Tamer El-Noury ni jina lake kamili akiwa ni FBI muislamu ambaye alipewa jukumu la kuingia ndani ya makundi ya kigaidi yenye msimamo mkali na kushirikiana nao katika kupanga mashambulizi dhidi ya...
Au niuelewa wangu mdogo au upo tofauti na ukweli husika?
Kuna huu utaratibu wa viongozi wa kiserikali hasa hapa dar kutembea kwa masafara wa magari kadhaa ukiongozwa na pikipiki.
baadhi ni kama...
Hili fumbo walitengenezewa na Jim Sanborn mwaka 1990 na lilikuwa na sehemu nne zenye herufi kama unavyoziona hapo chini.
Wenyewe CIA wanadai kuwa walishapata majibu ya sehemu tatu bado sehemu ya...
Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee...
Kuna jambo la ajabu ambalo wengi hawajalitambua... Nimejaribu kuunganisha dots, nikaingia Google kupata support ya picha na mawili matatu!
-Je unajua chochote kuhusu anguko la mji wa Ninawi na...
BIOLOGICAL WARFARE BEFORE THE 20TH CENTURY
War and infectious diseases have always been closely linked. Even without a precise understanding of how diseases were spread, it was understood early on...
Operation redwing
Mnamo siku ya tareh 27.06.2005 usiku…(makomando) wan ne vijana kutoka jeshi la marekani walishushwa katika kilele kimojawapo cha milima ya Hindu kush kijulikanacho kama...
Naona gazeti la fisadi Rostam Azizi limeanza kuanika ufisadi wa mafisadi watoto. Ufisadi huanza kidogo kidogo na baadaye kufikia hatua ya kuiba mabilioni na kuanza kuua watu.
Masahihisho tu kwa...
Maisha ya Simba dume yamejaa misukosuko
Simba ni mnyama anayesifika kwa ukali mpaka kubatizwa jina la mfalme wa nyika.Cheo cha ufalme wa nyika hauendi kwa simba jike bali cheo hicho ni mahususi...
Wakuu kama tunavoona China inazalisha bidhaa nyingi ambazo huuzwa mpaka Ulaya na marekani.
Lakini mpaka sasa China sio mjumbe wa G7 (Most industrialized countries) yaani Nchi zilizoendelea...
Jesus's Story Is An Obvious Rehashing Of Numerous Previous Characters
Perhaps even more compelling is the story of Christ himself. As it turns out it's not even remotely original. It is instead...
Lakini nyinyi mnaowasha moto,
na kujifanyia silaha za mienge,
tembeeni kwa mwanga wa moto huo,
miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe.
Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki:
Nyinyi...
Mara nyingi mtu mkamilifu mwenye upendo wa dhati huwa anajaribu na anaepuka kuleta maumivu kwa mwenzake na jamii kwa ujumla. Ikitokea kumuumiza mwenzako unahisi kuhukumiwa toka ndani . Mtoto...
IGNATIUS LOYOLA ALIWAHI KUSEMA HIVI pale atakapotumwa kazi na kanisa hata kama ni nyeusi ila yeye ataitafsiri ni nyeupe....
"I will believe that the white that I see is black, if the hierarchical...
1. Egypt, PowerIndex: 0.6214
Total Population: 86,895,099
Fit for service: 35,305,381
Active Frontline Personnel: 468,500
Total Aircraft: 1,107
Total Naval Strength: 245
Oil Production: 680,500...
Tunaposema JF ni kitovu cha greatthinkers/intelligent guys kimenifanya kutaka kujifunza Thinkers hawa maisha ya kila siku na jinsi walivyovumbua vitu, kufanya mambo makubwa, kutawala kwa njia za...
Wanabodi, nawasalimu; moja kwa moja niende kwenye mada.
Bila shaka ni ni suala pana ambalo ndani yake kuna taaluma mbalimbali. Kwa jinsi yake na namna yake ni mwelekeo unaolenga ustawi wa mtu...
TUME ya Abbottabad imesema kuwa Osama bin Laden aliishi kama mtu wa kawaida bila wasiwasi wowote kwa karibu miaka 10 na aliwahi hata kusimamishwa na polisi katika eneo la Swat huko Pakistan kwa...
Ulimwengu umejikuta katika vita visivyoisha na wakazi wake kufanywa mawakala wa vita hizi. Jambo moja liko wazi nalo ni hili, mataifa yenye nguvu yamejitahidi kutwaa umiliki wa dunia nzima na hii...
Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,
Moja ya Special Air Service (SAS)-Britain Operation Certain Death
Israel MOSSAD hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.