ana jumapili njema, hivyo basi moja kwa moja niingie kwenye mada husika ya leo. UTANGULIZI SS Ourang medan ilikuwa ni jina la meli ya huko...
16 Reactions
31 Replies
8K Views
Sayansi ina habari nyingi sana,na vimbwanga kadha wa kadha. Sasa kuna maswali nataka kuuliza juu ya suala la Big Bang. 1. Nataka nipewe uthibitisho wa tukio hili kama kweli lilitokea. Na kama...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Mji wa Biharamulo umeanza kutoa matangazo kwa kutumia magari vijijini kuwaomba Wanyarwanda kuanza kuondoka nchini. 1. Bei za ng'ombe zimeshuka kwa 50% ikizingatiwa Rwanda walishaondoa marufuku...
8 Reactions
258 Replies
29K Views
Habari za jioni wakuu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada Natumaini wote tumeshasikia mengi sana kuhusu alexander the great ila kuna mambo machache yananitatiza na tusaidiane...
20 Reactions
94 Replies
27K Views
Huenda majeshi ya kukodi au "mercenaries" kutoka ama nchi za Afrika Kusini, Angola, Msumbiji na hata Congo DRC yanaweza kuwa yamehusika na utekaji wa mfanyabiasha maarufu Mohamed Dewji. Vikosi...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Napenda Kujua historia ya Kanisa La Orthodox. Je kuna mahusiano kati ya Orthodox church na Roman Catholic church? Nimejaribu ku Google lakini sijaelewa, mwenye maelezo mazuri na ya kueleweka...
2 Reactions
48 Replies
54K Views
Back
Top Bottom