Wazazi tuweni macho mchezo mbaya umeibuka Watoto wa rika zoote wanatekwa Tanzania karibu kila siku!! Kwanini Serikali yetu imekaa kimya ? Haitoi tahadhari kwa wananchi wake ? Hawa watekaji...
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu...
10Honey Badger
Mnyama mgomvi.
Huyu jamaa kashindikana, yaani ni Kichwa cha Mwendawazimu kabisaa. Honey badger kama Waswahili tumwitavyo “Nyegere mara nyingi hupatikana Afrika na Kusini Magharibi...
Nimesoma humu mijadala mingi ikiwa inahoji kuhusu dhana ya utimilifu katika uumbaji. kila jibu lina swali, nimetafakari kwa muda na mimi pia napata maswali mengi zaidi ya majibu. leo nimeona...
MODS KUWENI NA UVUMILIVU,HII NI MIJADALA MUHIMU KATIKA KUWEKANA SAWA KUHUSU HAYA MAPOKEO KWA MTU MWEUSI KUTOKA UGHAIBUNI..
Kumbukumbu la Torati 28:53
53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe...
"Ili kuwazuia wasiweze kufikiri kwa makini hasa,tutazivutia hisia zao kwenye burudani,michezo,mapumziko,misisimko na makasri ya watu.Vivutio vya aina hiyo vitayaondoa mawazo yao kabisa kutoka...
Kifo kimebaki kuwa siri nzito kati ya yule aliyepata umauti na mola wake kwa sababu moja tu kwenye kifo hakuna uhai unaoweza kumfanya yule aliye mfu kusema yale anayoyaona mara tu baada ya kifo...
Nimekua nikitizama movie series za kimarekani (mathalani ukichukulia mfano movie kama 24 ya Kieffer Sutherland almaarufu Jack Bauer, au Shooter ya Bob Lee Swagger).
Unakuta kuna kikundi flani...
Jeff Bezos alifanikiwa kumpiku tajiri namba moja wa muda mrefu Bill Gates baada ya thamani ya utajiri wake kufikia dola bilioni 90.08. Hizi zimekuwa habari mpya na za kushangaza kwa wengi kwa kuwa...
katika nchi yetu kuna mgawanyo wa majeshi yetu. kuna jeshi la anga, la nchi kavu na jeshi la majini.
hiki kikosi maalumu cha majini makao makuu yake kipo kigamboni hapa Dar es salaam.
hivi kazi...
Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani , lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani.
Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake...
Greetings!
"..hauna akili..! " well, japokuwa ni tusi, lakini ana maana gani huyu mtu? sidhani kama ana maana hauna ubongo. Lakini akili ni nini haswa? ubongo ni kitu cha kuonekana na...
Salaam kwa wote,
Binadamu tumekuwa tukijihusisha na kufanya maombi kwa namna mbalimbali yenye malengo tofauti kutokana na mahitaji ya muhusika.
"Kuna kitu mahala hapo" nje ya uwezo wetu na namna...
Hii iña maana ya kuiongoza dunia kama Serikari moja ña kuwa na rais mmoja tu dunia nzima.
Hukutanikia Roma Vatican,Kiongozi mmoja mmoja wa kidunia yaani marais hudhulu Roma ikiwemo marais wa...
Heshima zenu wakuu!
Kwanza ninapenda kuweka wazi kwamba, nimewiwa kuandika mada hii kwa lengo la kutafakari kwa pamoja. Sijanuia kumuudhi, kumkwanza mtu wala kuibua hisia chungu kwa yeyote awaye...
1.Anna Chapman maarufu kama Anna Kushchenko
Umri miaka 31
Alikuwa jasusi wa Russia akitafuta habari mbalimbali dhidi ya Marekani hususani shirika la ujasusi la Marekani (CIA) ambalo ofisa wake...
Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia tu hawa viumbe wanaitwa Aliens wanalivyo na uwezo mkubwa wa Akili na inasemekana kuwa mataifa makubwa hasa Marekani na Urusi kuwa wana vituo vikubwa kwa ajili ya...
Habarini Wote,
Ninashiriki nanyi tafsiri hii kutoka kwenye kitabu 'The Art of Dying' cha OSHO, sura ya kwanza: Know How to Live (Jua namna ya Kuishi); nikiwa na imani ya kwamba kufanya hivi...
Inavyoeleweka huku angani kuna upepo wenye kasi kubwa (marekebisho kama siko sahihi).
Mara nyingi nimeona zile ndege zinazopita juu sana zamani tukiziita 'roketi' zinaacha mstari mweupe wa moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.