Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda sasa, Wanasayansi wanadai Jua ni moja kati ya nyota zinazoipatia mwangaza na nishati Dunia. Wanaendelea kudai Jua limesimama wima na Dunia iko kwenye...
Ndugu wapendwa Sikukuu za kidini na Sikukuu nyingine zinazopendwa na watu wengi ambazo husheherekeawa sehemu nyingi za walimwengu Leo,hazikutokana na Biblia.Basi, Sikukuu hizo zilianzia...
Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hili swala ila sijapata jibu, naomba mwenye uelewa juu ya ili jambo anipe ufafanuzi kidogo. Katika baadhi ya misiba misiba mingi niliyowai kuhudhuria huwa nakutana...
Wakuu mie napingana sana na ukweli huu kwani ni UONGO mtupu kwani hawa jamaa ni watu katika watu!
Je, UNAMJUA BINADAMU WA KWANZA HAPA DUNIANI!?
TAFADHALI FUNGUKA!
KUTANA NA JEAN BEDEL BOKASSA, RAIS ALIYEPENDA STAREHE KULIKO WOTE AFRIKA KATIKA UTAWALA WAKE.
Miongoni mwa watawala waliokuwa na visa na vituko vingi katika bara hili la Afrika ni mfalme wa...
Wakuu kama mnavyojua wahalifu ni sehemu ya jamii hata hapa jukwaani wamejaa tele
Sasa nataka kuelezea kwa ufupi tu matukio na wahalifu waliowahi kufanikisha wizi mkubwa kwa weledi uliotukuka...
Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development...
Mnamo mwaka 2011 serikali ya Marekani kupitia raisi wake Barack Obama ilithibitisha kwamba May 2 ya mwaka huo kikosi maalumu cha maangamizo kilifanikiwa kumtoa kwenye uso wa dunia adui namba 1 wa...
“Project Blue Beam is a conspiracy theory that claims that NASA is attempting to implement a New Age religion with the Antichrist at its head and start a New World Order, via a...
*COPY & PASTE*
👇👇👇👇
*Ndugu yangu Mwita Mwikwabe,*
Ili kuweka barua yangu kwako katika muktadha niliokusudia, nikujulishe tu kwamba siyo ya kisiasa na haijatoka CDM maana mimi sio mwanachama wa...
"Elimu ni kile kinachobaki kichwani baada ya kusahau yale uliyofundishwa darasani" by Albert Einsten.
Wakuu wasalaam,bila kupoteza muda twende na mada.Nianze kwa kuelezea mambo ya tofauti kati ya...
Ukisoma Kitabu cha Mwanzo katika Biblia Takatifu Mwenyezi Mungu Aliweka Walinzi yaani Malaika Katika Bustani ya Eden ili tu Binadamu asiweze Kula Tunda La uhai maana Akilila Ataishi Milele.
Je...
Kwa muda mrefu kumekuwepo na imani zinazohusisha ugonjwa wa akili na mwandamo wa Mwezi mchanga. Hata hivyo, kwa sasa imethibitika kuwa, Mwezi mchanga huathiri akili za viumbe hai akiwemo...
Mungu huwa hakosei kuumba ?
Mimi sijui na lengo langu siyo kumkosoa Mungu wala kumuhoji bali kuzungumzia kuhusu binadamu waliozaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia
Kawaida mtu ana meno...
Habari za asubuhi wana Jf
Nilikua naomba kuuliza miaka ya nyuma kwenye karne ya 12 mpaka 19 hivii kulikua kuna Binadamu walkua wana miili mikubwa sana na pia walikua wana nguvu sana.
Mfano mimi...
Nani ambaye hamjui Dikteta Adolf Hitler? Adolf Hitler ni mtawala maarufu zaidi katika karne ya ishirini, kiongozi wa chama cha Kinazi aliyeitawala ujeruman kati ya mwaka 1934 mpaka 1945. Kama...
CODEX GIGAS au kwa kiswahili (kitabu kikubwa),ndio kitabu kikubwa Zaidi kuwahi kuandikwa duniani tangu medieval periods ( karne za kumi kumi).The codex Gigas kina ukubwa wa (urefu sm 92, upana sm...