Nafikiria kuwa haya magonjwa kama ukimwi na ebola ni biological weapons kwa ajili ya kupunguza tabaka la waafrica na waasia ili chi tajiri duniani ziwe huru naziondokane na threat ya uwepo wa watu...
Sijui kwanini tunazungushana na kudai watu wote walioatajwa kwenye orodha ya Ufisadi wanastahili isipokuwa Rais Kikwete! Hata viongozi wanaotambua baadhi ya uzito wa tuhuma zilizotolewa na...
Hapa najua kuna watu wakubwa mno, wenye ufahamu sana, nimeamua kujitupa uku nijifunze zaidi.
Je mtu ana mwili na nafsi au mwili nafsi na roho?
Naamini kwa hakika hili ni swali la msingi sana kwa...
Nimekua nikijiuliza hili swali siku nyingi sana, ni kitu gani kinachofanya uwezo wa akili utofautiane kati ya mtu mmoja na mtu mwingine?
Je, kuna mahusiano yoyote kati ya race/jamii ya watu...
Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu...
Awali ya yote niwashukuru wale wote wafuatiliao makala zangu. Mwanipa moyo. Kila ntakapokuwa napata wasaa basi nitashiriki nanyi kwa moyo wote.
Ebu tuanze...
Mwaka ni 1876 huko mji wa Poiters...
*Tanzania and other three countries to lead Africa into SPACE*
African countries have not yet announced sending anyone into space, but reports from Pretoria, South Africa, indicate the African...
Mwanafalsafa na mwanahisabati wa Uyunani ya kale Paithogorasi alipoulizwa muda ni nini ? alijibu "Muda ni pumzi ya ulimwengu " nakubaliana na majibu yake .
Neno pumzi Kiyunani hujulikana kama...
Hapendi rushwa,kwahiyo kwakuwa hajawahi vaa Vazi hill tukufu na kibagalashia angefurahi sana
Mwisho mliorudishwa hamjawahi kushukuru popote kwanini kama mlivyokuwa mnadai kabla au waandishi...
mwili wa binadamu umeumbwa kwa umeme,hivyo huvutana,mnaweza kusana na MTU na cheche kutokea au mwale wa shoti hill halina ubishi,hivyo kupiga mwayo ni kuapudetiwa kwenye gridi yake Mungu ili...
Habari zenu wakuu.
Kumekuwa na kilio kikuu sana cha namna ya kuacha tabia mbovu katika maisha hususani MASTURBATION, UVUTAJI WA SIGARA, KUPENDA MAGOMVI, HASIRA KALI, TAMAA YA NGONO ILIYOPINDUKIA...
Nilipomuona ndege tausi anachanua mkia kwa Mara ya kwanza ndipo nilipo dhibitisha ukuu wa Mungu kwa uzuri wa ndege huyo,haonyweshwi vizuri ktk video au Picha hapo wameshindwawachukua video,pia...
Vyama sijui Hutumia mbinu gani kuwafanya watu wanafurahia maisha,ndugu Polepole tukitaka kujiunga tunaanzaje maana nachojua ktk chama watu wote ni sawa ila naona wengine wanapewa kadi ya chama na...
UN f believable
huvi mnaweza kuamini kuwa UPANGA properties sasa hivi zinaenda kwa $1.5 million? na OBAY/MASAKI hakuna anayeyaka kuishi nako properties zinaenda at $1.1 million japo hakuna...
Namjua mtumishi tangu nikiwa na miaka Tisa mpaka Leo hana idara maalumu,mara arudi teller au awe customer. Service pamoia na uzoefu wote alionao na ni mchapa kazi,
Kwanini asiwe hata loan...
Kozi kama uhandisi yaani engineering(umeme,usanifu majengo,udaktari wa binamu,na zingine nyingi kama kozi za ualimu inapaswa wawe wananikumbushia mara kwa Mara kwa kuangalia Lectures walizowahi...
Hii hutokea sababu ya hisia pale mtu anapokuwa haamini macho yake anapofanyiwa surprise,anapowaza yeye nani hadi spate hadhi kubwa na si mwingine mwenye sifa kama yeye,dhamana na kahalika.
Sasa...
There are multitudes of human beings who are afflicted with various degrees of problems in their waking life because they have had a sexual encounter or more in their dream with a spirit spouse...
Gari limeharibika likapelekwa kwa fundi fundi alipoliona akawaambia walolileta lirudisheni kule lilikoharibikia itawezekana kulirekebisha
*Hii ni ndoto/maono nimeona*
Sent using Jamii Forums...
Habari wana JF, nafahamu fika kuwa hapa ndio nyumbani kwa ma great thinker.
Mara nyingi zaidi nimekuwa nikipendelea kutembelea majukwaa mawili tu hapa JF nayo ni Jamii intelligence na lile la...