Binadamu pamoja na utashi na maarifa yote aliyonayo lakini kamwe hawezi kujiongoza yeye kama yeye... Lazima kuna mahali aegame... Anapopaamini kwa namna yoyote ile moja kwa moja ama kinyume nyume...
Viongozi wa wizara wadaiwa kupora mradi.
Brela yatuhumiwa kuwabeba,kuwalinda.
Serikali ya rais kikwete,kupitia,wizara ya viwanda na biashara imeingia katika mvutano wa kibiashara ambao...
Nitazitoa picha za maandamano yaliyofanyika nyuma ili kuwapa moyo ndugu zangu wenye uchungu wa nchi hiyo[TANZANIA]Tuache uwoga.siku tulivyoandamana tulipata vibali vyote ,na said mwema wa huku...
ICC The Hague confimation hearing 23/9/2011 part 3/3 Long version ( Uhuru Kenyatta Deputy Prime Minister Kenya, Muthaura the Chief Secretary Gov't of Kenya and General Ali the ex- Inspector...
Je Farhad Ahmed Docrtat, Junaid Ismail Docrtat na Sniper Africa ni
kina nani ?
wanajishughulisha na nini Tanzania ?
Na je kwa nini walikuwa mjadala la kwenye cables za ubalozi...
Tatizo la kwetu ni bado kuwa na dhana tengemezi na kushindwa kujisaidia wenyewe. Kwa maoni yangu ndio sababu tutaendelea kuwa maskini pamoja na rasimali nyingi tulizonazo. Nchi kama South Korea...
Mnapokuwa kwenye mtumbwi na mmoja wenu akawa anatoboa mtumbwi, mkimwacha aendelee, wote mtazama majini. Mliokuwa mnaangalia na aliyekuwa anatoboa.
Uwajibikaji mahali pa kazi ni duni hasa ktk...
Tujiulize mimi na wewe mapenzi yetu yapo kwa nchi na unyoge wa watu wake au chama na serikali yake inayoneemesha viongozi wake kwa hazina iliyopo nchini?
Zaidi jisomee makala niliyoambatanisha...
Utafiti kutathmini thamani ya michango ya fedha (value for money) katika sekta ya Elimu: Michango ya kuendeleza Elimu Mkoa wa Kagera
Utangulizi:
Utafiti huu unalenga kutathmini thamani ya...
Tumejulishwa rasmi kuhusu maboresho mengine ya Jamiiforums ndani ya siku 45 zijazo... Ni taarifa rasmi toka kwa Mkuu Melo mwenyewe.... Maboresho hayo yanatokana na maoni ya wadau nje ya forum.. Na...
Katika biblia yako maneno ambayo yametumika ili kumaanisha Jambo Fulani.mara nyingi sio rahisi kuelewa na inahitaji kujifunza kwa bidii ili uweze kuhakikisha kile ambacho kimeandikwa kwa sababu...
Naaamini daima mlinzi wa mwisho wa nchi yoyote dunia ni USALAMA WA TAIFA wa TAIFA LOLOTE DUNIANI.
USALAMA WA TAIFA ndio roho ya mwisho ya TAIFA kujua MAADUI WA TAIFA na NDIO washauri wa muhimu...
Habari wakuu!
Wachungaji na makasisi wametufanya tuwe watoto wakufikia. Kama haitoshi Mashekhe na maimamu wametugeuza watoto haramu katika nyumba ya Baba yetu. Wameturubuni kwa maneno ya uongo na...
Hili ni kaburi la Mtwa Munyigumba Kilonge Mdegella Mwamuyinga lililo katika Kijiji cha Rungemba wilayani Mufindi, takribani kilometa 61 kutoka Iringa mjini.
MAANDIKO kadhaa yamekuwepo...
Habari ya usiku wakubwa. Leo nimejikuta nipo katika mood ya kuwasilisha mada ya yenye kichwa hicho hapo juu.
Je ni kweli kwamba nadharia hiyo ndio sababu au miongoni mwa sababu ya wanasayansi...
Wanasayansi na watafiti wamepata ushahidi wa kipekee sana duniani kwa kupata nyayo Zaidi ya 400 za mwanadamu wa kale katika tabaka linalokadiriwa kuwa na miaka 5000 mpaka 19,000. Nyayo hizo ni za...
Muone mwenyewe
The challenge...
Follow up...
Swali: Je ni kweli anachosema huyo daktari kwamba baada ya Thambo Mbeki aliyekuwa rais wa pili wa Afrika kusini kushtukia kwamba ARV ndizo...
Na.Dr.Omar Ali.
kuna mambo nayafanyia tafiti sasa hivi kuhusu maisha yalivyokuwa zama za kale kabla ya kuzaliwa yesu, vipi teknolojia zilivyokuwa kipindi hicho, historia inaonyesha jamaa walikuwa...
Mara nyingi namna ujasusi unavyotekelezwa katika dunia halisi ni mara chache sana hufanana na zile television movies za hollywoods kama James Bond, Tom Cruise na wengineo.Ila ujasusi bado inabaki...