Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Wanabodi salaam! Neno uzalendo limekuwa likizungumzwa sana hasa na wanasiasa lakini hatupaswi tu kuwaachia watu wa tabaka moja kuzungumzia Jambo hili.Uzalendo NI zaidi ya UTAIFA,Kila Mtu ataungana...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
June 9, 2013 mkurugenzi mkuu wa Nationa Security Agency (NSA) James Clapper akiwa kwenye kikao cha siri na maafisa wa juu wa usalama wa Marekani alifungua kinywa chake na kusema "His crazy...
13 Reactions
39 Replies
8K Views
Sidhani kama huu uongo na upotoshaji bado unafundishwa kwenye shule zetu kwenye somo la historia.... Sisi tulifundishwa na kuaminishwa kuwa asili ya mwanadamu ni mnyama nyani.... Ni katika...
27 Reactions
136 Replies
16K Views
Rastafari inatilia mkazo Afrika, na Afrika ya ughaibuni ambayo wanaamini kuwa inanyanyaswa ndani ya jamii ya Magharibi, au "Babeli". Marasta wengi wanasisitiza wito kwa Waafrika walioko nchi za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumaini wote wazima humu jamvini Bila kuchelewa naona niende moja kwa moja kwenye mada husika Kwanza kabisa nianzie hapa kutokana na matukio mengi ya kigaidi yanayofanywa na vikundi vya...
7 Reactions
62 Replies
9K Views
Hiyo hapo juu ni picha ya inayosadikiwa kuwa ya mnara wa babel ambao Nimrod kwa kushirikiana na watu wengine waliujenga kwasababu ambazo ni za kishetani kwa mujibu wa maandiko na Mungu alivuruga...
29 Reactions
527 Replies
73K Views
Habari wakuu!! Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Aliye mbele yako inabidi umsikilize Kwa makini ukiwa unamazungumzo nae haijalishi kama ni mtoto,mlevi au mtu mzima au wahubiri wa dini maana Mungu humuingia yeyote ktk nafsi na kuongea kupitia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Salaaam.. Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote. Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji...
38 Reactions
335 Replies
34K Views
Licha ya dunia yetu kukua sana kwa sayansi na technology hadi kufikia binadamu kwenda sayari nyingine pia katika mawasiliano na pia anga za mwili wa binadamu ambapo mwaka 2025 kuna mpango wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
FLORENCE HARDING: MKE WA RAIS, AKAMPELEKA PUTA KISHA AKAMUUA Yanapotajwa majina ya wake wa marais wa Marekani (US First Ladies), wenye akili nyingi kuwahi kutokea na waliojishughulisha...
24 Reactions
53 Replies
10K Views
ikiwa amekutongoza na ukampenda,basi hakikisha unakuwa wa kwanza kumualika Chakula hotelini na kama ni yeye mwanaume ndio kakualika hotelini kwa Chakula basi hakikisha wewe mwanamke ndio unalipia...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu salam Nawaza tangu wimbi la kuhama vyama limeanza sijawahi kusikia vyama vya upinzani vimeshinda na kutangazwa. Je kuna haja ya kuendelea kushiriki uchaguzi ili hali tunajua matokeo?
1 Reactions
7 Replies
998 Views
Salute Comrades Intro Mnamo mwaka 1969 mwanamuziki aitwae Jim Sullivan alirekodi albamu aliyoipa jina la U.F.O, ndani ya albamu hiyo kuna mistari anaimba kua ..aliacha familia yake akawa ametekwa...
17 Reactions
75 Replies
8K Views
Taarifa nilizozipata punde toka chanzo cha ndani kabisa kwa maana ya mtumishi wa TRL makao makuu ni kuwa wale vibosile wa TRL ambao ni wahindi wametoweka na kiasi kubwa cha fedha na kubakiwa...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Salaam wakuu Nimesoma sehemu tofauti humuhumu jukwaani kuwa sisi binadamu uwezo wetu wa kiakili tunarithi kutoka kwa mama yaani maana yake km mama yako ana uwezo mdogo basi hata watoto...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Kote ulimwenguni gari LA wagonjwa likiwa Lina mgonjwa na limewasha king'ora halipaswi kusimamishwa na yeyote Na ikiwa litakutana na msafara was rais,je nani atampisha mwingine au litasubiri...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
KUTOROKA MWAMBANI - kinachokuzuia si kuta ndefu, bali akili yako. Awali ya yote nashkuru sana kwa watu wote ambao wamekuwa wakifuatilia simulizi zangu na hata mikasa mbalimbali ambayo narusha...
24 Reactions
66 Replies
8K Views
Inashauriwa hata ukiwa ndani ya nyumba na unatumia kisu pale utakapotaka kutoka sehemu moja kwenda nyingine labda jikoni to sebuleni basi kibebe kisu kwa kukining'ing'iza badala ya kukielekeza kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom