Tanzania Inter-bank Settlement System (TISS) ;) mwisho wa kazi siku ya Alhamis ni mchana saa sita mpaka Jumatatu asubuhi; kwa mujibu wa benki fulani.
Ukidipoziti cheki ya benki nyingine Alhamis...
Jua ndio kitu pekee ambacho kiko katikati ya mfumo wa jua. Jua ni 99.86% ya uzito(mass) wa mfumo wa jua.
Kimsingi jua ni mkusanyiko wa hydrogen na helium, 74.49% hydrogen na 23.8% helium.
Joto...
MAHUSIANO YA TANZANIA NA MAREKANI (1)
Baada ya ubalozi wa Marekani kutoa taarifa ya kuguswa na hali ya mbinyo wa demokrasia nchini, nimeona vema tufahamu kwa kiasi fulani, mahusiano yetu na...
Umasoni ni chama cha siri kabisa cha Kiyahudi, kimeanzishwa huko enzi za Kiroma sehemu za Aurshalim (Jerusalem) wakati wa ufalme wa Herodus Aghriba baina ya mwaka 37-44 M, aliyekuwa mjukuu wa...
Kuanzia tarehe 26/07/2018 usiku saa 7 hadi tarehe 19/08/2018 sayari ya Mercury inakua inazidiwa kasi na Dunia hivyo sayari ya Mercury kuonekana kama inarudi nyuma lakini kiuhalisia inakua...
Utangulizi
Kabla ya kufanya uchambuzi huu wa wazi na kujikita ndani kabisa kuna mambo ya msingi ya kujiuliza kabla ya kuchimba Zaidi, kwanza fahamu kwamba kutafuta ukweli juu ya jamii yako au...
Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na...
Habari za weekend wanajukwaa natumaini wote wazima bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada ya leo.
UTANGULIZI
Richard sorge a.k.a Ramsay alikuwa jasusi wa urusi ya zamani yaani...
Niamini Mimi si mchawi,wala jini, atakae kuwa amekuchanja Bali Mungu mwenyewe,
Hapo yakupaswa kuwa mvumilivu maana utapitia mambo makuu na baadae kufuzu kwa ajili ya kuitumikia jamii
Niamini...
Pia kuna nchi zinaitwa latin america lakini ukiangalia ramani nchi inayoitwa Latin haionekani naombeni kujuzwa kuhusu hili wadau mana lugha yao ni moja ya lugha maarufu duniani na vitu vingi...
Naomba kujua zaidi ya nijuavyo maana ya kitu VETTING,naomba nijue zaidi kama vettingi inatoa majibu sahihi kwa Tanzania.
Wanasemaga vetting ni kumchunguza mtu kwa ajili ya kuajiliwa kushika nafasi...
Masiku kadhaa yamepita nikiwaza kuandika au kuhoji jambo hili,lakini nikawa nasita. Ila leo hii imenibidi nifanye hivyo,sababu masiku nayo yanazidi kupita.
Sayansi imepewa uwezo mkubwa kuliko...
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha.
Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni...
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha.
Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni...
Habari za mchana wana JF natumaini wote humu wazima basi moja kwa moja niende kwenye mada husika.
UTANGULIZI
Wakati nasoma biblia nikakutana na mstari huu ambao ulinipa maswali sana
Mwanzo 1
6...
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha.
Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni...
Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama Muuguzi kuanzia mwaka 2008 mpaka tarehe 26/12/2011 siku ambayo sitaweza kuisahau katika...
Habari wakuu!!
Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini...
Habari wakuu!!
Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini...
Mh.rais tunaomba upeleke wahubiri wa kimataifa ktk kisiwa cha Solomoni Islands, watu Kule wanateseka kwa maagano na mila mbaya,waweza fuatilia mazungumzo yangu kwa njia ya ujumbe na Dada msomi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.